20 February, 2016

ALI KIBA,IDRIS SULTAN NA DIAMOND PLATNUMZ WATAJWA KUWA MIONGONI MWA SEXIEST MEN ON EAST AFRICA SCREENS

Mtandao wa ladyafrikaana wamewataja   Sexiest Men On the East African Screens Sita  toka hapa East africa na Tanzania wametajwa watatu.12599111_593234397495944_1730573136_n
Wa kwanza ni Idris Sultan ambaye ni mshindi wa BBA  2014.According to the article  Idris has a cute, cheeky smile that is hard not to like. He is tall, African, charismatic,handsome and has a melting smile. Yes, he is engaged to Wema Sepetu, former Miss Tanzania so swallow that pill of envy and let us move on ,MMh hapa kwenye kuwa engaged sidhani kama wako sahihi11254466_395798977282426_1422169166_n
Mwingine ni Ally kiba ambaye sifa zake wamezitaja kuwa ni tall ,handsome and sexy ,wanasema Ali Kiba ni perfect package ya kupeleka nyumbani kwa wazazi hapa nmeongezea kwenye wazazi  And that smile, can melt your heart in seconds! Don’t over drool ,this one I agree LOL dai
Baba Tiffah yumo kwenye List ,huyu yeye asifiwa kwa kuwa na a soothing voice,romantic lyrics and a bad boy physique wakimaanisha muonekano wake ni matata  .Humo wamesema Diamond kaoa but i guess wako misinformed .
wengine ni hawa toka Kenya .891244_629854060391109_702508612_n
Kagwe Mungai Huyu ni Mkenya ni producer na songwriter 
hqdefault
Savara Mudigi Mwanamuziki toka kundi la Saut Sol
lord have Mercy 
wpid-husein-mohammed-new-horizons
Hussein Mohammed huwa anatangaza News kwa Citizen Tv Kenya.Msomali flani hivi huyu.
swali langu ni wewe mdau nani wamuona ndo SEXIEST MAN????
Nchi nyingine hazikufua dafu kwa Tanzania na Kenya 

Van Gaal: Tulishindwa kwa bahati mbaya


Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal amesema kuwa kushindwa kwa 2-1 kwa timu yake dhidi ya kilabu ya kilabu ya Midtjylland ya Sweden ni bahati mbaya.
Memphis Depay aliwaweka kifua mbele Manchester United katika awamu ya kwanza ya mechi ya ligi ya Europa,lakini Pione Sisto na Paul Onuachu waliipatia ushindi timu yao.
Van Gaal ambaye tayari alikuwa anacheza bila wachezaji 13 wanaougua majeraha,alimpoteza kipa David de Gea wakati wa mazoezi ya kujiandaa kucheza mechi hiyo.
''Ni sheria ya Murphy nadhani,''rais huyo wa Uholanzi aliiambia BT michezo.Vitu vingi vinafanyika katika vichwa vya wachezaji na katika dakika 10 ama 15 za kwanza hatukuwa tukicheza vizuri''.
Van Gaal hatahivyo anahisi timu yake iliimarika wakati wa kuendelea kwa kipindi cha kwanza na ingefunga mabao mengi.
Aliongezea:Katika kipindi cha pili hatukushinda mipira yoyote.hatykuweza kuzuia bao lao la pili lakini hata sisi tungefunga.

Marekani yashambulia kambi ya IS Libya

Maafisa wa Marekani wamethibitisha kuwa ni ndege za Marekani zilizofanya mashambulio huko Libya wakiwalenga wanamgambo wa IS. Hata hivyo shambulio hilo la karibu na mji wa Sabratha,lililonuiwa kumlenga hasa mpiganaji mmoja wa Tunisia limeripotiwa kuwauwa watu 30 .
Mpiganaji huyo wa Tunisia anasemekana ndiye aliyefanya shambulio la mwaka jana katika kumbukumbu za Bardo na hoteli ya ufuoni mwa bahari ya Sousse huko Tunisia ambako watu zaidi ya 10 waliuawa.
Mashambulio hayo yalilenga kambi moja ya wapiganaji wa Islamic State na kumuua kiongozi mmoja mwenye itikadi kali ,maafisa wa Marekani wamesema. Noureddine Chouchane anahusishwa na mashambulio mawili nchini Tunisia mwaka uliopita ,ikiwemo shambulio lililowaua raia 30 wa Uingereza.
Kundi la IS limekuwa likifanya oparesheni zake nchini Libya kwa kipindi cha mwaka mmoja na Marekani inakadiria kwamba lina hadi wapiganaji 6,000 nchini humo.Libya inasalia katika machafuko ya wenyewe kwa wenyewe miaka minne baada ya kupinduliwa kwa aliyekuwa kiongozi wake Muammar Gaddafi,na inapiganiwa na makundi tofauti ikiwemo kundi la IS.

Magazeti ya Leo Jumamosi Februari 20

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...