16 May, 2015

G Nako katoa hii video yake mpya ‘Sichezi Mbali’.

Image result for Mweusi G Nako Sichezi Mbali’.Msanii wa kampuni ya Weusi G Nako ametoa video yake mpya ‘Sichezi Mbali’ iliyofanywa na Cyne Studios. Audio ni kazi ya kweli ya Noizmaker kutoka Arusha. Nimekuwekea hapa mtu wangu.. BONYEZA PLAY UBURUDIKE Msanii wa kampuni ya Weusi G Nako ametoa video yake

Nime kuwekea hapa VIDEO ya Maua Sama ‘This Love’

Image result for Maua Sama ‘This Love’
Baada ya nyimbo nne kufanya vizuri kwenye radio bila video, msanii Maua Sama ametoa video yake ya kwanza ‘This Love’ aliyofanya na Staa wa rnb Ben Pol. Video ni kazi ya Hanscana na Audio ni mkono wa Ema The Boy. Bonyeza play kuitazama, nipe mtazamo wako hapo chini .

MUZIKI WETU HAPA NYUMBANI UNATHAMANI

Image result for AFRICAN MUSIC
Tumekua Tukipenda  sana muziki kutoka Ughaibuni Kuliko muziki wakwetu TANZANIA na AFRICA kwa ujumla Kitu ambacho kinaushasha MUZIKI wetu HUU ni UKWELI usiopingika.LEO nimekuletea AUDIO ya msanii MCHANGA kutokea pande za

VIDEO: CHEGGE CHIGUNDA ATOA VIDEO YA "MWANANYAMALA" ITAZAME HAPA

Msanii wa kundi la WANAUME FAMILLY TMK, Chegge Chigunda kaachia Video yake mpya ya wimbo wa MWANANYAMALA aliouachilia siku chache zilizopita. Video hiyo imefanyika kwa Director/producer mkongwe TZ ADAM JUMA, Itizame hapa mtu wangu.

MFAHAMU KOCHA ATAKAE ICHUKUA NAFASI GORAN PALE SIMBA

455624-9bf08b2b290f79e5baa009dba4ee85d9 (1)
GORAN Kopunovic bado anaihangaisha Simba kuhusu kusaini mkataba mpya na aliahidi kutoa jibu jana ijumaa, lakini bado amekuwa mgumu kuweka wazi kama amekubali au la! kuendelea na kibarua chake Msimbazi.

MWANA DADA HUYU AITWAE RUBY KATILETEA VIDEO YAKE IITWAYO ‘Na Yule’ KAZI IKIFANYWA NA PRODUCER MKENYA.

ruby 4Video ya msanii mpya wa bongo fleva Ruby ‘Na Yule’ imetoka May 15 2015. Wimbo umetayarishwa na Tudd Thomas [Surround Studios] na Video imetayarishwa na muongozaji maarufu Afrika Mashariki Kevin Bosco Jnr.

HUENDA IKAWA FAINALI ISIYO SAHAULIKA.

Juventus-vs-Barca-UEFA-Champions-League-20142015-Final-e1431698847344
Ni vita kali kati ya timu yenye mafanikio zaidi Italia dhidi ya taasisi inayojiita “zaidi ya klabu” – lakini timu hizi, Juventus na Barcelona, zitacheza fainali ya Ligi ya Mabingwa mwaka huu jijini Berlin zikiwa na alama tofauti za kujivunia.

WENGER HANA BUDI KUSHABIKIA BARCELONA #UEFA KWA SABABU HIZI


Usiku wa jumamosi ya tarehe 6, June 2015, macho na masikio ya wapenzi wa soka ulimwenguni kote yataelekezwa jijini Berlin, Ujerumani katika dimba la OlympioStadio ambapo FC Barcelona itacheza dhidi ya Juventus katika fainali ya UEFA Champions League.

Ni hasubuhi MURUA leo Jumamosi MAY15,2015 Kutana na magazeti ya leo hapa

Image result for saturday news
MWANANCHI
Wakati Mkutano wa Bunge ukianza kwa mjadala wa uliopoteza mwelekeo na kutawaliwa na malumbano kati ya Wabunge wa CCM na wa Vyama vya Upinzani, Naibu Spika Job Ndugai amesema ni vigumu hali hiyo kuzuilika kwa kuwa mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi. Bunge hilo

15 May, 2015

Manchester United na mpango wake wake kumsajili BALE: MAGAZETI YA MICHEZO ULAYA YAFURIKA TAARIFA HIYO

Gareth+Bale+Real+Madrid+CF+v+Juventus+zN1xG7MV5Hbl
MIPANGO ya usajili wa majira ya kiangazi wa Manchester United leo imetawala vichwa vya magazeti mengi  barani ulaya .Gazeti la Times limeripoti kuwa Man United wameweka rada zao zote kwa nyota wa Spurs, Harry Kane, wakati magazeti mengine matatu yanasema

Petr Cech anaondoka Chelsea? huu ndio msimamo wa klabu yake

cech
Baada ya klabu ya Chelsea kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya England..sasa wameanza mikakati ya kukiboresha kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu. Kipa wao Petr Cech baada ya kuitumikia klabu hiyo tangu mwaka 2004 uongozi wa timu yake umempa uhuru wa

Unyanyasaji wa watoto umeendelea kuwa sehemu ya matukio ambayo yamekuwa yakikithiri sana ndani ya familia

legs
Unyanyasaji wa watoto umeendelea kuwa sehemu ya matukio ambayo yamekuwa yakikithiri sana ndani ya familia na jamii za watu wengi duniani.Kitendo cha msichana wa kazi kule Uganda kumtesa mtoto wa bosi wake  kwa kumpiga bado hakijasahaulika na mamilioni ya watu duniani baada ya kunaswa na kamera na kusambazwa kwenye mitandano ya kijamii.

Download na sikiliza hapa wimbo mpya wa Nay wa Mitego na Diamond Platnumz ‘Mapenzi au Pesa’.

nayWimbo mpya wa Nay wa Mitego na Diamond Platnumz ‘Mapenzi au Pesa’ imetoka 13 May 2015, wimbo umetayarishwa na producer Mr T Touch. nimekuwekea hapa https://www.hulkshare.com/6xcvp4zgzqm8


Hakijaeleweka, Burundi bado tete


Image result for machafuko burundi leo may 15,2015 
Hali bado si shwari Burundi. Vituo vitano vya redio ikiwamo ya Taifa na ile ya African Public Radio (RPA) kilichokuwa kimefungwa na Serikali ya Burundi vilishambuliwa jana huku kukiwa kukiwa hakuna taarifa za uhakika za nani anayeitawala nchi hiyo kwa sasa Hatua hiyo imekuja siku moja baada ya

Ndesamburo ilivyotumia Sh1b kutoa ajira kwa vijana 1,000

 Image result for Ndesamburo
Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, anaweza kuingia katika vitabu vya kumbukumbu kutokana na staili yake ya kuuaga uwanja wa kisiasa kwa kutazama tatizo la ajira kwa vijana, ambalo ni tatizo sugu na limekuwa likizungumziwa kisiasa kama bomu linalosubiri kulipuka.Alipowaaga wananchi wake kwa kuwaachia kitega uchumi chenye thamani ya zaidi ya Sh1 bilioni.

14 May, 2015

USIPITWE NA MAGAZETI YA MICHEZO ULAYA LEO MAY 14.

leo leo
DAU LA KOCHA GORAN LAITOA JASHO SIMBA
Kupovic aliliambia gazeti la Mwananchi kwamba alizungumza na uongozi wa juu wa Simba kuhusu hatima yake kwenye club hiyo na walimweleza kwamba avute subira huku suala lake likifanyiwa kazi.
Baada ya kumaliza mkataba wake kocha Kupovic anataka mkataba mpya uwe na mshahara wa Dola

JE ULIYAKOSA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI MAY 14,2015? HAYA HAPA

Image result for NEWS DAILY
MWANANCHI
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Anna Mgwira amesema chama hicho hakina matatizo na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na hata sasa kinasubiri majibu ya barua yao waliyoituma kwa umoja huo kuomba kuunganishwa. Mgwira alitoa kauli hiyo wakati chama hicho kilipofanya

MAMA MZAZI WA FALCAO AZUNGUMZIA KIWANGO CHA MWANAWE NDANI YA MAN UNITED.

falcao2
Kila siku namkumbusha kwamba baada ya tabu au majaribu inakuja baraka. Tunaimani mambo makubwa na mazuri kuja hapo mbeleni. Mungu hajatuacha sisi na hata mwanangu pia. Hivi karibuni atakua yule mtu ambae anataka kuwa, mfungaji magori na sio vingine.

Vanessa Mdee, Victoria Kimani, Yemi Alade pamoja kwenye hii Video…

aladee
‘Strong Girl‘ ni wimbo wa pamoja ulioimbwa na mastaa wa kike kutoka Afrika ambao wameungana pamoja kupambana na umaskini  kwa wasichana na wanawake katika jamii.
Miongoni mwa mastaa waliopo kwenye wimbo huo ni pamoja na 

Christina Milian kafanya hivi kuonyesha mapenzi ya kweli kwa Lil Wayne.

mayweather-pacquiao-fight-8
Rnb staa Christina Milian ameonyesha mapenzi ya dhati kwa rapa Lil Wayne kwa kuchora tattoo ya majina yao pamoja kwenye mkono wake.Tattoo imeandikwa “love hard…TnT,”  ikimaanisha Tina and Tunechi. Wiki iliyopita Milian alitoa video ya wimbo “Rebel,” ambao ni wimbo uliohamasishwa na mapenzi yake kwa

wafahamu wasanii watatu waliojitoa Cash Money ndani ya miezi sita.

bow wow
Baada ya Omarion na rapa Busta Rhymes kujitoa Cash Money records, Jumamosi ya May 9 2015 rapa/mtangazaji/ mwigizaji Bow Wow ametumia kurasa yake ya facebook kufahamisha mashabiki kuwa amejitoa rasmi Cash Money baada ya miaka mitano na lebel hio na kutoa album moja tu ambayo ni

13 May, 2015

KOCHA mkuu wa Simba, Goran Kopunovic bado hajafikia makubaliano na klabu yake kuhusu kusaini mkataba mpya

1067112_heroa
KOCHA mkuu wa Simba, Goran Kopunovic bado hajafikia makubaliano na klabu yake kuhusu kusaini mkataba mpya, lakini tayari ameshawaambia wachezaji wake kuwa yupo katika mazungumzo na uongozi.

12 May, 2015

JEZZ MPYA YA MAN UNITED YAVUJA

adidas-signs-manchester-united
Manchester United wana jezi mpya iliyotengenezwa na Adidas kwa ajili ya msimu ujao.
Kampuni hiyo ya vifaa vya michezo imefikia dili kubwa la jezi na Manchester United ambalo halijawahi kutokea katika historia ya mpira na sasa katika

BAYERN MUNICH KUKWAANA NA BARCELONA KATIKA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO


MECHI:     Bayern Munich vs Barcelona
LIGI:         Ligi ya Mabingwa Ulaya
HATUA:    Nusu Fainali
MUDA:     Saa 3:45 usiku
UWANJA: Allianz Arena

Muingereza Stewart John Hall Arejea tena AZAM FC

Stewart-John-Hall
Taarifa kutoka  chanzo cha kuaminika ndani ya klabu ya Azam fc zinaeleza kuwa kocha wa zamani wa klabu hiyo, Muingereza Stewart John Hall anarejea tena kuwa kocha mkuu.
Hall aliyeiacha Azam fc baada ya kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu msimu wa 2013/2014 anarejea kuchukua mikoba ya aliyekuwa kocha mkuu, Joseph Marius Omog.

TIMU TATU ZINAZO WINDA SAINI YA MTOTO WA PODOSKI MWENYE UMRI WA MIAKA 7.

3,w=993,c=0.bild
LUKAS Podolski, mshindi wa kombe la dunia akiwa na timu ya taifa ya Ujerumani mwaka jana nchini Brazil ambaye kwasasa yupo kwa mkopo Inter Milan kutokea Arsenal amehojiwa kuhusu mtoto wake na kufichua kuwa anazivutia klabu nyingi.

Wimbo wa Chege ‘Mwananyamala’.

ChegeArtwork
Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>Zawadi_mawere. SuScribe Youtube>>>MAWERE TV https://soundcloud.com/mawere-tv/chege-mwananyamala

KAMA HAUKUPATA CHANCE YAKUPITIA MAGAZETI YA LEO MAY12,2015 JUMANEE HAYA HAPA

NEWSHABARILEO
Mkazi wa kata ya Kisalala, Sumbawanga Lydia Shazi mwenye umri wa miaka 29 amejifungua watoto watatu wote wa kiume kwa siku tofauti katika hospitali mbili tofauti.
Mama huyo ambaye sasa amekuwa na idadi ya watoto saba alieleza kuwa mtoto wake wa

video ya Lady JayDee ‘Give Me Love’ Ft Mazet & DJ Maphorisa.

jide-give-me-loveLady Jaydee ametoa video ya wimbo wake mpya ‘Give Me Love aliofanya na Mazet na Dj Maphorisa. Video imetayarishwa na Nicky Campos na kufanyika Johannesburg South Afrika.itazame hapa video hii kutoka kwa BINTI COMANDO >>>>>>>

video mpya yake Dj Khalid akiwa na wakali Chris Brown,Lil Wayne & Big Sean ‘How Many Times’.

cb-khaledDJ Khaled ameibuka na mkito mwingine mkali “How Many Times” akiwa na wasanii Chris Brown, Lil Wayne, na Big Sean kutoka kwenye album yake ya nane ‘I Changed a Lot’ inayotoka mwaka huu.itazame hapa>>>>>>

11 May, 2015

WACHEZAJI HAWA WA WEKUNDU WA MSIMBAZI HAWATAKUWEPO MSIMU UJAO

sdf
Msimu umeisha wachezaji mbalimbali kutoka kwenye timu tofauti duniani wanahama kutoka kwenye timu moja hadi nyingine. Huko Ulaya mambo ni yamoto kwa upande wa kijana Pogba na hapa bongo hii ndio habari mpya.

MTAZAMO WA RONALDO DE LIMA

de lima
Mshambuliaji hatari wa zamani wa Brazil Ronaldo de Lima amesema anaamini kunaupungufu mkubwa wa wachezaji wenye ubora wa hali ya juu ukiwaacha wachezaji hawa watatu kutoka Barcelona na Real Madrid,
Ronaldo na Messi ndio wachezaji wawili pekee ambao wamekua wakishinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia kwa miaka saba mfululizo wakati Neymar amekua akitabiliwa kufanya hivyo baadae.

Lowassa: Huu ni Wakati wetu wa Kukimbia


WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kukimbia kwa kasi ili kukabiliana na changamoto za maendeleo ya kisanyansi duniani. Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli (CCM), aliyasema hayo jana alipokuwa

Wanafunzi 'WAPIGWA' Mkutano Ukawa Arusha

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, wanafunzi wa shule za msingi za Mwangaza na Ngarenaro, juzi walidaiwa kupata kipigo kutoka kwa vijana waliojiita ‘Makamanda’ wa umoja wa vyama vya siasa vya upinzani ujulikanao kama Ukawa, baada ya

MAGAZETINI LEO MAY 11

Image result for NEWS UPDATENIPASHE
Hali ndani ya Chama cha Tanzania Labour Party ‘TLP’ imezidi kuwa tete baada ya Mwenyekiti wake Augustino Mrema kuwafuta wanachama wake 10 kwa madai kuwa wanakisaliti chama.
Hata hivyo wanachama waliofukuzwa hawakuweza kupatikana kuelezea ni sababu gani zilizosababisha wafukuzwe na

10 May, 2015

Jumba la kifaharia walionunua Jay Z na Beyonce,16 hizi.

jayz 10
Baada ya kutajwa na jarida la Forbes kuwa miongoni mwa wasanii wa hiphop wenye mali na matajiri zaidi Jayz na mke wake Beyonce wamehamia kwenye jumba la kifahari lenye thamani ya pauni milioni 2.6. Jumba hilo lipo New Orleans Garden, Marekani. Nyumba inavyumba 22.

wakati YANGA na AZAM wakifurahia ubingwa, stand united washereke KUBAKI LIGI KUU.

IMG-20150509-WA0024

Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>Zawadi_mawere. Youtube>>>MAWERE TV. Hizi ni baadhi ya picha

Emannuel Adebayor ameendelea KUTOA STORY YA FAMILIA YAKE PART 2

NBNB
Emannuel Adebayor ameendelea kuelezea yale ambayo tulikua hatuyajui yanaendelea nyumba ya pazia kwenye maisha yake. Sasa leo ametoa part 2 lakini pia ametoa ahadi ya kuendelea part 3. Hii hapa ni tafsiri ya post yake.
Hii ni sehemu nyingine ya story ambayo nilikaa nayo

MATUMAINI YA D MARIA UNITED NI MACHACHE;;

di
Manchester United imemsajili winga wa PSV Memphis Depay kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo msimu ujao wa ligi kuu na huenda ikamtema mchezaji wao Angel Di Maria.
Lakini klabu ya Paris Saint-Germain ‘PSV’ ya Ufaransa imesema ipo tayari kumchukua mchezaji huyo kwa

SIKILIZA MDUNDO HUU KUTOKA KWA RAPA YOUNG THUG.... love me

Image result for YOUNG THUGnimekueke hapa mdundo huu kutoka kwa young thug love isikilize na umpatie mchizi wako hapa hapa MWERE MTOKA MBALI. >>>>>>>http://www.soundpiff.com/track/10362-young-thug---love-me-no-dj-

Msanii wa Timbaland Tink arudia Huu wimbo wa Aaliyah.

tink-ws-1440
Akiwa kwenye harakati za kumtangaza msanii wake mpya ‘Tink’ Producer  Timbaland, amempa ruhusa ya kufanya remix ya wimbo wa marehemu Aaliyah “One In A Million.”

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...