13 June, 2015
INTERVIEW YAKWANZA YA DEPAY PALE UNITED (VIDEO)
UGANDA ‘The Cranes’ imeitandika 2-0 Botswana
UGANDA ‘The Cranes’ imeitandika
2-0 Botswana katika mechi ya ufunguzi ya kundi D kuwania kufuzu kombe
la mataifa ya Afrika (Afcon 2017) iliyopigwa leo uwanja wa Nelson
Mandela, Namboole, mjini Kampala.
AZAM FC leo imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Ame Ally ‘Zungu
Ame (kushoto) baada ya kusaini Azam fc
AZAM FC leo imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Ame Ally ‘Zungu’ na kumsainisha mkataba wa miaka miwili.
Makamu mwenyekiti wa Azam fc,
Nassor Idrissa ‘Father’ amethibitisha kuinasa saini ya
Tyga afumaniwa akinunua Bugatti na mwanamke mwingine,sio Kylie Jenner.
Rapa Tyga amefumaniwa akijaribisha gari la Kifahari aina ya Bugatti kabla hajalinunua akiwa na mwanamke mwingine kwenye gari hio na sio mpenzi wake ambaye ni Kylie Jenner.Tyga alikuwa na mpango wa kununua gari hilo lenye thamani ya dola milioni
12 June, 2015
Klabu ya Manchester United imetangaza rasmi kukamilisha usajili wa Memphis Depay

Klabu ya Manchester United
imetangaza rasmi kukamilisha usajili wa nyota wa kimataifa wa Uholanzi,
Memphis Depay na kumsainisha mkataba wa miaka minne.
Mpango wa kumsajili kinda huyu
mwenye miaka 21 ulikamilika mwezi uliopita, lakini sasa
Chris Brown ajitabiria kifo chake kitakavyo kuwa kama cha 2Pac!

Video: Yemi Alade Ft Mugeez - 'Pose'

The Paul Gambit directed music video was shot in Nigeria and Ghana.
Video: Emmanuel Jal, Vanessa Mdee, Juliani & Syssi Mananga – 'Tusimame'

Nyota wa filamu ya Dracula na Lord of the Rings afariki
Mwigizaji wa siku nyingi na nyota wa filamu zilizopendwa na wengi Sir Christopher Lee amefariki akiwa na umri wa miaka 93.
Msanii huyo ambaye ni mzaliwa wa Uingereza aliyejenga jina lake kwa
kuigiza katika filamu ya Dracula na Frankenstein katika filamu ya
kutisha aligiza katika zaidi ya filamu 250.Alijulikana sana kwa kuigiza kama Scaramanga katika filamu ya James Bond
na Evil Wizard Suriman katika filamu ya

Diamond Platnumz na Vanessa Mdee watajwa kuwania MTV Africa Music Awards 2015

Zikufikie Stori kubwa 8 kwenye kurasa za Magazeti ya leo Tanzania June 12…
Majambazi yamemuua polisi wa upelelezi,
William Mtika (29) wa jijini hapa wakati wa mapambano kwenye tukio la
kutaka kupora fedha za Kampuni ya Export And Trading eneo la Iwambi.
Tukio hilo lilitokea juzi saa 9:00
alasiri na
10 June, 2015
Binamu wa Jay Z apondwa baada ya Davido kufanya collabo na Meek Mil, sababu iko hapa
Binamu wa karibu wa msanii Jay Z ‘Brian Biggs aka “Bee-High‘ ameumbuka na kupondwa mtandaoni baada ya Mnigeria Davido kufanya collabo na Meek Mil, Binamu huyu anayefanya kazi kama mtafuta vipaji wa Roc Nation na Tidal ya Jay Z alitumwa Nigeria mwaka
alichokisema Chris Brown kuhusu mapenzi yake na Karrueche..
09 June, 2015
Video mpya ya Future ‘Never Gon Lose’ itazame hapa
Video Mpya Ya Davido Ft Meek Mil ‘Fans Mi’ Itazame hapa
Hii kazi mpya ya Ruby ‘Milima Ya Kwetu’ Isikilize hapa.
08 June, 2015
Mabingwa wapya wa Ulaya klabu ya FC Barcelona inajiandaa kumtangaza kiungo Aleix Vidal
Mabingwa wapya wa Ulaya klabu ya
FC Barcelona inajiandaa kumtangaza kiungo wa pembeni wa FC Sevilla,
Aleix Vidal kama ingizo jipya katika klabu hiyo baada ya kukamilisha
usajili wake siku ya jumamaosi.
Manchester united imevunja rekodi kwa kufikisha brand value ya zaidi ya $1 billion
Licha ya kuchukua ubingwa wa UEFA lakini
bado thamani ya brand yake sio kubwa zaidi ya club tano juu yake.
Barcelona imechukua UEFA lakini kwenye list ya biggest brands in
football.
Kwa mara ya kwanza Manchester united
imevunja rekodi kwa kufikisha brand value ya
Fahamu rekodi ya kipekee Andres Iniesta
Unapozungumzia ubora wa mchezaji si wengi wanaweza kubishana na ukweli kwamba Andres Iniesta ni moja kati ya viungo bora kwneye soka la kimataifa na ameweza kubakia katika ubora na kiwango cha juu kwa muda mrefu bila kushuka.
07 June, 2015
karibu na Video mpya ya Q Chief ‘For You’ (Mdogo Mdogo) iko hapa
Chris Brown alivyong’ang’ania kuingia kwenye gari la X Wake Karrueche Tran.
Drama za Chris Brown na X wake Karrueche Tran zimeendelea baada ya wawili hawa kujikuta wamekaa kwenye meza jirani kwenye club kubwa ya Playhouse huko Hollywood na wote kuamua kuodoka kwa wakati mmoja kuepuka ugomvi.
Video: 'Rose' aliye tangaza kuwa na ujauzito wa Nuh Mziwanda akabiliana naye pamoja na Shilole live kwenye FNL

Subscribe to:
Posts (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...

-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Brit Awads 2016 zimefanyika huko London ambapo mwanamuziki Adele ameondoka na tuzo nyingi zaidi katika nomination alizo kuwepo. Hizi hapa...