11 June, 2016
Movie: Warcraft
Video: Best Nasso – Ukweli uko Wapi?
Best Nasso moja kati ya wasanii wa bongo flava wanao zidi kufanya powa katika game la bongo flava, leo katuletea brand new Video inayo kwenda kwa jina la Ukweli Uko Wapi, ngoma ambayo imefanyiwa production na Mahwea Recods, huku Video ikisimamiwa na Kenny Ukiyz.
NEW VIDEO:”Ipo siku”,Goodluck Gozbert.
Goodluck Gozbert ni moja kati ya Watunzi na waandaji wa muziki wenye vipaji vya hali ya juu mno. Wengi Tumekuwa tukimfahamu kupitia kazi tofauti tofauti ikiwa ni pamoja na Kuandika baadhi ya nyimbo wasanii kama vile Mo-Music, Baraka da.Prince pamoja na wasanii wengine.
Katika Bongo Flava Tunamfahamu kama Loly Pop ila katika Gospel tunamtaja kama Goodluck Gozbert, na hapa katuletea video yake mpya inayokwenda kwa jina la "Ipo siku", video iliyofanywa na Adam Juma wa Vissual Lab.
Huu ni moja kati ya wimbo unaogusa na kuwapa tumaini tulio wengi, ambao hali zetu za kiuchumi, kielimu, maisha kwa ujumla wake ziko chini. Naweza sema kwamba hata mimi nmeguswa na wimbo huu. Angalia Video hiiyo hapo chini kisha mshirikishe Rafiki, ndugu na wapenzi.
Goodluck Gozbert |
Huu ni moja kati ya wimbo unaogusa na kuwapa tumaini tulio wengi, ambao hali zetu za kiuchumi, kielimu, maisha kwa ujumla wake ziko chini. Naweza sema kwamba hata mimi nmeguswa na wimbo huu. Angalia Video hiiyo hapo chini kisha mshirikishe Rafiki, ndugu na wapenzi.
Video: Jike Shupa – Nuh Mziwanda Ft Ali Kiba
Baada ya kuchalia Audio week chache zilizopita na kupokelewa vyema katika familia ya bongo flava, basi hii ndiyo video ya Jike Shupa kutoka kwa Nuh Mziwanda akiwa amemsha vyema Alikiba. Producer wa wimbo ni Mr T Touch na Video ikifanywa Kwetu Studio.
10 June, 2016
Chid Benz Karudi Gym kuweka Body Sawa.
Hatiye Rapper Chid Benz(Chumaa) karudi Gym ili kuuweka mwili wake sawa na kuweka Body lake kurudi katika hali yake kama ilivyo kuwa hapo awali. Hii inakuja mara baada ya Rapper huyo kutoka Sober House huko Bagamoy siku chache zilizo pita.
#LETS DOIT HOMIE.
#LETS DOIT HOMIE.
Video: Sophia Grace-"Girl In the Mirror"
Imepita miaka mitano(5) sasa, tangu kuonekana katika show hiyo. Sophia Grace naye ana umri wa mika 13 kwa sasa ana anafanya Muziki wake, na Safari hii kaja na Ngoma mpya "Girl In the Mirror" aliyo mshirikisha Silento (yule wa "Watch Me (Whip/Nae Nae)"
TIZAMA VIEO HIYO HAPO CHINI "Girl In the Mirror"
Floyd Mayweather Afurahishwa na Kitendo cha Justine Beiber Kupigana.
Bondia Floyd Mayweather amefurahishwa na kitendo cha Justine Beiber kupigana katiga moja ya vurugu siku ya juma tano usiku katika ukumbi wa Cleveland huko Marekani. Akiongea na TMZ, Mayweather alisema "He showed he ain't no bitch."
Kwa muda mrefu sasa Justine Beiber amekuwa akifanya zoezi na Mabondia maarufu, lakini Mayweather amesema .. Katika mapigano hayo yeye alifurahishwa kwamba JB alionyesha kuwa na Moyo na sio kiwango chake.. "He showed he got heart."-Alisema.
Mayweather alisema kwamba, hafahamu ni kwa nini JB aliingia katika Vurugu hizo lakini the lesson is clear ... "Justin Bieber ain't no bitch."
TIZAMA KIPANDE HICHO KINACHO ONYESHA JB AKITWANGANA
Kwa muda mrefu sasa Justine Beiber amekuwa akifanya zoezi na Mabondia maarufu, lakini Mayweather amesema .. Katika mapigano hayo yeye alifurahishwa kwamba JB alionyesha kuwa na Moyo na sio kiwango chake.. "He showed he got heart."-Alisema.
Mayweather alisema kwamba, hafahamu ni kwa nini JB aliingia katika Vurugu hizo lakini the lesson is clear ... "Justin Bieber ain't no bitch."
TIZAMA KIPANDE HICHO KINACHO ONYESHA JB AKITWANGANA
Meek Mill bado anazidi kumsakama Drake.
Rapper Mwenye Maseke Meek Mill, bado hajaacha kumwandama Drake , Katika snap Chat Meek alikuwa akisema Kwamba WeekEnd nzima yote imekua gumzo kwa Album ya Drake...
What are you thoughts? Meek needs to worry about DC4, and DC4 only. Let it go Meek. Shut up and make great music
“Weeknd gave half his album to dat drake n-gga.. Drake not original at all. No shade all facts.”
What are you thoughts? Meek needs to worry about DC4, and DC4 only. Let it go Meek. Shut up and make great music
09 June, 2016
Music: Damian Soul Ft. Vanessa Mdee – Kaumba
Msanii Damian Soul ameachia wimbo mpya unaitwa “Kaumba” amemshirikisha Vanessa Mdee,Ikiwa imefanywa na Producer Chizain Brain.
Bobby Brown asema aliwahi Kufanya mapenzi na "Mzimu" (Video)
Kama tunavyo fahamu kwamba Bobby Brown ni moja kati ya manguli wa muziki wa R&b na pia alikua mume wa Marehemu Whitney Hyuston. Kwa sasa jamaa huyu ana umri wa miaka 47 na hapa ana story yakutushirikishaa. Wakati akihojiwa na mtanazaji Robin Roberts wa 20/20, Bobby alitoa storry ambayo Ilionekana kama Miujiza..... “One time I woke up and… yeah, a ghost. I was being mounted by a ghost,” said Brown. “I wasn’t high.” boby Alisema
tafadhali Tizama Full inteview hapo chini
tafadhali Tizama Full inteview hapo chini
Video: Justine Bieber ‘Company’
Company ni ngoma inayo patikana katika album yake inayokwenda kwa jina la ‘Purpose’ album ambayo inafanya Vyema katika masoko ya muzsiki huko Marekana na ulimwenguni kote. Na hii ndio video ya wimbo 'Company" kutoka kwa Justine Bieber
Picha: Muonekano mpya wa Rapper Chid-Benz.
Kama wengi tunavyo fahamu kwamba Rapper Chid-Benzi aliathirika kwa madawa ya kulevya hali iliyo mpelekea afya yake kudhorora na hata yeye mwenyewe kuomba msaada katika hilo na hatimaye Akafanikiwa kupelekwa sober house huko bagamoyo, ambako alikaa kwa muda wa week 20 na hatimaye kutoka.
Katika ukurasa Cloudsfmtz huko istagram, ilionekana post yenye picha za muonekano mpya wa Rapper huyo zikiambataba na ujumbe
” Muonekano mpya wa Chidi Benz Chuma…@CloudsTv pekee inakuonyesha safari za mwana harakati @Kalapina kwenye hatua za kusaidia vijana kuachana na janga la dawa za kulevya kwenye show ya #Harakati. #HarakatiNiVitendo “Ukizitizama picha hizo kwa makini, utaona ni jinsi gan Afya ya Rapper huyo ikizidi kuimarika tofauti na hapo Awali.
Video: Chege Feat.Kalakala & Gift – Sungura Kamtie Moto
Tizama video mpya ya Chege a.k.a mtoto wa mama Saidi akiwa amewashirikisha wasanii Kalakala na Gift, video hii imeongozwa na kampuni ya Kwetu Studio na ngoma inakwenda kwa jina la Sungura Kamtie Moto. Tizama video hiyo hapa
Video: Young Killer Ft. Mr Blue – Kumekucha
Kutoka pende za Mwanza Young Killer ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Kumekucha” akiwa amemshirikisha Mr Blue,Video imeongozwa na Tonee Blaze Tizama Video hiyo hapa
08 June, 2016
Pictures: Kanye West street looking styles.
Wote tunamfahamu Kanye kama ni Mwanamuziki na mtayarishaji wa Muziki but this Man is Mult-talented, kwa muda mrefu sasa amekuwa akijikita katika Fashion akiwa na Boots zake(Yeezy Boots) na T-shirt zake zilizo chanika ikiwa ni pamoja na suruali zake zilicho chanika magotini(Crays styles). Tizama baadhi ya picha zinazo mwonyesha Kanye Akiwa kitaa...
Video: Snoop Dogg Featuring Wiz Khalifa-“Kush Ups”
Nguli wa Muziki wa hip-hop na mkongwe katika game ya Muziki Snoop Dogg akishirikiana vyema na mkali mwingine kutoka pande hizo hizo za Marekani Wiz Khalifa wanatuletea brand new video inayo kwenda kwa jina la Kush Ups.
New Audio: Mr. Blue ft Ali Kiba - Mboga Saba
Akishirikiana Vyema na Alikiba, Mr Blue katuletea ngoma mpya inayo kwenda kwa jina la Mboga Saba, iliyo fanyika kwa Producer Man Water. Download ngoma hiyo pia kumbuka kushare na wana kitaa.
07 June, 2016
Show ya Kanye West Kuvunjika
Week end ilikua ni siku ambayo rapper mwenye jina kubwa na Mafanikio Kanye West alipaswa kufanya show katika Ukumbi wa Webster Hall huko New York, ila show hiyo ililazimika kuvunjwa sababu ya idadi kubwa ya mashabiki wapatao 4000 wakijitokeza ilhali ukumbi huo haukuwa na uwezo wa kubeba idadi kubwa zaidi ya watu 1500.show hiyo ilifutwa kwa ajili ya Usalama.
Rapper LL Cool J karudi tena shule.
Elimu haina mwisho na wala haina umri maalumu wa kusoma maana Elimu ni bahari. Hii imekuja pale ambapo Rapper Maarufu Marekani na ulimwenguni kwa Ujumla kuamua kurudi tena darasani akiwa na umri wa mika 35 licha ya mafanikio makubwa aliyo kuwa nayo katika Industry ya Burudani kwa ujumla.
Raper huyo mwenye album 13 za hip-hop na pia mwanzili wa Tv series kama vile "In the House" na pia amewahi kuonekana katika Movie "Krush Groove" na ile ya "Any Given sunday" amekuwa na kiu ya elimu.
Raper huyo yupo Boston katika chuo Cha Havard kitengo cha biashara, akijifunza ni namna gani ataweza kuendesha vyema katika industry ya Burudani.
Katika Ukurasa wake wa Twitter alipost picha kadhaa zikionyesha akiwa Class..
Raper huyo mwenye album 13 za hip-hop na pia mwanzili wa Tv series kama vile "In the House" na pia amewahi kuonekana katika Movie "Krush Groove" na ile ya "Any Given sunday" amekuwa na kiu ya elimu.
Raper huyo yupo Boston katika chuo Cha Havard kitengo cha biashara, akijifunza ni namna gani ataweza kuendesha vyema katika industry ya Burudani.
Katika Ukurasa wake wa Twitter alipost picha kadhaa zikionyesha akiwa Class..
Akiwa na ProfessorI'm taking classes at the Harvard business school. You're never too cool to learn! @hbsexeced @harvardhbs 📷Kev.wolf pic.twitter.com/ZX37EyZ50t— LLCOOLJ. (@llcoolj) June 2, 2016
My Professor @anitaelberse is special.. Harvard #backtoschool @hbsexeced @HarvardHBS pic.twitter.com/Uw5VOzUfpU— LLCOOLJ. (@llcoolj) June 4, 2016
Mambo ambayo hupaswi kufanya pindi unapo fika mika 24.
Katika maisha ya mwanadamu, mambo huenda yakibadilika kulingana na Umri na muda husika hivyo kuna mambo ambayo mtu akifika umri na muda fulani hupaswa kuyafanya na mengine hapaswi kufanya tena.
Kama inavyo julikana kwamba umri wa miaka 24 ni umri ambao kijana ana hesabika kwamba kakamilika katika idara zote(Kielimu,kiakili na fikra,) wengi walio vijanakatika kundi hili ni wale ambao wamemaliza(Wamehitimu) masomo yao katika Vyuo mbali mbali, hivyo wanakua teyari kuanza maisha wakiwa peke yao. Wengine hapa ndio muda wa kuanzsa kufanya yale walio kuwa wakitaman kufanya pindi wakiwa masomoni mfano Biashara na vitu kama hivyo na wengine huwa bado katika njia panda(hawajui bado nini chakufanya kwa wakati huo).
Kabla sijaendelea tafadhali pitia hizi zifuatazo kwanza:-
1.Acha kuogopa na thubutu kufanya
2.Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili maisha yako leo
3. Kanuni 9 za mafanikio kutoka kwa Steve Jobes
4. Tuzungumzse yanayo tusibu na kupata suluhisho
Baada ya kupitia hapo juu basi tuendelee na Mada yetu ya leo na haya yafuatayo ndiyo mambo ambayo hupaswi kufanya tena baada ya kufika umri wa mika 24...
Acha/punguza kuvaa nguo za Bei rahisi.
Wakati ukiwa teeneger ulikua unavaa nguo za bei chee na kubadili kila wakati, lakini kwa sasa umeingia ukubwani na una unategemea/unafanya kazi ya maana , hivyo unapaswa kuwekeza katika mavazi ya maana na stlyes tofauti tofauti za maana.Acha kuwa na mahusiano(mapenzi) na mtu ambaye haendani na wewe.
Nafahamu swala la mapenzi linatesa sana vijana tulio wengi na linapo kujaswala la kuwa na mahusiano na mtu ambaye ni wa aina yako hapo ndipo Ungumu huonekana kweli kweli, lakini yakupasa kuchukua mda mrefu kuchanganua "who is suitable for you" na kwa wakati gani. Usipoteze muda wako kuwekeza kwa mtu unaye mjua ndani nje kuwa haendani na wewe ila tamaa tuu ndio zinakufanya kuwa nae.
Punguza kujali wanacho kisema wengine.
Ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kuhofia kile wanacho kisema wanadamu wengine, lakini mengine huwa ni mambo ya kukandamizana tuu. Hivyo punguza ama acha kusikiliza wanacho kisema maana itafika kipindi utakata tamaa na kubadili malengo yako kisa tuu maneno ya wanadamu wa duni hii ya leo na hata inaweza kufika pahala ukatamini kujiua.Acha kuwalaumu wazazi.
Nafahamu kwamba vijana tulio wengi tumetokea kwenye familia za kimasikini na maisha yetu ya leo kwa namna moja ama nyingine yamesabashwa na familia tulizo kulia. Kuna wakati maumivu ya umasikini hutuchoma mithili ya moto wa gas na kufika pahala tunasema "Laiti wazazi wangu wangekuwa......." au "Bora ningezaliwa Mbwa/paka ulaya" no no noooo punguza kusema hivyo na kumbuka kwamba umekwisha kuwa mtu mzima una akili, nguvu na Chance ya kutoboa. Hakuna mzazi aliye kamilika jamani.Acha kuwa tena na matumaini ya ndoto zako bali fanya kweli.
Siyo vibaya kwa kijana kuzidi kuwa na matumaini juu ya ndoto zake lakini inapaswa ifikapo muda fulani, basi tumaini hilo litime na kuonekana katika maisha(Hiyo ndio maana ya tumaini). Jaribu kufanya kile ulicho wahi kukitumainia na kukiota enzi za udogo wako maana huu ndio wakati wa kufanya kweli.Punguza kutumia muda mwingi kwenye Internet.
Jambo hili ni ngumu kwa kijana wa leo. Hili jambo limekuwa tegemezi kiasi kwamba mtu hawezi kukaa bila mtandao. Watu wanatafuta mambo mitandaoni, wanajinga na marafiki na mambo mengi kibao. Lakini unapaswa kutenga muda na kuwa na mipaka katika hili maana jambo hili ni moja kati ya mambo yanayo poteza muda wa mwanadamu kuliko kitu chochote.Hitimisho.
Yapo mambo mengi ambayo wewe kama kijana mwenye umri huu hupaswi kufanya maana utu uzima umekufika teyari huvyo basi, yale yote uliyo yafanya tangu ukiwa shuleni unapaswa kuyatupilia mbali na Kufanya mambo kiutu uzima zaidi.
"NIWATAKIE WAISLAMU WOTE RAMADAN KAREEM"
06 June, 2016
Page za Mark Zuckerberg zimedukuliwa(Hacked)
Hapa ndipo pale ninapo amini kweli mganga hajigangi. Mark Zuckerberg mwanzilishi wa Facebook hapo jana aliiionja joto ya jiwe baada ya Kurasa zake za Mtandao wa LinkedIn, Twitter pamoja na Pinterest kudukuliwa(Hacked) kwa muda wa siku ya juma pili.
Kundi moja la Hackers linalo julikana kwa jina la Ourmine limedai kuzidakua akaunt hizo za Mark. Kundi hilo liliandika ujumbe katika ukurasa wao wa twitter likimtaka Mark awafuate(awasiliane nao).
Hey @finkd we got access to your Twitter & Instagram& Pinterest, we are just testing your security, please dm us"
Akount hizo zilirudishwa tena mikononi mwa Mark baada ya kazi nzito ilofanywa na wataalamu wa usalama wa mitandao kumudu kuzidhibiti saa chache baadaye. Ifahamike kwamba tangu mwaka 2012 Mark haja posti kitu chochote katika kurasa hizo.
Kutokana na mfumo imara wa mtandao wa Instagram, uliwafanya Hackers hao kushindwa kudakua ukurasa wa Mark.Wandani wa maswala ya usalama wa mitandao ya Intaneti wanadai kuwa huenda udukuzi wa mwaka wa 2012 wa ukurasa wake wa LinkedIn ndio uliochangia tukio hilo la jana.
MY TAKE! Kuweni makini na mitandao hii ya kijamii maana usalama wa mitandao hii siyo wa kuamini moja kwa moja.
NEW VIDEO:”Bayoyo”,Abdu Kiba.
Moja kati ya wasanii wanao fanya poa katika Game ya Bongo flava, Abdu kiba katuletea Video ya wimbo unao kwenda kwa jina la Bayoyo, video ikiwa imefanywa na Director anaye fanya vizuri Afraca Mashariki "Hans Cana"
Picha: Iyanya alivyo tokelezea katika jarida la "La Mode"
Mwimbaji mwenye vipaji vingi na Former MTN Project Fame winner kutoka pande za Nigeria, kalibariki jarida la 'LA MODE" toleo la 10 ambalo limepewa theme ya "Classic Man". The dapper Triple MG artiste posed in various outfits and exuded confidence and class. Tizama picha.....
New Video: Jay Moe-‘Pesa Ya Madafu’
Juma Mchopanga a.k.a Jay Moe katuleta Video mpya inayo kwenda kwa jina la ‘Pesa Ya Madafu’ ,Audio imetaayrishwa na Daz Naledge kwenye studio za Bongo Records Studio na video imefanyika Port Elizabeth na Johannesburg South Africa ikiongozwa na director Travellah wa KWETU STUDIOS.
Colabo kati ya Diamondi na Raymond inakuja?
Diamond na label yake mpya WCB yenye vichwa kama vile Harmonize, Raymond, Rich Mavoko na dada yake Queen Darleen anazidi kuwa onyosha watanzania kwamba amepania kufanya kweli. Katika ukurasa wake wa istagram Diamondi amethibitisha kwamba kuna Colabo kati yake na msanii wake Rymond inakuja.
diamondplatnumzClick the link in @rayvanny ‘s BIO to Download his brand new Track #NATAFUTAKIKI …BTW, Ukiacha Collabo nlizofanya nje….. nafkiri Ngoma nilomshirikisha @rayvanny ndio inatawala sana kwenye Speaker za Gari yangu!
Subscribe to:
Posts (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...