05 June, 2015

Ajax wametoa video inayoonesha ufundi wa mchezaji wao wa zamani, Luis Suarez wakati wanajadili mechi ya fainali ya kesho ya Uefa Champions League.

CGmexLGVIAEDrNRTimu hiyo ya Uholanzi imepata video ya kumbukumbu ya nyota huyo wa Barcelona ambaye aliwahi kucheza Amsterdam Arena. Video hiyo inaonesha ufundi wa Suarez wa kuchezea mpira kipindi hicho akiwa Uholanzi.

ONA JINSI SHABIKI HUYU ALIVYO KUTANA NA KENRICK LAMAR BAADA YA KUSKILIZA WIMBO WA "I" NAKUBADILI NIA YAKE YAKUJIUA

kendrick-lamar-fan-sweetlife-1433078177.png
Shabiki anayejulikana kwa jina Claire amepata nafasi ya kukutana na mtu aliyeokoa maisha yake ‘Kendrick Lamar’baada ya kuhudhuria show yake. Kendrick alimuona dada huyu analia sana huku akisema maneno ‘You Saved My Life’na kuamua kumpandisha jukwaani ndio alipotoa stori yake.

KAMA BADO HAKUPATA MAGEZETI YA LEO , KUTANA NAYO HAPA MTOKA MBALI

 Image result for NEWS UPDATE
NIPASHE
Serikali imesema kuwa inafanya utaratibu wa kuwalipa fedha takribani Sh. bilioni 19 za waliokuwa wanachama wa Taasisi ya Development Entrepreneurship Community Initiative (Deci).
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, alisema fedha hizo zimehifadhiwa katika akaunti ya Benki Kuu (BoT) na kwamba kinachofanyika sasa ni uangalizi wa kiasi cha michango iliyochangwa na

04 June, 2015

Raheem Sterling kwa upande wa wachezaji wa EPL ndio hot cake kwenye usajili.

st
Raheem Sterling kwa upande wa wachezaji wa EPL ndio hot cake kwenye usajili. Habari zilipanda sana baada ya kukataa mkataba wa Pound laki moja kila wiki kutoka kwa Liverpool.
Sterling mwenye miaka 20 amepata ofa nyingi kutoka kwa karibia timu zote kubwa Ulaya na hivi sasa

Video mpya ya Rita Ora ‘Poison’ itazame hapa.

rita-poison-videoHii video mpya ya muimbaji kutoka Uingereza Rita Ora “Poison” inamuonyesha akiwa kwenye mapenzi na vijana wawili huku akishindwa kuchagua. PLAY>>>>>>>>>
Image result for Diamond PlatnumzWimbo wa Diamond Platnumz wavuja ‘Ntakukumbuka’, sikiliza hapa

03 June, 2015

Gundogan anatarajiwa kutangazwa na Manchester united kuwa mchezaji mpya wa club hiyo

11a
Usajili ndio mpango mzima hivi sasa huko Ulaya. Manchester united imewashinda Bayern Munich na Barcelona kwenye vita ya kupaya saini ya mchezaji wa Borussia Dortmund.
Mchezaji huyo ambae anacheza sehemu ya midfield amesakubaliana mambo ya msingi na

Takwimu mpya zimetoka zikionyesha club gani imeingiza kiasi gani kwa msimu uliopita wa 2014/2015

DXB2
Takwimu mpya zimetoka zikionyesha club gani imeingiza  kiasi gani kwa msimu uliopita  wa2014/2015.Mpangilio wa table ya ligi haujalishi kwenye swala la kuingiza pesa nyingi. Mfano Manchester united kwenye ligi imekua ya nne lakini kwneye listi ya kuingiza pesa nyingi imekua ya tatu. Liverpool kwenye ligi imekua ya

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF leo limezindua jezi mpya za timu za Taifa,

MALIZI3
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF leo limezindua jezi mpya za timu za Taifa, zitakazokuwa zikitumika na timu za Taifa katika michuano mbali mbali itakayokua inazikabili.Uzinduzi huo wa jezi mpya uliofanyika katika ukumbi wa Kilimanjaro jengo la Golden Jubilee uliambatana na uziduzi wa tovuti mpya ya

Video: Abizzy Ft Davido - 'Sugar' Remix


Abizzy Ft Davido - FreeTown4Ever Entertainment Drop the remix video of Abizzy's hit single "Suga" Featuring davido. Produced by Nashito Kulala, mixed and mastered by Giggz and Directed by Dang Films. PLAY IT HERE>>>>>>>>

02 June, 2015

Video: Nicki Minaj na Meek Mill wameachana baada ya mahusiano yaliyo dumu miezi michache tu!

 
Tetesi zimezidi kusambaa weekend ya mwisho wa mwezi May kuwa Nicki Minaj na Meek Mill wameachana, Kumekuwa na post chache kwenye acount zao za Gram ambazo zimeleta mtazamo kwa kila mmoja aliye ziona kutokana na caption walizo andika nakusabaisha kukuza tetesi hizo.

Video ya collabo ya Iyanya na Diamond Platnumz

Diamond
Ni Hit baada ya Hit.. Jina la staa anayeiwakilisha poa TZ kwenye muziki Afrika na nje ya mipaka limerudi tena kwenye Headlines.. Diamond aliwahi kusema kwamba hii collabo yake na Iyanya ni ya muda mrefu sana, lakini baadae ikavuja audio.. baadae tukaona pichaz za behind the scenes, na

Baba yake Kim kardashian Bruce Jenner sasa ajiita Caytlin


Mnamo mwezi Aprili Bruce Jenner alijibadilisha maumbile katika mahojiano na Diane Sawyer wa ABC.Mnamo mwezi Mei Jenner mwenye umri wa miaka 65 alijadiliana na familia yake kuhusu hatua yake ya kujibadili maumbile katika kipindi cha ''keeping up with the Kardashians''.

01 June, 2015

Kanye West atarajia kupata mtoto wa pili baada ya ujauzito wa mke wake Kim Kardashian

Rapper Kanye West (37) na mke wake Kim Kardashian (34) wanatarajia kupata mtoto wa pili.
Baada ya majaribio ya miezi kadhaa ya kushika ujauzito wa pili, Kim ameweka wazi kuwa ni mja mzito kupitia reality show ya Keeping Up With The Kardashians alipomueleza mdogo wake Khloe Kardashian juu

Mbunge Augustino Mrema amelalamika tena kuhusu yaliyosemwa Jimboni kwake Vunjo !!

Voting
Ni zaidi ya mara mbili nasikia Mbunge wa Vunjo, Augustino Mrema akilalamika kuhusu kufanyiwa fitna na watu kwenye Jimbo lake la Vunjo, leo katika Kikao cha Bunge Dodoma amepewa nafasi tena.. kawasha kipaza sauti, kalalamika tena kuhusu anachofanyiwa Jimboni kwake.

Vin Diesel ameiweka wazi logo ya Fast and Furious 8 pamoja na mwaka watakayi iachilia movie hiyo

Hata hatujaisahau Fast and Furious 7, tumeletewa habari kwamba mwendelezo unaendelea wa mfululizo wa movie hizo kwenye sehemu ya 8 ambapo Fast 8 inatarajiwa kutoka April mwaka 2017.

31 May, 2015

Rio Ferdinand na hatma ya soka lake..

yeye
Akiwa bado kwenye majonzi makubwa ya mkewe aliyefariki duniani mwanzoni mwa mwezi huu, beki wa zamani wa Manchester United na timu ya Taifa ya England Rio Ferdinand ameweka wazi mikakati yake mipya katika mahojiano aliyoyafanya.

Waziri Nyalandu na mkewe Faraja kwenye jarida la bang time hii !

ba1Bang ni miongoni mwa Majarida ya Tanzania ambayo yamekuwepo kwenye headlines kwa muda mrefu ambapo time hii kuna toleo jipya ambalo Waziri wa mali asili Lazaro Nyalandu na mke wake ndio wamecover. Humo ndani wanazungumzia maisha yao, pia

R Kelly atangaza ujio wa album mpya

r-kelly-hln
Rnb legend R. Kelly ametangaza ujio wa album yake ya 14 iliyopewa jina The Buffet. Kelly alisema kwenye interview “Tegemea kitu ambacho hukutegemea kutoka kwake,  The Buffet ndio jina la album na kwamba ametumia muda mwingi kurekodi na mategemeo ni makubwa”

Flaviana Matata kwenye tangazo jingine tena New York Marekani.

123Ni Watanzania wengi sasa hivi yanatambua uwepo wa Mwanamitindo Flaviana Matata ambaye anaishi na kufanya kazi New York Marekani na amekua akiiwakilisha nchi yake vizuri tu pamoja na kuikumbuka kwa kusaidia kulipa ada za Wasichana wasiokua na

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...