Showing posts with label Audio Music. Show all posts
Showing posts with label Audio Music. Show all posts
21 October, 2016
New Audio Single sally Ft. Godzila – IWanna Know Mp3 Download
Single sally msanii kutokea pande za Moshi ambaye anafanya poa katika game as an upcoming artist na hii ni Track yake inayokwenda kwa jina la IWanna Know akiwa kamshirikisha mkali Godzila a.k.a King Zila. Download ngoma hiyo kwa kubofya DOWNLOAD hapo chini.
17 October, 2016
New Music: Raymond ft Ney Lee – Rudi
Kutoka WCB ni ngoma baada ya ngoma, na hii ni ya Raymond-Rayvan akimshirikisha mwanadada Ney Lee wimbo umepewa jina la RUDI, mkono wa producer Zest kutoka moja moja Rec. Enjoy
10 October, 2016
Music: Matonya – Sugua Benchi (Download)
Baada ya kimya cha muda mrefu msanii Matonya ameamua kurudi kwa nguvu zote baada ya kuachia Audio na Video za ngoma hii yakwake mpya inayoitwa “Sugua Benchi”.
Exclusive |Download Kosa Sina - Linah
Ngoma mpya kutoka kwa mwanadada huyu mwenye Sauti yake almaarufu kama Ndege Mnana Linah Sanga. Wimbo huu una jina la Kosa Sina. Bofya Kitufe Cha DOWNLOAD hapo chini kuupakua wimbo huo..
PAKUA NYIMBO MKITO JALI WASANII WETU.
PAKUA NYIMBO MKITO JALI WASANII WETU.
08 October, 2016
06 October, 2016
Audio Mpya: Jux ft Vanessa--JUU
Umefikia muda wa kuikata kiu yako uliyoitunza kwa muda mrefu. Wapendanao Vanessa
Mdee na Jux wameachia bonge moja la kolabo linalokwenda kwa jina la "Juu" ambalo
limeachiwa kwa mara ya kwanza kabisa kwenye Mkito. Ngoma hii imetengenezwa na
Lufa- Switch Records.
Huu umekuwa mwaka mzuri kwa wawili hawa. Wamepiga tour za kutosha nchini kwenye Fiesta huku wimbo wa "Wivu" wa Jux ukiendelea kusumbua kwenye chati mbalimbali za muziki. Vanessa anatuwakilisha kwenye msimu mpya wa Coke Studio Africa unaoanza jumamosi hii huku pia akiwa mmojawapo wa wasanii wa nyumbani wanaogombania tuzo za MTV Base MAMAs kwenye kipengele cha Msanii bora wa kike. Atakinukisha tena wikiendi hii mjini Mombasa akiwa na wakali kama Wizkid na Chris Brown.
KUUPATA WIMBO HUO BOFYA DOWNLOAD HAPO CHINI.
Huu umekuwa mwaka mzuri kwa wawili hawa. Wamepiga tour za kutosha nchini kwenye Fiesta huku wimbo wa "Wivu" wa Jux ukiendelea kusumbua kwenye chati mbalimbali za muziki. Vanessa anatuwakilisha kwenye msimu mpya wa Coke Studio Africa unaoanza jumamosi hii huku pia akiwa mmojawapo wa wasanii wa nyumbani wanaogombania tuzo za MTV Base MAMAs kwenye kipengele cha Msanii bora wa kike. Atakinukisha tena wikiendi hii mjini Mombasa akiwa na wakali kama Wizkid na Chris Brown.
KUUPATA WIMBO HUO BOFYA DOWNLOAD HAPO CHINI.
30 September, 2016
Exclusive Download: Sinasi - Masai Wa Kigoma
ikiliza wimbo mpya wa Masai Wa Kigoma - SINASI #UswahiliFlavor! Bofya DOWNLOAD hapo chini kuupakua wimbo Huo. Enjoy
28 September, 2016
Download: Mungu Wa Ajabu - Ritha Komba
Msanii wa Injili Ritha Komba ameachia rasmi wimbo wake mpya "Mungu Wa
Ajabu" ambao unabeba jina la albamu yake mpya itayokuwa sokoni siku za
usoni!
"Nimeita album yangu Mungu wa ajabu kwasababu katika hali ya kawaida hakuna MTU anae weza kumtoa mwanae kwaajili ya kuiponya nafsi ya MTU mwingine, leo hii tumewekwa huru na kusamehewa dhambi kwaajili yake pale alipomtoa mwanae wa pekee na kumleta kwetu sisi wanadamu hiyo ni ajabu." - Ritha KombaBOFYA DOWNLOAD HAPO CHINI KUUPAKUA WIMBO HUO.
22 September, 2016
Mpya: Download Wale Wale - Ruby
Mwana dada Ruby leo hii katuletea wimbo wake mpya unao kwenda kwa jina la Wale Wale. Bofya DOWNLOAD hapo chini kuupakua wimbo Huo.
20 September, 2016
Download :Witnesz Kibonge Mwepec & Ochu Sheggy ft Snura & Mzee yussuf - JIRANI
OTCHUNES presents Witnesz Kibonge Mwepec & Ochu Sheggy ft Snura & Mzee yussuf - JIRANI.
Wimbo unahusu majirani Wa Kiume Wawili ambao wameoa na Kila moja anatamani na wana tabia za kutongoza mke Wa Jirani Yake!
Audio produced by Chrixstone beats under flava productions video made with Dreams Multimedia under visualizer creator pro in cooperation with OTCHUNES
Wimbo unahusu majirani Wa Kiume Wawili ambao wameoa na Kila moja anatamani na wana tabia za kutongoza mke Wa Jirani Yake!
Audio produced by Chrixstone beats under flava productions video made with Dreams Multimedia under visualizer creator pro in cooperation with OTCHUNES
18 September, 2016
Download Audio Mpya Kutoka kwa Diamond Plutnum Ft Raymond - Salome
Bofya DOWNLOAD hapo chini Kuupakua wimbo Huo. DOWNLOAD pia na Club Banngers Version hapo chini
15 September, 2016
Audio Mpya: Kila siku Maneno - Tosha Bonie
Tosha Bonie Ni msanii Chipukizi Kutokea Pande Za Moshi na Hii ndio kazi yake ya Kwanza. Tumpatie support Basi Kijana wetu aweze songa Mbele. Bofya DOWNLOAD hapo chini Kuupakua wimbo huo.
14 September, 2016
New Audio Download: Chemical Ft Centano- am Sorry Mama
13 September, 2016
Download Music: Baraka Da Prince Ft. Alikiba – Nisamehe
09 September, 2016
AudioMPYA:Bushoke- Mpita Njia
06 September, 2016
New AUDIO: Chibau Mtoto Wa Pwani Ft.Nay TrueBoy - KAWIMBO

05 September, 2016
Music: Moni Central Zone ft Geof Master – Vanilla & Strawberry
Ukiachana na kuwa ni mji mkuu wa taifa la Tanzania tu, Dodoma vilevile ndio makao makuu ya kundi la muziki la Central Zone, kundi ambalo anatoka mkali Moni. Bofya Download hapo chini kuupakua wimbo huo.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...

-
Mshambuliaji huyo wa umri wa miaka 26 ambaye amekuwa akichezea klabu ya Corinthians ya Ugiriki amechezea taifa lake mechi 27 na kuwafungi...
-
Brit Awads 2016 zimefanyika huko London ambapo mwanamuziki Adele ameondoka na tuzo nyingi zaidi katika nomination alizo kuwepo. Hizi hapa...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...