
27 June, 2015
T.I katuletea video hii
26 June, 2015
Na hii ni Video mpya ya Mr Flavour – Power To Win
The most expensive pair of Air Jordan 1
If you are into the sneaker game this new pair of Jordans might already
be on your list, if not well they should! The latest Air Jordan
1 are made with ultra premium materials and feature black patent
reptilian leather with 24K gold-plated details located on
25 June, 2015
Na hizi ni sababu alizozitaja Barnaba kutofanya muziki kimataifa kama wakina 2 Face, Sauti Sol nawengineo

Epuka mawazo hasi kwa mwenzi wako, ni ugonjwa wa moyo

Beyoncé naye kuonekana kwenye movie ya Avengers kama mmoja wa 'superhero'!

24 June, 2015
Entertainment Baada ya kuwabwaga MTN Wiz Kid achukua dili kubwa zaidi.
Wiki chache baada ya kukataa mkataba wa kampui kubwa ya simu
Nigeria ‘MTN’ Star Boy Wiz Kid amethibitisha kuwa ameingia mkataba na
wapinzani wa kampuni hio ambao ni Globacom ‘Glo’. Wiz Kid ametangaza
rasmi kuwa
James Horner afariki ajalini
James Horner, mtunzi nguli wa eneo
maarufu kwa watu maarufu la Hollywood ambaye aliandika na kushinda
katika tuzo za Oscar juu ya filamu maarufu ulimwenguni ya
Titanic,amefariki dunia mjini California kutokana na ajali ya ndege
akiwa na umri wa miaka 61.
Video: Jose Chameleone – 'Bwerere'

Video: Chemical Ft Soprano Musiq - 'Sielewi'

23 June, 2015
Dylan Kerr kocha mpya wa Simba, anatokea Uingereza

NEYMAR AJUTA " I’m sure this was an important learning curve in my career." ALISEMA
Barcelona Star Neyamr ambae hivi karibuni amepigwa panga la kukosa mechi nne kwenye Copa America baada ya kitendo cha utovu wa nidhamu alichofanya kwenye mechi. Licha ya kuwa nje ya uwanja lakini bado anaendelea kuwa supporter mkubwa wa timu yake kwa
22 June, 2015
Download New Music: Flavour - 'Power To Win'

Click to Download New Music: Flavour - 'Power To Win'.
Ben Pol kuachilia album yake akiwa chini ya uongozi mpya wa Panamusiq

Video: Ice Prince – 'Marry You'

Wasanii wawili wakubwa kujitoa Young Money.
Kendrick Lamar awasifia Wasanii hawa kwa swagg kali kwenye video
Sio jambo linalotokea kila siku kuona rapa Kendrick Lamar kusifia wasanii wenzake.
Kendrick Lamar amewasifia wasanii Lil B na Lil Wayne kwa kuwa washawishi bora wa jinsi wasanii wanavyotakiwa kufanya kwenye video, mavazi, muonekano, kucheza na swagg za video kali.
Avril katoa video yake mpya ya wimbo aliofanya na Rabbit ‘Ninaweza’.Itazame hapa
21 June, 2015
MAGAZETINI LEO JUNE 21
MWANANCHI
Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) limekubaliana na ombi la klabu za Ligi Kuu la kusajili wachezaji saba wa kigeni badala ya watano wa sasa.Bodi ya Ligi iliwasilisha uamuzi wa
klabu zote za Ligi Kuu wa kuiomba TFF ibadilishe kanuni ili ziweze
kusajili wachezaji wengi zaidi wa kigeni kwa lengo la kuinua kiwango cha
ligi hiyo.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...

-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Brit Awads 2016 zimefanyika huko London ambapo mwanamuziki Adele ameondoka na tuzo nyingi zaidi katika nomination alizo kuwepo. Hizi hapa...