Malkia na mfalme wa RnB Maua Sama na Ben Pol wanakuja na wimbo wao mpya THIS LOVE>>>>>>
30 May, 2015
Download New Music: Yamoto Band a.k.a Mkubwa na Wanawe - 'Cheza Kimadoido'
DOWNLOAD, PLAY HAPA>>>>>>
ABOUT US
UTANGULIZI
MAWERE MTOKA MBALI Ni jina Iliopewa Mtandao/ blog hii, MAWERE MTOKA MBALI Ni jina lililo ambatana na MWANZILISHI MAWERE na MTOKA MBALI Ni jina la pili la mwanzilishi huyo. Ni mtandao ulio dhamiria kukupatia Habari za MICHEZO NA BURUDANI, SIASA, AFYA, MAISHA, UREMBO, WASANII
KANUNI NA SHERIA.
KANUNI NA SHERIA.
Blogu/Tovuti
hii niyakijamii hivyo inaendeshwa na taratibu na kanuni ambazo hazita sababisha
kumkwaza mtu kwa namna moja au nyingine isiyo ya kustahiki.
- · Blogu haiweki taarifa yeyote ya uongo, uzushi au ambazo sio za uhakika ili tu kupata wasomaji wengi au kufanya ushabiki wakitu/jambo Fulani. Habari zote ambazo zitakuwa zimewekwa kwenye blogu hii zitakuwa zimefuatiliwa kwa kina na kuhakikiwa kuwa zina ukweli ndani yake ndipo zitawekwa kwaajili ya msomaji kuisoma habari hiyo.
- · Blogu haitoweka taarifa ya uchochezi wa aina yeyote ile ili kusababisha kupoteza Amani kwa jamii Fulani. Habari ambazo zitasababisha uchochezi wa Siasa, Dini, Jamii, Jinsia na au Rika nakusababisha fujo blogu hii haitakuwa tayari kuiweka habari hiyo.
- · Blogu hii haijuhusishi na ubaguzi wa Vyama, Dini, Jinsia, Kabila, Rika au Hali (Ulemavu wa aina yeyote ile). Hivyo taarifa inayo wekwa kwenye tovuti hii itasimamia upande wowote ule ni ilimradi kugusa jamii nakuifanya jamii nzima ifahamu ukweli wa mambo na kusaidia kusonga mbele ki fikra na uchumi.
- · Masuala yote ya uzalilishaji wa Kijinsia na au Kitamaduni blogu hii haitajihusisha na kufanya hivyo bali huonya na kukemea masuala la unyanyasaji na uonevu kwa jamii nzima ili kuweka usawa na Amani kwa kila mmoja wetu anaye tuzunguka.
- · Hati miliki ya kazi ya mtu, Blogu/Tovuti hii inalinda haki miliki ya kazi binafsi na au ya kundi flani. Hivyo hatujihusishi na kuweka kazi isiyo kuwa sahihi kuwekwa hadharani au kutumiwa na jamii nzima. Mfano Ku pakuwa (Download) kwazi ya msanii bila kibali chake, Kuweka nakala ya kitabu bila idhaa ya mtunzi, Kuweka habari kutoka kwenye Blogu/Tovuti nyingine bila ya kuweka hati miliki yake. Tunaheshimu kazi ya mtu au kundi ili nasisi tuheshimiwe kwenye kazi yetu.
- · Lugha ya nidhamu ndio inayo tumika kwenye uandishi wa taarifa yoyote kwenye blogu hii. Lugha ikiwa ni Kiswahili na Kingereza pale inapo bidi. Matusi na au Keleli hazitawekwa kwenye blogu hii. Pia kama msomaji akiacha maoni (comment) yenye matusi kwenye moja ya habari pale tutakapo gundua mapema tutaiondoa ili kutunza ustaarabu.
Tutumie email: mtokambali2015@gmail.com
Sim namba 0767322193
KARIBU MTOKA MBALI UPATE HABARI
Riyama: Maneno machafu yananipa chakula
MSANII mwenye heshima kubwa kwenye tasnia ya filamu za Bongo, Riyama
Ally, ameibuka na kujivunia kwamba maneno machafu anayoyatumia katika
filamu mbalimbali anazocheza ndiyo yanayompa chakula cha kila siku.
Jamie Foxx feat. Chris Brown – 'You Changed Me'
The X-directed clip starts off with a conversation between the fellas
about finding the right lady and settling down. Jamie throws a party at
his mansion (“Strippers or no strippers?” he asks Breezy) and his love
interest (played by Grace Gealy of “Empire”) shows up. He serenades her
and even
29 May, 2015
Ni Diamond Platnumz tena NANA akiwemo flavor
Ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania Diamond Platnumz ambayo hii kamshirikisha mkali kutoka Nigeria Mr.Flavour wimbo unaitwa Nana,video imefanywa na GodFather Diamond Platnumz ametumia dakika hizi tatu kumuimbia mrembo aliye mbele ya macho yake,unaweza
SEPP BLATTER KASHINDA TENA AWAMU YA PILI
SEPP BLATTER ameshinda kwa mara
ya tano kiti cha Urais wa Shirikisho la soka duniani FIFA baada ya
kupata kura 133 dhidi ya 73 za mpinzani wake Prince Ali bin Al-Hussein
katika raundi ya kwanza ya uchaguzi mkuu uliomalizika usiku huu mjini
Zurich, Uswizi.
ITAZAME VIDEO YA AWILO LONGOMBA ALIYOFANYA NA WAKALI P SQURE
Collabo nyingine ya kimataifa DRC amekutana na Wanigeria, Ni msanii
Awilo Longomba amefanya wimbo wa na wasanii wa kundi la P Square ‘Enemy
Solo’ .Hii ndio video ya wimbo huo BONYEZA PLAY>>>>>>
Mashabiki wa Jay Z Weusi Walalamikia tabia yake ya kinafki,hii ndio sababu.
Wamarekani weusi wamemshambulia rapa Jay Z kwa vijembe kuwa yeye ni mnafki baada ya kuona picha ya wafanyakazi wa kampuni yake ya TIDAL Kuwa wote ni weupe.Jay Z hivi karibuni alilalamika kuwa watu weusi hawampi ushirikiano na kampuni yake ya Tidal kama
28 May, 2015
LEO MBUNGE WA VUNJO AUGUSTIN MREMA KANENA HAYA BUNGENI KWA WALE WANAOSEMA KWAMBA WAMEMWONDOA KATIKA CHAMA
Moja ya stori iliyowahi kuwandikwa na
Magazeti ya TZ wiki chache zilizopita ilikuwa na headline kuhusu ishu ya
Ripoti ya Ukweli na Maridhiano ya TLP kutangaza kwamba imemsimamisha
uanachama Mwenyekiti wa Chama hicho, Augustino Mrema ambae pia ni Mbunge wa Vunjo.. leo aka
Rnb staa Tyrese alivyotumia instagram kumtongoza mwimbaji Janelle Monáe.
Rnb staa na mwigizaji Tyrese Gibson ametumia instagram kumwambia staa wa
muziki Janelle Monáe, kuwa anampenda na yuko tayari kuwa na mwanamke
kama yeye kwenye maisha yake.
27 May, 2015
ETI NICK MINAJ NA MEEK MILL SIO WACHUMBA?
Nicki Minaj na rapa Meek Mil waliteka blogs April mwaka huu baada ya Nicki kuonyesha pete aliyopewa na Meek Mil huku watu wakipigia mstari kuwa ni wachumba na ndoa inafungwa muda wowote. Kwenye mahojiano na mtandao wa Fader rapa Meek Mil amethibitisha kuwa
26 May, 2015
JAMAA HUYU MKENYA ANA NDOTO ZA KUMUOA MTOTO WA OBAMA
Kuna baadhi ya wanaume wana ndoto siku moja wawe na uwezo wa kumuoa mtoto wa Rais wa Marekani aitwaye Malia Obama, lakini swali je ni kweli itawezekana? Mmoja mwenye ndoto kama hiyo ni wakili
kutoka Kenya ambaye amesema atajitoa kwa
Ujumbe wa Kanye west kwa mkewe Kim Kardashian na mwanaye North..
May 24 couple ya mastaa Kim Kardashian na Kanye West walitimiza mwaka mmoja wa ndoa yao tangu walipofunga mwaka jana huko Italy.
TAZAMA NDINGA ANALO ENDESHA SAMATTA
Samatta anayekipiga katika klabu ya TP
Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, anatajwa kuwa mmoja wa
wachezaji watanzania wanaoingiza fedha nyingi kupitia soka – akiripotiwa
kulipwa mshahara usiopungua $8000 kwa mwezi bila
Single mpya ya Mirror ‘Hapo Ulipo’ iko hapa
Hii kazi mpya ya msanii kutoka endless fame Mirror ‘Hapo Ulipo’ ,Download na isikilize hapa PIA UNAWEZA KUI DOWNLOAD NA KUMPATIA MCHIZI WAKO...>>>
25 May, 2015
Flaviana Matata on covers of New African Woman UK
Styled by Tanzanian stylist based in the US, Ms Rosemary Kokuhilwa
"FashionJunkii", Flaviana Matata is such a beauty on the new cover of
New African Woman,June-July Issue
NI MIRIAM ODEMBA KWA CANNES FILM FESTIVAL
YES NDO ZILE TUZO KUBWA HUKO MAJUU MIRIAM NAE ALIWAKILISHA VYEMA KWA RED CARPET YA HUKO.
MIRIAM ANAUPENDA UAFRICA NA U TANZANIA NA MASAI NECKLACE YAKE. KWELI KAPENDEZA PICHA ZAIDI>>>>>>>
WEKUNDU wa Msimbazi Simba wamefanikiwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili Peter Mwalyanzi kutokea Mbeya City fc.
WEKUNDU wa Msimbazi Simba wamefanikiwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili kiungo mshambuliaji, Peter Mwalyanzi kutokea Mbeya City fc.Mwalyanzi alisaini mkataba huo jana na baada ya hapo alifanya mahojiano maalumu na
PICHA PAMOJA NA VIDEO JINSI MABINGWA CHELSEA WALIVYO SHEREKEA UBINGWA WAO JANA
Klabu ya Chelsea jana walikuwa na kibarua cha kuikamilisha ratiba ya mechi zao kwenye ligi Kuu ya Uingereza, Barclays Premier League.. kwenye mchezo huo walikuwa wakibanana na Klabu ya Sunderland ambapo filimbi ya dakika 90 kukamilika ilipulizwa huku Chelsea ikiongoza kwa
YASIKILIZE MANENO MACHACHE HAYA ALIYOSEMA MBUNGE EDWARD LOWASA JUU YAKUHAMA CHAMA CHAKE, AFYA YAKE,PAMOJA NA ELIMU KWA UJUMLA
Moja ya story kubwa kwenye siasa za TZ
wiki iliyopita ilikuwa ishu ya CCM kuwafungulia makada wake sita ambao
walikiuka kanuni za chama hicho kwa kutangaza kugombea Urais mapema
kinyume na utaratibu wa chama hicho, mmoja ya waliokuwa wamefungiwa ni
WAKATI MWINGINE KAZI ZA HAPA NA PALE ZINAKUNYIMA HATA KUPATA HABARI KWA UHURU, VIVYO NI MUDA WAKO KUPITIA KILICHOANDIKWA KATIKA BAADHI YA MAGAZETI YA HAPA KWETU
MWANANCHI
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema matamanio ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere ya kuwaletea Watanzania mabadiliko waliyoyakosa ndani ya CCM yanaenda kutimia katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba
Subscribe to:
Posts (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...