‘Strong Girl‘
ni wimbo wa pamoja ulioimbwa na mastaa wa kike kutoka Afrika ambao
wameungana pamoja kupambana na umaskini kwa wasichana na wanawake
katika jamii.
Miongoni mwa mastaa waliopo kwenye wimbo huo ni pamoja na
Vanessa Mdee (Tanzania), Victoria Kimani (Kenya), Waje (Nigeria), Yemi Alade (Nigeria), Semor Mtukudzi (Zimbabwe), Gabriella (Mozambique), Arriele T (Gabon) na binti wa miaka 14 kutoka Afrika Kusini Blessing.

Mbali na hao pia mwigizaji kutoka Nollywood Omotola Jalade pia ameonekana ndani ya video hiyo
.Njoo hapa kuitazama…
No comments:
Post a Comment