utoka weusi ni Nikki Wa Pili akiwa amempa shavu Chin Bees. Audio inakwenda kwa jina la Sweet Mangi, Audio ikiwa imetengenezewa Switch Record/Lufa.Kumbuka kuwashirikisha wana kitaa.
Bofya ku Download Music: Nikki Wa Pili Ft. Chin Bees – Sweet Mangi
30 July, 2016
Movie: Mel Gibsonin in “Hacksaw Ridge"-Official Trailer
Hii ni filamu ya kwanza ya Mel Gibson kuongoza ndani ya miaka 10 na inategemewa kutoka November mwaka huu.
New music: DJ Khaled Feat. J. Cole – Jermaine’s Interlude
Special Cole alert! DJ Khaled secures the bag with J. Cole for the duo’s latest collaboration, “Jermaine’s Interlude,” a cut off Major Key. Enjoy it, and don't forget to share it with a friends.
29 July, 2016
Wauawa kwa kushindwa kulipa deni la biskuti India
Mtu mmoja na mkewe kutoka jamii ya
Daliti inayobaguliwa tangu jadi nchini India wameuawa, mmoja akiwa
amekatwa kichwa na mwengine kunyongwa kwa kushindwa kulipa deni la Rupee
kumi na tano ambalo ni karibu senti ishirini na mbili tu.
Mfanyi biashara huyo amekamatwa.
Ubaguzi kwa misingi ya kijamii umeenea sana nchini India, huku watu wa jamii ya Daliti waliokuwa wamebadikwa jina la 'the untouchables' wakiwekwa kwenye daraja la chini kabisa kwenye sera hiyo ya kibaguzi nchini India iitwayo 'caste' ambapo wananyimwa fursa nyingi za kimaendeleo na hivyo kubaki katika lindi la umaskini .
Hata hivyo Visa vya ukatili wa kibaguzi dhidi ya jamii ya Dalit katika jimbo la Gujarat vimeongezeka mnamo siku za hivi karibuni na vimesababisha wimbi la maandamano kutoka watu wa jamii hiyo.
Video: Nikki Wa Pili Ft. Chin Bees – Sweet Mangi
Kutoka weusi ni Nikki Wa Pili akiwa amempa shavu Chin Bees. Video inakwenda kwa jina la Sweet Mangi, Audio ikiwa imetengenezewa Switch Record/Lufa na Video ikiwa imesimamiwa na Justin Campos. Kumbuka kuwashirikisha wana kitaa.
Ni nini Hatma ya Schweinsteiger Man United?
Hatma ya mshindi wa kombe la dunia
Bastian Schweinsteiger katika klabu ya Manchester United haijulikani
kufuatia kuajiriwa kwa kocha Jose Mourinho .
Schweinsteiger mwenye umri wa miaka 31,anaonekana kuwa mmoja wa wachezaji tisa ambao huenda wakaihama klabu hiyo.
Kiungo huyo wa kati ambaye ametangaza kustaafu katika soka ya kimataifa alifanya mazoezi pekee wakati ambapo wenzake walifanya zoezi pamoja kwa mara ya kwanza.
Washambuliaji Adnan Januzaj,Will Keane na James Wilson ,kiungo wa kati Andreas Pereira na mabeki Cameron Borthwic-Jackson,Tim Fosu Mensah,Tyler Blackett na Paddy McNair pia wameripotiwa kuondoka ijapokuwa wengine wataondoka kwa mkopo.
Kati ya wachezaji hawa hakuna hata mmoja aliyechaguliwa katika kikosi cha wachezaji 23 kwa mechi ya kirafiki siku ya Jumamosi dhidi ya Galatasaray mjini Gothenburg.
27 July, 2016
Video: Waje – Mountain
Our Naija sweetheart, Waje tore the stage up with a song from her
unreleased album. The record is titled “MOUNTAIN” and produced by
Sizzlepro.
Roger Federer ametangaza Kutoshiriki michuano ya Olympiki mwaka huu.
Tangazo lake hili linakuja kufuatia maumivu ya goti aliyoyapata na kufanyiwa upasuaji mwezi februari hali iliyomsababisha kuzikosa French Open zilizofanyika mwezi Mei.
Mapumziko haya ya Federer yatamfanya kuikosa michezo yote ya msimu wa mwaka huu. Amesema anahitaji kujijenga upya iwapo anataka kuendelea na mchezo wake wa Tenisi.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook amesema anasikitika kwa kutoiwakilisha nchi yake ya Uswisi huko Brazil katika Olympiki na anajisikia vibaya kupoteza muda wa msimu uliosalia.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...