09 May, 2015

Ligi kuu ya Soka Tanzania bara leo imefikia ukingoni

ndanda leo
Ligi kuu ya Soka Tanzania bara leo imefikia ukingoni kwa kushuhudia michezo saba tofauti katika mikoa sita tofauti, huku Mabingwa wapya wa ligi hiyo Dar es salaam Young Africans wakijikuta wanapokea kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Ndanda FC, Mtanange uliopigwa Mtwara katika

VAN GAL AWALIMA WACHEZAJI FAINI WACHEZAJI WAKE WANAOCHELEWA MAZOEZINI

VSN
Ukiskia professional player haimaniishi kucheza vizuri na kutupi mpira nyavuni tu. Discipline ni kitu cha kwanza ambacho kila mchezaji anatakiwa kuwa na nacho.
Marouane Fellani akiwa kwenye interview alielezea jinsi gani kocha wako Van Gaal alivyomkali likija

How to keep yourself healthy in Summer


Summer is a great season for everyone, for children it’s a holiday season that brings lots of fun, travelling and reunion time with uncle, aunt and grandparents. Summer is a great time for elders too as they find some relaxation from sending their kids to school and

Hatima ya Lowassa, Membe sasa Mei 20

Filimbi ya kuanzisha mbio za urais kwa tiketi ya CCM itapulizwa Mei 23 baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho tawala, huku makada sita walio ‘kifungoni’ wakitarajia kujua hatima yao kwenye mbio hizo Mei 20. 

MAGAZETI YATU LEO May 9 2015

Image result for newz
MWANANCHI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick amesema mvua zinazoendelea kunyesha zimevuruga Jiji na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu ambapo watu nane wamefariki mpaka sasa.

08 May, 2015

Licha ya mafanikio aliyoyapata kwenye timu mbalimbali ndani ya nchi tofauti lakini bado Jose Mourinho amekubali wazi kuhusu hiki kitu.

asds
Licha ya mafanikio aliyoyapata kwenye timu mbalimbali ndani ya nchi tofauti lakini bado Jose Mourinho amekubali wazi kuhusu hiki kitu.
Ukimtoa Didier Drogba kuna veteran mwingine ambae

MAUFUNDI HAYA YA UWANJANI

kickHili moja kati ya magoli mazuri niliyokutana nayo kwenye mtandao wa Youtube nimeona ni-share na wewe mdau wangu.

Willow Smith katoa video nyingine mpya itazame hapa

willow-smith-fqc7Willow Smith amefanya mengi toka wimbo wake mkubwa “Whip My Hair.”  isheka chati kubwa duniani. Willow mwenye miaka 14 ametoa video yake mpya ‘F Q-C #7′. itazame hapa ..>>>>>>>

David Cameron amechaguliwa kwa awamu ya pili

LONDON, ENGLAND - MAY 08:  Prime Minister David Cameron leaves for Downing Street on May 8, 2015 in London, England. After the United Kingdom went to the polls in a closely fought General Election the Conservative party, led by David Cameron, are expected to be the winning party with support for both the Labour party and the Liberal Democrats falling away throughout the country.  (Photo by Dan Kitwood/Getty Images)
Raia wa Uingereza jana walikuwa na kazi moja ya kumchagua kiongozi mpya atakayewaongoza kwa muhula mwingine baada ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu.
Chama cha Conservatives kilikua na upinzani mkali dhidi ya

Kanye West ajitoa Roc Nation ya Jay Z.

jaynye
Mtandao wa Hits Daily Double umeripoti kuwa rapa Kanye West amesitisha mkataba wake na lebel ya Jay Z ya Roc Nation.
Kanye West amekuwa akisimamiwa yeye na kazi zake na

07 May, 2015

Baraka-da-prince-ft-linah-siachani-nawe-remix idowload kwa hapa https://soundcloud.com/mawere-tv/baraka-da-prince-baraka-da-prince-ft-linah-siachani-nawe-remix

Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>Zawadi_mawere. Youtube>>>MAWERE TV.

Yaya Toure kuihama Manchester City.

YAYA_TOURE
Huku msimu wa ligi ukiwa si wa mafanikio kwa Manchester City baada ya klabu hiyo kushindwa kutetea taji lao la ligi kuu ya England ambalo walitwaa msimu uliopita na pia wakishindwa kwenda mbele kwenye michuano ya ligi ya mabingwa baada ya kutolewa kwenye hatua ya 16 bora , hali imezidi kuwa

DADA AKE ADEBAYOR AMPA KAVU KAKA YAKE.

DADA ADDE2
Baada ya status ya Adebayor ambayo ilishtua watu wengi kwenye mtandao hao mchezaji Didier Drogba alimpost Adebayor na kumuombea mambo ambayo yanaenda vibaya na familia yake yaende vizuri. Sasa kwenye ile ile post dada yake

Lil Wayne ‘Selsun Blue’.Video nyingine mpya ya WIZZY.

wayne-selsun-blueRapa Lil Wayne anaendelea kutoa video kutoka kwenye mixtape yake ya mixtape Sorry 4 the Wait 2, hii ni mpya ya wimbo wa “Selsun Blue,” ambayo ni remix ya wimbo wa Troy Ave “All About the Money.”. ITAZAME HAPA>>

The Game amchimba mkwara Young Thug kuhusu kuzinguana na Wizzy.

game-young-thugSio tu Lil Wayne mwenye beef na rapa wa Rich Gang ‘Young Thug’ ila sasa The Game pia ametangaza rasmi kuwa na beef na huyu jamaa kama ataendelea kumfuatili Lil Wayne. Kwenye show yake huko New Orleans The Game ambaye anatoka Compton MC alimdiss Young Thugkwa kusema

Manchester United imekubaliana kimsingi na klabu ya PSV Eindhoven kumsajili mshambuliaji raia wa Uholanzi Memphis Depay.

depay 1Depay mwenye umri wa miaka 21, alikuwa sehemu ya kikosi cha Van Gaal kilichoshiriki fainali za kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil.Msimu huu ameisaidia timu yake kutwaa taji la Eredivise huku yeye akiibuka mfungaji bora baada ya kufunga mabao 21.

TAMBUA YAKUA LIGI YA UHISPANIA YAAHIRISHWA.


Ligi kuu ya Uhispania La Liga imepigwa marufuku.
Hatua hii inafuatia mtafaruku baina ya shirikisho la ligi kuu la Uhispania na serikali ya taifa kuhusiana na ugavi wa mapato ya haki miliki ya kupeperusha mechi.

Kama ulikosa habari zilizokua magazetini leo MAY 7 hizi hapa zipitie

late
HABARILEO
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imejikuta kwenye wakati mgumu baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kubaini kiasi cha Sh milioni 96.6 kimetumika kubomoa jengo bovu mali ya ofisi hiyo, ili kupisha ujenzi wa ofisi mpya za mkuu wa mkoa huo.

06 May, 2015

KUMBE MAYWETHER ALIWAHI KUMPIGA BIG SHOW! Big Show vs Floyd Mayweather

KUMBE MAYWETHER ALIWAHI KUMPIGA BIG SHO! IZAZAME HAPA VIDEO YA PAMBANO LAO MTU WANGU>>>>>

Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>Zawadi_mawere. Youtube>>>MAWERE TV.

Alichokifanya Mchekeshaji Erick Omondi baada ya Diamond kumuachia kipaza sauti

Omondi 1Erick Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye amepata umaarufu Tanzania kutokana na utundu wake wa kuigiza nyimbo za

Emanuel Adebayor ameandika maneno mengi sana kwenye page yake ya Facebook kuhusu matatizo yake na familia.

ADE
Emanuel Adebayor ameandika maneno mengi sana kwenye page yake ya Facebook kuhusu matatizo yake na familia. Kitu cha msingi alicho kisisitiza ni kwamba hajaandika kwa ajili ya kuaibisha familia yake lakini anataka kuwaonyeshea mfano na familia nyingine zijifunze.

HABARI NJEMA KWA MASHABIKI WA LIVERPOOL

HHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH
Mshambuliaji wa kimataifa wa uingereza Daniel Sturridge amesema upasuaji wa nyonga uliofanyika leo kule nchini Marekani umefanikiwa na anatarajia kupona haraka na kurudi katika majukumu yake ya klabu ya Liverpool.

Petrol, Dizeli bei juu, Makonda anusurika kupigwa mawe na Bajeti ya Nyalandu yagomewa?…#MAGAZETINI MAY6

now
MWANANCHI
Kamati Kuu ya Chadema imepanga Agosti 4 kuwa siku ya kumpata mgombea wake wa urais ambaye ataingia kwenye kinyang’anyiro cha kumtafuta mgombea wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Barcelona kuifunga Beyern leo?


MTIFUANO wa Ligi ya Mabingwa Ulaya unaendelea kuwa mtamu baina ya  miamba ya soka barani humo Barcelona na Bayern München kushuka dimbani Camp Nou kwa ajili ya kutafuta tiketi ya kutinga fainali ya michuano hiyo.

05 May, 2015

Siachani nawe BARAKA DA PRINCE ft LINAH

Sikiliza dowload na mpe mwenzako kitu hichi kutoka kwa BARAKA DA PRNCE na LINAH NDEGE MNANAhttp://www.hulkshare.com/mawere3/baraka-da-prince-baraka-da-prince-ft-linah-siachani-nawe-1 Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>Zawadi_mawere. Youtube>>>MAWERE TV.

Shirikisho la Soka barani Afrika leo limechezesha droo ya robo fainali ya michuano ya klabu Bingwa Africa

caf l
Shirikisho la Soka barani Afrika leo limechezesha droo ya robo fainali ya michuano ya klabu Bingwa katika ofisi za makao makuu ya zilizopo Cairo, Misri ambapo timu nane zimewekwa katika makundi mawili A na B ya ushindani.

YANGA NA AZAM PATACHIMBIKA JUMA TANO

tiboloha
Kesho Jumatano saa kumi jioni katika tasnia ya Kabumbu nchini wapenda soka macho na masikio yao yatakuwa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam kushuhudia Mtanange wa Mabingwa wapya wa VPL Yanga SC pamoja na Mabingwa waliokuwa watetezi  Azam FC huku

Utajiri wa Dangote kaamua kuwekeza na kwenye michezo?? Macho yake yanaitazama Arsenal!!

emiiMwaka 2010 Aliko Dangote ambaye ni tajiri namba moja Afrika kutokea Nigeria aliahidi kununua hisa kutoka klabu ya Arsenal, lakini ikashindikana na sasa amerudi tena.
Dangote ambaye ni mfanyabiashara maarufu amesema kwa sasa ameweka nia ya

Kingine kutoka Mahakamani Nigeria ni hii ishu ya deni analodaiwa D’Banj !!

Dbanj60
Hii ishu ilikuwa kama utani hivi, zikaanza stori kwamba D’Banj anadaiwa na jamaa mmoja Nigeria.. baadae tukasikia kwamba jamaa anayemdai ametishia kumshtaki.. leo hii story ina mwendelezo wake.
Henry Ojogho ambaye ni

04 May, 2015

V Persie anyimwa haki za kupiga Penalti


Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis Van Gaal amempokonya mshambuliaji wa kilabu hiyo Robin Van Persie haki za kupiga mkwaju wa penalti baada ya kukosa mkwaju kama huo katika mechi dhidi West Brom.

Kuelekea mechi ya bayern vs barcelona,Robert Lewandowski atacheza akiwa hivi.

MaskBaada ya kuumia vibaya puani na shavu la kushoto kwa ndani, mshambuliaji wa mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski atacheza mechi ya nusu fainali ya klabu bingwa dhidi ya Barcelona akiwa amevaa (Mask).

YANGA KABIDHIWA CHAO MBELE YA AZAM JUMATANO.

Kocha (1)
Mabingwa wapya wa ligi kuu ya Soka Tanzania bara, Klabu ya Dar es salaam  Young Africans inatarajia kukabidhiwa kikombe chake cha ubingwa siku ya jumatano baada ya mchezo dhidi ya Azam FC katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

MAYWETHER AMTAJA BONDIA ANAEMTAKA KABLA YA KUACHA NA NDONDI

maypac
Baada ya pambano la karne kufanyika na matokea kuwa mazuri kwa Floyd Mayweather swali aliloulizwa baada ya pambano ni kwamba atakua na pambano lingine akasema yes, mwezi wa tisa ana pambano.
Baada ya hapo alivyokua kwenye press conference alivyoulizwa nani utamtaka kwa ajili ya pambano lako la mwisho mwezi wa tisa. Mayweather alijibu kwa kifupi “Khan”.

Mwenye nacho ameongezewa..hata kama asingepata hizo pesa bado angeweza kuishi maisha ya kifahari

cri
Mwenye nacho ameongezewa..hata kama asingepata hizo pesa bado angeweza kuishi maisha ya kifahari yale yale ambayo anaishi sasa hivi. Lakini ndio hivyo alikua nacho na ameongezewa.
Baada ya kushinda pambano lake wachambuzi wamekaa kuchambua kipato chake kwa kulinganisha na mambo mbalimbali kama hivi.

Mtoto wa Prince William apewa jina.

kate middleton prince william
Siku chache baada ya mke wa mjukuu wa Malkia Elizabeth , Kate Middleton kujifungua mtoto wake wa pili ambaye ni mtoto wa kike , hatimaye mtoto huyo amepewa jina baada ya siku kadhaa za watu nchini Uingereza kuwa katika hali ya kusubiri kwa hamu ili kuweza kufahamu jina la binti huyo .

#MAGAZETINI MAY 4…Hofu ya Chadema uchaguzi mkuu 2015, mgomo wa mabasi na Hofu yazidi kushuka kwa shilingi!!

LEOOO

MWANANCHI
Licha ya Rais Jakaya Kikwete kusema hana mpango wa kuongeza muda na kuwa Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezidi kuonyesha wasiwasi wake kikieleza kuwa hakuna dalili za uchaguzi huo mwaka huu.

03 May, 2015

Orezi ft Davido - Shuperu Remix (Official Video)

remixDavido amefanya vizuri
sana kupitia industry ya muziki Afrika hasa nchini kwake Nigeria na ni
mmoja wa wasanii wadogo ambaye amejipatia umaarufu mkubwa kupitia zake
zake.
Orezi ambaye moja ya nyimbo iliyomtambulisha ni ‘Shoki’ kaamua kurudi tena na

Hii Ni Njia Ambayo Vijana Wajasiliamali Waliofanikiwa Wameitumia. Mimi Pia Nimeanza Kuitumia


smart_goals

Mastaa waliohudhuria pambano la Floyd Mayweather Vs Manny Pacquiao,Jay z,Nicki Minaj wapo.

28424DAC00000578-3065819-image-a-65_1430626529908
Beyonce na Jay Z
Hizi picha za mastaa waliohudhuria pambano kubwa la Floyd Mayweather Vs  Manny Pacquiao. Floyd Mayweather alitangazwa mshindi kwa points kwenye pambano hili la round 12. Wasanii nan waigizaji walionekana kwa wingi.

Floyd Mayweather VS Manny Pacquiao kazi imeisha !!

fight-8a_rnd_5_3289903b
Najua watu wengi waliisubiri hii kwa hamu.. wengine hata sio mashabiki wa boxing lakini walijikuta wakivutiwa na hii.. Promo ilikuwa kubwa sana, pambano la kihistoria ambalo dunia nzima ililisubri ni hili kati ya Floyd ‘Money’ Mayweather na Manny Pacquiao.

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...