10 May, 2015

MATUMAINI YA D MARIA UNITED NI MACHACHE;;

di
Manchester United imemsajili winga wa PSV Memphis Depay kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo msimu ujao wa ligi kuu na huenda ikamtema mchezaji wao Angel Di Maria.
Lakini klabu ya Paris Saint-Germain ‘PSV’ ya Ufaransa imesema ipo tayari kumchukua mchezaji huyo kwa
mkopo kama ataruhusiwa na uongozi wa timu yake ili kwenda kuongeza nguvu kwenye kikosi chao.
Mchezaji huyo alisajili kwa pauni milioni 60 akitokea Real Madrid lakini hakuonyesha kiwango kizuri msimu huu na kuwa hatarini kutemwa.
Man United awali ilitaka kumuuza mchezaji huyo lakini baadaye meneja wa timu hiyo Luis Van Gaal alibadili mawazo na kudai ataendelea kubaki kuitumikia klabu hiyo kwa msimu mwingine.

Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>Zawadi_mawere. Youtube>>>MAWERE TV.
1.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...