Showing posts with label AUDIOS. Show all posts
Showing posts with label AUDIOS. Show all posts

03 January, 2016

Wimbo mpya wa Tyga ‘Gone Too Far’ usikilize hapa.

too far
Tyga anajipanga kutoa mixtape mpya ya Rawwest Ni**a Alive mwezi huu na hii ndio kazi mpya kutoka kwake ya mwaka 2016 “Gone Too Far.”
Kwenye wimbo huu Tyga anaimba kuhusu mpenzi wake  (“You my Grammy, all them other hoes nominees”), Oprah Winfrey (“She can get fat like Oprah, as long as she always get back like Oprah”), and the competition (“Rappers ain’t rapped in a minute / Saying broke is a joke / I ain’t laughed in a minute”).
Rawwest Ni**a Alive inatoka January 15 .

08 December, 2015

NI BELLE 9

post-feature-image
click HAPA kuupakua wimbo huo

Huu wimbo mpya wa Jux ‘One More Night’.

juxHii single mpya ya rnb staa Jux ‘One More Night’ imetayarishwa na producer Nahreel wa The Industry.
Bonyeza hapa kuudowload
sikiliza hapo chini

Huu wimbo mpya wa Baby Boy Ft Mr Blue ‘Naendelea’.

baby 



Baada ya ukimya wa miaka kadha, rapa Baby Boy amerudi kwenye muziki, huu wimbo wake Mpya
dowload hapa  HAPA

30 August, 2015

Wimbo Mpya: Diamond Platnumz – CCM No-1


 Diamond kaamua kuja na hii mpya, ameipa jina CCM No-1 ikiwa ni maalum kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu. Isikilize hapa….

Music: Justin Bieber – 'What Do You Mean?

Hii ni ngoma mpya ya Justin Bieber iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ‘What Do You Mean’ iliyotoka jana.

25 August, 2015

NEW AUDIO:Harmonize--‘Aiyola’

aiyolacoverfinal (1)Harmonize ni msanii chipukizi ambaye yupo chini ya label ya ‘Wasafi Classic’ inayoongozwa na Diamond Platnumz a.k.a Dangote ameachia wimbo wake mpya ‘Aiyola’. Huo ni wimbo wa kwanza kuachiwa kwa wasanii waliopo chini ya label hiyo ya Wasafi Classic na producer wa wimbo huo ni Max.Sikiliza hiyo ngoma hapa;

10 August, 2015

Feza Feat.Chege na hii mpya ‘Sanuka’…(Audio)

clever
Baada ya ukimya aliyekuwa mshiriki wa Big Brother, Feza Kessy ameachia single yake nyingine mpya inayoitwa ‘Sanuka’ ndani akimshirikisha Chege.
Ngoma hiyo imetayarishwa na producer Sheddy Clever.

04 August, 2015

NEW AUDIO: MAYUNGA NICE COUPLE

RadekArtPhoto-5780Yule mshindi wa Airtel Trace Music Star Mayunga ametuletea audio yake iitwayo NICE COUPLE chukua time yako adhim kuidowload nakushare na wana DOWLOAD HAPA

’Belinda’ (Remix) Davido na AKA

COVDj kutoka Afrika Kusini  Maphorisa ameachia remix ya ngoma yake ‘Belinda’ ambapo ndani wamesikika mastaa kutoka Nigeria Davido pamoja na Rapper AKA.

03 August, 2015

01 August, 2015

NEW: MAKOMANDO FT. M- RAP – TANZANIA (OFFICIAL MUSIC)

MAKOmandoKundi moja la wasanii wa muziki hapa Tz maarufu kwa jina la ‘Makomando’ ambao wanafanya vizuri kwenye muziki wa Bongo fleva, kwa sasa wamekuletea ngoma nyingine ambayo wamemshirikisha rapper M-rap inaitwa ‘Tanzania’ imetengezwa katika studio ya Uprise Music chini ya mikono ya Producer ‘Dupy’

27 July, 2015

NEW: RUBY BAND – MKANYE MWANAO (OFFICIAL MUSIC)

f0a9bd33d8fc8ab39a00cc1942bdb780-260-260Moja kati ya band za hapa Tz ambazo zinafanya vizuri kwenye muziki wa kizazi kipya ni pamoja na ‘Ruby Band‘ sasa hii ni taarifa mpya na njema coz wameachia wimbo mpya amabo unaitwa ‘Mkanye mwanao’ Produced by Ruby records. Hivyo poteza muda wako kuusikiliza wimbo hapa, ukimaliza tunakuomba usibanduke kweny tovuti yetu kwani bado tunaendelea kukujuza zaidi.

22 July, 2015

AUDIO: Navy Kenzo na Vanessa Mdee “Game”

GamesocialNavy Kenzo ni kundi lenye mapendekezo ya kuwania tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) mara mbili mfululizo katika kipengele cha kundi bora la mwaka, ikiwemo mwaka huu pia. Rekodi ya “Game” ni nyimbo ya pili kutoka kwenye albamu yao ya “Above In a  minute”
Nyimbo hii “GAME” imetayarishwa na Nahreel (The Industry Studios)

Huu wimbo mpya wa Mr Blue ‘Changamoto’ usikilize hapa

MR-BLUEBaada ya kutoa video na Navio wa Uganda, Mr Blue ametoa wimbo wake mpya ‘Changamoto’ usikilize hapa kwa kubonyeza Play.

08 July, 2015

‘Nitavumilia’ (Audio) Barakah Da Prince amemshirikisha Ruby

unnamed

Mwaka 2015 jina la Barakah Da Prince, mkali wa Bongo Fleva ambae anaiwakilisha Rock City Mwanza limepaa kwa nguvu kubwa sana, hits zake zimegusa kila kona.. Watu wakaweka kura nyingi kwenye KTMA 2015 category ya Msanii Bora Chipukizi, na Tuzo ikaenda kwake pia.
Hajatulia kusubiri mambo yapoe, katoa ngoma nyingine mpyampya na imenifikia tayari.. Kapewa collabo mrembo ambaye na yeye ana hit ambayo inafanya poa sana, SuperNyota Diva wa 2014, Ruby.
Barakah Da Prince Feat. Ruby– ‘Nivumilie’, unaweza kuisikiliza hapa mapema kabisa mtu wangu.. ruksa pia kushare na mtu wako wa nguvu isimpite.
Usisumbuke Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,

06 July, 2015

Nay wa Mitego kaachia hii nyingine ‘Sina Muda’…(Audio)

nay
Baada ya Nay wa Mitego kutoa ngoma yake ya ‘Mapenzi au Pesa’ akimshirikisha Diamond, sasa amerudi tena na single nyingine inayojulikana kwa jina la ‘Sina Muda’. Nimekuwekea hapa uisikilize, umpatie rafi nae aisikilize, DOWLOAD HAPA.>>>>>>>>


 BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>mawere_mtoka_mbali,

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...