19 August, 2016
Orodha kamili ya wasanii watako wania tuzo za BET Hip-Hop 2016
Tuzo za hiphop za BET ziko njiani na tayari wametangaza wasanii wanaowania tuzo hizi kwenye vipengele tofauti, Kwa miaka mitatu mfululizo Drake ametajwa kuongoza kwenye vipengele vingi zaidi anavyowania msanii yoyote, Drake anawania tuzo kwenye vipengele 14 ambavyo ni kama Album of the Year, Track of the Year,na MVP of the Year.
Msanii Future anawania vipengele 10 ambavyo ni kama Album of the Year, Best Mixtape, na Made-You-Look Award kwa Best Hip-Hop Style.
DJ Khaled anawania vipengele 9 na Kanye West 8.
BET Hip-Hop Awards zinafanyika jumamosi ya Sept. 17 kwenye ukumbi wa Cobb Energy Performing Arts Centre mjini Atlanta,na kuonekana kwenye tv Oct. 4
Orodha kamili ndio hii ya tuzo za BET Hip-Hop 2016.
Best Hip-Hop Video
2 Chainz – “Watch Out”
Desiigner – “Panda”
DJ Khaled feat. Jay Z & Future – “I Got the Keys”
Drake – “Hotline Bling”
Fat Joe & Remy Ma feat. French Montana & Infared – “All the Way Up”
Kanye West feat. Rihanna – “Famous”
Best Collabo, Duo or Group
DJ Khaled feat. Drake – “For Free”
DJ Khaled feat. Jay Z & Future – “I Got the Keys”
Drake & Future – “Jumpman”
Drake feat. Wizkid & Kyla – “One Dance”
Fat Joe & Remy Ma feat. French Montana & Infared – “All the Way Up”
Best Live Performer
Drake
Future
J. Cole
Kanye West
Kendrick Lamar
Lyricist of the Year
Chance the Rapper
Drake
J. Cole
Kanye West
Kendrick Lamar
Video Director of the Year
Benny Boom
Colin Tilley
Director X
Hype Williams
Kanye West
DJ of the Year
DJ Drama
DJ Envy
DJ Esco
DJ Khaled
DJ Mustard
Producer of the Year
DJ Mustard
Dr. Dre
Metro Boomin
Mike WiLL Made-It
Pharrell Williams
MVP of the Year
DJ Khaled
Drake
Future
Kanye West
Kendrick Lamar
Track of the Year
“All the Way Up” – Produced by Cool & Dre and Edsclusive (Fat Joe & Remy Ma feat. French Montana & Infared)
“Controlla” – Produced by Boi-1da (Drake)
“Hotline Bling” – Produced by Nineteen85 (Drake)
“I Got the Keys” – Produced by Southside (DJ Khaled feat. Jay Z & Future)
“Panda” – Produced by Menace (Desiigner)
Album of the Year
DJ Khaled – I Changed A Lot
Dr. Dre – Compton
Drake – Views
Fetty Wap – Fetty Wap
Future –DS2
Kanye West – The Life of Pablo
Best New Hip-Hop Artist
Anderson .Paak
Bryson Tiller
Chance the Rapper
Desiigner
Tory Lanez
Hustler of the Year
DJ Khaled
Drake
Future
Jay Z
Kanye West
Made-You-Look Award (Best Hip-Hop Style)
A$AP Rocky
Drake
Future
Kanye West
Nicki Minaj
Best Mixtape
Chance the Rapper – Coloring Book
French Montana – Wave Gods (Hosted By Max B)
Future – Purple Reign
Lil Uzi Vert – Lil Uzi Vert Vs. The World
Young Thug – Slime Season 3
Sweet 16: Best Featured Verse
2 Chainz – “No Problem” (Chance the Rapper feat. Lil Wayne & 2 Chainz)
Drake – “Work” (Rihanna feat. Drake)
Kendrick Lamar – “Freedom” (Beyoncé feat. Kendrick Lamar)
Kodak Black – “Lockjaw” (French Montana feat. Kodak Black)
Nicki Minaj – “Down in the DM” – Remix (Yo Gotti feat. Nicki Minaj)
Impact Track
J. Cole – “Love Yourz”
Jay Z – “Spiritual”
Jidenna – “Long Live the Chief”
Raury feat. Key – “Trap Tears”
Sir The Baptist feat. ChuchPeople – “Raise Hell”
People’s Champ Award
Desiigner – “Panda”
DJ Khaled feat. Drake – “For Free”
Fat Joe & Remy Ma feat. French Montana & Infared – “All the Way Up”
O.T. Genasis feat. Young Dolph – “Cut It”
Travis Scott – “Antidote”
Young Thug – “Best Friend”
Music: Download AT & Peter Msechu - Msengenyo
Hapa Ali Tall na pale ni Peter msechu kwa pamoja wanatuletea ngoma yao mpya inayokwenda kwa jila la Msengenyo, ni michambo kati ya Vimbao mbao na wale Vibonge( Wakina Msechu), ushawahi kuona wanaume wakichambana? wewe download ngoma hiyo hapo chini kisha share na wana kitaa kadiri uwezavyo.
Bofya DOWNLOAD hapo chini kuupakua wimbo huo Msengenyo
Bofya DOWNLOAD hapo chini kuupakua wimbo huo Msengenyo
Kanye Sets Debut Date For Yeezy Season Four
KANYE WEST’s latest fashion creations will hit the catwalk on the opening day of next month’s (Sep16) New York Fashion Week.
A day after the rapper and designer’s Saint Pablo tour stops off at Madison Square Garden, where he hosted the splashy debut of his Yeezy brand’s third season in February (16), West will help launch Fashion Week alongside a Tom Ford presentation and the opening of Cartier’s Fifth Avenue mansion.
Kanye will be hoping for less controversy than that which greeted the debut of Yeezy 3 after he made a last-minute decision to schedule its debut at the same time as other top designers’ events.
Though his decision ruffled feathers, the controversy didn’t seem to affect reviews or sales. West has released no details about the upcoming collection, bar a tweet released even before the debut of season three, in which he announced he was working on a kids’ line.
West signed a deal with Adidas earlier this year (Jun16), which will result in a line of Yeezy retail outlets hawking shoes, apparel and accessories, but it’s uncertain whether the sports giant will be producing this next collection.
Fashion fans can expect an event when Kanye unveils his latest creations – at the Madison Square Garden launch in February, his wife Kim Kardashian and members of her family turned out to cheer him on, all wearing items from the new line. The rapper also debuted his new album, The Life of Pablo, at that event. (CM-LO/WNWCWDW/KL)
Mwanariadha Mjamaica Usain Bolt ameshinda mbio za mita 200 katika michuano ya Olympics
Mwanariadha Mjamaica Usain Bolt
ameshinda mbio za mita 200 katika michuano ya Olympics huko Rio nchini
Brazil na kujinyakulia medali ya dhahabu ya pili baada ya kunyakua ya
michuano ya mbio za mita 100.
Mapema wiki hii alidhihirisha kuwa ni mwamba wa mbio fupi pale aliposhinda mbio za mita 100 na kunyakuwa medali ya dhahabu.
Katika matokeo mengine Marekani imenyakulia medali nyingine nne za dhahabu ikiwemo ya mwanariadha wake Ashton Eaton.
17 August, 2016
Downwload new Music: Darasa- Kill me
Mwanamuziki Darasa amezidi kuachia ngoma baada ya ngoma, na hivi punde tuu ngoma yake ya Too much bado inazidi kubamba ila kaachia tena ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Kill me. Duh! Darasa bhana! pakua nyimbo hiyo hapo chini kisha washirikishe wana kitaaa kwa kadiri uwezavyo.
Bofya Downlod hapo chini kuupakua wimbo huo.
Bofya Downlod hapo chini kuupakua wimbo huo.
Tizama Official video ya Jimmy Chansa - Tamtafuta
Jimmy Chansa ni moja kati ya wasanii wa Muziki wa kizazi kipya ambao wanafanya vyema kwa sasa. Tamtafuta ni ngoma ambayo aliiachia siku chache tuu zilizo pita, na hii ndio video mpya ya ngoma hiyo. Itazame hapo chini kisha kumbuka kushare na wana kitaaa.
Cash Money yakamilisha mkataba wake na Apple Music
Cash Money wamesaini mkataba mpya wa kwanza kwa mwaka huu na kampuni ya Apple Music. Kampuni ya Apple Music mwamzoni mwanzoni ilikua ikionekana kusimamia kazi za msanii mmoja mmoja ila kwa sasa wamejiongeza nakuanza kusimamia kazi za lebo tofauti tofauti.
Taarifa hizi zimeonekana katika a/c ya Instagram yake Kiongozi wa Kundi la Cash Money Birdman.
Taarifa hizi zimeonekana katika a/c ya Instagram yake Kiongozi wa Kundi la Cash Money Birdman.
A photo posted by Birdman5star (@birdman5star) on
Rapper Meek Mill kuachia Mixtape yake mpya Mwezi ujao.
Yawezekana hii ikawa ni taarifa nzuri kwa mashabiki wa rapper huyu kutoka pande za Marekani, kwamba Meek Mill amepanga kuachia mixtape yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘DC4’. Ikumbukwe kwamba ni mwezi uliopita tuu Producer wa project hiyo Jahlil Beats alinukuliwa akisema kwamba mzigo huo umekamilika hivyo muda wowote utashushwa ila mpaka sasa bado wadau wana kiu yakungoja mzigo huo.
Taarifa hizi zimeonekana katika mtandao wa Periscope ambapo member mmoja wa Dreamchasers Chino. Alinukuliwa akisema kwamba Mixtape hiyo itadrop soon mwezi ujao. Hapa hivyo Mwenyewe Meek Mill alitoa alert kwa istagram a/c yake kama inavyo-onekana hapo chini.
Taarifa hizi zimeonekana katika mtandao wa Periscope ambapo member mmoja wa Dreamchasers Chino. Alinukuliwa akisema kwamba Mixtape hiyo itadrop soon mwezi ujao. Hapa hivyo Mwenyewe Meek Mill alitoa alert kwa istagram a/c yake kama inavyo-onekana hapo chini.
A video posted by MeekMill News🔥🗞 (@meekmillnews) on
Kenya watwaa medali nyingine ya Dhahabu katika Riadha mita 1500
Kenya imeng'ara tena baada ya
mwanariadha wake Faith Kipyegon kunyakua dhahabu ya tatu kwa ajili ya
Kenya katika mbio za mita 1500 wanawake.
Leo baadaye pia tunategemea kuwaona tena wakenya Kipruto Conseslas, Ezekiel Kemboi na Brimin Kiprop pamoja na Jacob Araptany kutoka Uganda wakishiriki mbio za mita 3000 za kuruka maji na vihunzi.
15 August, 2016
New Audio: Nay Wa Mitego Ft. Tiki - Good Time
Nay wamitego kaachia ngoma yake mpya baada ya kupata misuko-suko ya hapa na pale, mara kufungiwa na mambo kibao.. Ngoma inakwenda kwa jina la Good Time akiwa kamshirikisha msanii anaye julikana kwa jina la Tiki. Bonyeza hapo chini kuupakua wimbo Huo(Mkito)
Sababu ya Chameleone na Diamond Kutofanya Collabo mpaka sasa
Msanii wa mkongwe wa muziki nchini Uganda Jose Chameleone amefunguka na kusema kuwa hana tatizo lolote linalomfanya asifanye kolabo na msanii wa bongo fleva kutoka Tanzania,Diamond kama watu watu wengi wanavyodhani kuwa wana bifu.
Akiongea na mtangazaji wa Kenya,William Tuva wa kipindi cha Mseto,Chameleone amesema kuwa kupishana kwa ratiba yake na Diamond na kila mmoja kuwa busy ndicho kitu hasa kinachofanya kusiwepo na kolabo ya wawili hao
“The problem is,he is busy and I am busy lakini tumwombe Mungu tukipata wakati,it is a very simple thing” alisema Chameleone.
CHANZO: SAMMISAGO.COM
Mchezaj Yannick Bolasie asajiliwa rasmi na Club ya Everton
Everton imemsajili mchezaji wa
kimataifa Yannick Bolasie raia wa Dr Congo anayechezea timu ya Crystal
Palace kwa gharama ya paund milioni 25, kwa mkataba wa miaka 5.Bolasie,
mwenye umri wa miaka 27, alitumia misimu minne akiwa na timu ya Palace
baada ya kujiunga na timu ya Bristol City ya mjini London mwaka 2012.
Meneja wa timu ya Palace Alan Pardew alisema baada ya kufungwa bao moja kwa yai tulitambua kuwa moyo na nafsi yake ziko viko mahali kwingine
Bolasie anasema kwamba uamuzi wa kuhamia upande wa Mersey haukuwa wa busara na kuongeza kwamba lakini sasa nimeibukia Everton, kazi haijafanyika bado .Napaswa kufanya kazi kwa juhudi na maarifa na kujisikia nimo ndani yake.Niko tayari kukabiliana na changamoto zilizoko mbele yangu.sio suala la pesa kwa upande wangu ,suala ni kutimiza malengo ya baadaye ya klabu na kule ambako wanatarajia kuifikisha, napenda tu kucheza mpira.
Naye meneja wa timu ya Everton Ronald Koeman anasema kwamba mchezaji huyo Yannick ni mchezaji aliyekuwa anamnyemelea muda mrefu ulio pita kwasababu ni aina ya winga anaye mpenda ,kwanza ana kasi,ana nguvu, na anao uwezo mkubwa wa kucheza katika nafasi mbali mbali hasa mstari wa mbele.
Bolasie ni mchezaji wa nne kusajiliwa na Everton katika majira haya .
Moja ya majembe hayo yaliyosajiliwa ni pamoja na mlinda mlango Maarten Stekelenburg anatokea timu ya Fulham, Idrissa Gueye kutoka Aston Villa, wakati kiongozi wa timu ya Wales Ashley Williams aliungana na timu hiyo tarehe kumi ya mwezi huu akitokea Swansea kwa ada isiyojulikana, huku ikidhaniwa kuwa ni paundi milioni kumi na mbili.
Everton,ilitoka sare ya goli 1-1 mwishoni mwa juma lililopita na timu ya Tottenham , wako kwenye mazungumzo ya kumsajili beki wa Sunderland Lamine Kone huku nia ikiwa wazi ya kusalia na mshambuliaji Romelu Lukaku.
Mfanya biashara mkuwa kutoka nchini Irani Farhad Moshiri amenunua hisa asilimia 49.9 % katika timu ya Everton mapema mwaka huu mnamo mwezi wa pili , na kuhitimisha ukame wa muongo mzima wa kusaka uwekezaji mpya.
CHANZO: BBC
Download Music: Young Killer – Mtafutaji
Kutoka pande za Mwanza anakwenda kwa jina la Young Killer na safarii hii katuletea kitu kipya kabisa, ni ngoma iliyo pewa jila Mtafuji ambapo ngoma hiyo imeandaliwa na Producer T-Touch. Humu ndani bhana jamaa kaimba doh! Tusimalize uhondo.
Bofya hapo chin kuupakua wimbo huo.
Bofya hapo chin kuupakua wimbo huo.
Video Mpya: Fid Q Ft. Christian Bella – Roho..
Tizama hapa video mpya kutoka kwa Rapper Nguli kutoka hapa nyumbani na wala sii mwingine bali ni Fid Q akiwa kamshirikisha vyema Christian Bella, Ngoma hiyo ina kwenda kwa jina la Roho. Tizama video hiyo hapo chini.
Wenger: Hatukujiandaa inavyostahili
Arsenal haikuwa na mda wa kuwaanda
wachezaji wake baada ya michuano ya Euro2016 na hawakuwa na uzoefu
katika mechi walioshindwa na Liverpool kwa mabao 4-3 kulingana na
mkufunzi Arsene Wenger.
Baadhi ya wachezaji waliorudi walikuwa hawako tayari,alisema Wenger ambaye alizomwa na mashabiki katika uwanja wa Emorates.
''Tulilazimika kuadhibiwa.Ni hali ambayo lazima uadhibiwe''
Subscribe to:
Posts (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...