Kila siku namkumbusha kwamba baada ya tabu au majaribu inakuja baraka. Tunaimani mambo makubwa na mazuri kuja hapo mbeleni. Mungu hajatuacha sisi na hata mwanangu pia. Hivi karibuni atakua yule mtu ambae anataka kuwa, mfungaji magori na sio vingine.
Hayo ni maneno ya Carmena Zarate mama wa Radamel Falcao, amesisitiza kwamba sio kila kitu kwenye maisha ya Falcao ni rahisi, kuna nyakati mambo yanakua magumu kama hivi sasa. Mama huyo amesema kwamba mwanae hana furaha na kiwango chake kimerudi nyuma akiwa ndani ya Manchester united.
No comments:
Post a Comment