14 May, 2015

wafahamu wasanii watatu waliojitoa Cash Money ndani ya miezi sita.

bow wow
Baada ya Omarion na rapa Busta Rhymes kujitoa Cash Money records, Jumamosi ya May 9 2015 rapa/mtangazaji/ mwigizaji Bow Wow ametumia kurasa yake ya facebook kufahamisha mashabiki kuwa amejitoa rasmi Cash Money baada ya miaka mitano na lebel hio na kutoa album moja tu ambayo ni
‘Underrated’.
Bow wow amerudi kufanya kazi na waliomtoa kwenye muziki ambao Jermain Dupri na Snoop Dogg.
Hii ni video ya Bow Wow akielezea sababu za kujitoa.
Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,SuScribe Youtube>>>MAWERE TV

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...