16 May, 2015

MUZIKI WETU HAPA NYUMBANI UNATHAMANI

Image result for AFRICAN MUSIC
Tumekua Tukipenda  sana muziki kutoka Ughaibuni Kuliko muziki wakwetu TANZANIA na AFRICA kwa ujumla Kitu ambacho kinaushasha MUZIKI wetu HUU ni UKWELI usiopingika.LEO nimekuletea AUDIO ya msanii MCHANGA kutokea pande za
Kilimanjaro aendae kwa jina la JAFAA MAPLACE usikilize muziki wake kisha DOWNLOD.Tuupende MUZIK WETU AFRICA.https://www.hulkshare.com/3g26o4it6zgg 





No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...