02 May, 2015

Rio amefiwa na mke wake ambae alisumbuliwa na cancer kwa muda mfupi

3My soul mate slipped away last night. Rebecca, my wonderful wife, passed away peacefully after a short battle with cancer at the Royal Marsden Hospital in London,” alisema Rio Ferdinand akizungumzia kifo cha mke wake.

01 May, 2015

RATIBA LIGI KUU VODACOM WEEK END HII NMEKUPATIA HAPA

Okwi
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea mwishoni mwa wiki hii kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini, huku michezo mitatu ikichezwa siku ya jumamosi na michezo mingine mitatu ikichezwa siu ya jumapili.

When Two Tanzanian Finest,Meet!

Supermodel Flaviana Matata and Basketballer Hashim Thabeet...Tanzania's finest posing with JerryAnne a.k.a Mrs Chiume :)  This picture shows just how tall Hashim is,doooh!Keep the grind ON,people!


Louis van Gaal anaamini msimu ujao Man United itachuana na Chelsea kuwania ubingwa

28349BB700000578-3064249-image-m-45_1430487750925
Louis van Gaal anaamini msimu ujao Man United itachuana na Chelsea kuwania ubingwa 
Louis van Gaal anaamini msimu ujao Manchester United itapambana vikali na mabingwa watarajiwa wa

Picha,Rihanna na Chris Brown wameanza kuonekana pamoja tena.

Chris Brown and Rihanna attending an NBA  game in Los Angeles
Wapenzi walioweka rekodi ya kuachana na kurudiana mara nyingi zaidi Chris Brown na Rihanna wameanza kuonekana pamoja sehemu tofauti za starehe.

Mwamuzi mkubwa na mkongwe katika mchezo wa ngumi Kenny Bayless ndiye atakayechezesha pambano la karne

IMG_20150501_101109
Mwamuzi mkubwa na mkongwe katika mchezo wa ngumi Kenny Bayless ndiye atakayechezesha pambano la karne linalosubiriwa kwa hamu kati ya Mmarekani Floyd Mayweather na Mfilipino Manny Pacquiao litakalopigwa katika ukumbi wa MGM Grand Las Vegas tarehe 3 May 2015.

Tuzo nyingine ya heshima aliyopewa staa wa soka Didier Drogba…

droooMbali na uwezo wake mkubwa wa kumiliki mpira uwanjani, Didier Drogba raia wa Ivory Coast amekuwa na mchango mkubwa katika shughuli za kijamii ambazo ambazo amekuwa akishiriki ndani ya nchi yake na Afrika pia.

MAGAZETINI LEO MAY 1

Image result for fridayMTANZANIA
Vyama vinavyoundwa na Umoja wa katiba ya Watanzania UKAWA vimeibua madai mapya ya kuwepo njema za Serikali za kutaka kusogeza uchaguzi mkuu hadi 2017.
Kwa mujibu wa Umoja huo Serikali ipo katika maandalizi ya kupeleka muswada wa sheria Bungeni ili kumwongezea miaka miwili Rais Jakaya Kikwete abaki madarakani.

30 April, 2015

Kumbe Tyga nae ni mnazi wa Arsenal.!!!!!

3

Mkali wa mchano ya rap ambae amejulikana kutoka kwenye kundi la Young Money anaitwa Tyga. Huyu jamaa hivi sasa ame-hit sana album ya Fan of Fan 2 hasa na wimbo wa Ayo akiwa na swahiba wake Chris Brown.

Young Killer "Mungu Baba" Official Video Ft. Linah | Ommy Dimpoz | Roma

KAZNStar wa Super Nyota 2012 kutoka Mwanza, Young Killer ameshasikika kwenye ngoma nyingi zake na nyingine ambazo kapewa collabo pia.. ni mkali ambaye tayari anafaamika kwenye  muziki.


Leo karudi na hii.. unadhani nayi itakuwa hit kama zilizotangulia??

Video,Alichofanya Wiz Khalifa kwenye mdundo wa Sexual Healing.

wiz-gfu

Baada ya wimbo wake aliofanya kwaajili ya filamu ya Furious 7 “See
You Again” kushika namba moja kwenye chati ofauti duniani, rapa Wiz
Khalifa amefanya kitu kingine kikubwa kwenye mdundo wa ‘Sexual Healing’
ya Marvin Gaye ya mwaka 1982. Wimbo unaitwa “Good for Us,”


Tazama,Sikiliza na share na washkaji hapa.

29 April, 2015

Ni zamu ya Mayweather na msafara wake kwenda kukagua Uwanja watakapopigana na Manny Pac..

busSiku mbili tu zimesalia kabla ya pambano la kimataifa la ngumi kati ya mastaa wawili Manny Pacquiao na Floyd Mayweather ambao watapanda ulingoni na kutegua kitendawili cha nani mkali zaidi.

eti Kombe la FA limebadilishwa jina??

cup-fa-trophy_3256663
Michuano ya Kombe la FA ina ukongwe wake wa kutosha kabisa kwenye Historia ya Soka la Dunia.. mpaka sasa imetimiza jumla miaka yake 144 tangu kuanzishwa kwake.
Habari mpya kutoka ndani ya bodi ya kombe la hilo la FA ni kwamba kwa

Pengine haukupata muda wakupitia magazeti ya leo Ni muda wako Sasa kupitia magazeti haya

today
MWANANCHI
Sakata la uchotwaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow limemng’arisha Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR- Mageuzi)David Kafulila baada ya kutunukiwa tuzo ya kutambua mchango wake katika kufichua ufisadi huo uliohusisha uchotwaji wa Sh306 bilioni kutoka

List ya wakali wote walioteuliwa KILI MUSIC AWARDS 2015 iko hapa tayari..

RED3-Red_Carpet_lights_Large_0Kili Music Awards ni Tuzo kubwa kwenye industry ya muziki TANZANIA… Waandaaji wa Tuzo hizo leo wameileta kwetu rasmi kabisa ile list ya mastaa wetu wa muziki ambao wameteuliwa kuwania Tuzo hizo kwa msimu wa mwaka huu 2015.

28 April, 2015

Hii ndio sababu aliotoa Alex Ferguson kwa nn Ronaldo ni bora kuliko Messi.

fegi
Manager wa zamani wa Manchestet United na aliyechangia kwa kiasi kikubwa kwenye mafanikio ya Cristiano Ronaldo amesema sentensi ambazo moja kwa moja zinamuweka Ronaldo juu zaidi ya Messi.
Ferguson anakiwa kwenye interview na BBC Sport alisema Messi ni mchezaji

Mara ya mwisho Liverpool inashinda ubingwa wa ligi ya england wachezaji kama Phillipe Countinho, Jon Flanagan,Jordan Henderson,Raheem Sterling walikua bado hawajazaliwa.

LIVERRRRRRRRRRRR

Mara ya mwisho Liverpool inashinda ubingwa wa ligi ya england
wachezaji kama Phillipe Countinho, Jon Flanagan,Jordan Henderson,Raheem
Sterling walikua bado hawajazaliwa.


Tangu amshabiki wa Liverpool washangilie ubingwa wa ligi zimepita
siku 8750, maana yake ni

HII NDIO TIMU MPYA INAYOPANDA DARAJA EPL

2
Kutoka kwenye michango ya kwenye vibubu kutoka kwa mashabiki hadi kufanikiwa kuingia kwenye ligi kuu na rekodi kubwa kabisa. Club ya Bournemouth imefanikiwa kuingia kwenye ligi inayoangaliwa sana kuliko ligi zote duniani EPL kwa mara ya kwanza tangu ianzishwe.

MAN CITY IMETENGA £30 KWA MCHEZAJI HUYU WA THE GURNERS

MAN CITY
Wazee wa mtonyo ambao waliwai kutoa picha yenye price tag ya wachezaji wakubwa kabisa na kusema kwamba wana mpango wa kuwaleta wote kwenye club ya Manchester city lakini haikua hivyo.
Hivi sasa wametenga dau la £30 million ili kujaribu kumpata star wa Arsenal mwenye miaka 23

Pacquiao atua Las Vegas na familia yake…

paaaUkitaja majina ya mastaa hawa Manny Pacquiao na Floyd Mayweather, kila mtu anashauku ya pambano la jumamosi ambalo linasubiriwa kwa hamu na mashabiki mbalimbali duniani.

Diamond kuja na TV yake

94cfb-img_0080Msanii Diamond Platnumz amesema katika show ya ‘Zari All White Party’ itakayofanyika mwisho wa wiki hii  kutakuwa na vitu mbalimbali ikiwemo event yote kuruka Live.. kingine kumbe siku hiyo jamaa atazindua rasmi TV yake !!

Kamikaze - Nikikuona Official video

kamikazeBaada ya kuitambulisha video yake club bilicanas, hii ndio video mpya ya
Kamikaze ‘Nikikuona’ kwa wale walioshindwa kuhudhuria show. Audio
imetayarishwa na y Godfather Mbezi na video na Young Wallace.

Mo Music anakupa hii video mpya ‘Nitazoea’.

mo musicHii video mpya ya staa wa bongo fleva aliyefanya vizuri na wimbo wake
Basi Nenda, hii kazi yake mpya video imetayarishwa na Adam Juma “Nitazoea” ya Mo Music. itazame hapa

27 April, 2015

BBC>>Waganga wajitolea kumtibu Wema Sepetu


Waganga wa kienyeji wanaotoka katika maeneo tofauti nchini Tanzania wamejitolea kumtibu Msanii WemaSepetu aweze kupata mtoto.
Kulingana na gazeti la The Standard nchini Kenya Waganga hao waliojitolea walipiga simu kwa mtandao wa Bongo Movies.com baada ya kukiri kwa nyota huyo wa filamu kwamba hawezi kupata mtoto.
Wameapa kumtibu tatizo hilo.''Wajua kuna wanawake wanaopata matatizo madogo kama kutoweza kupata mtoto licha ya kwamba kuna matabibu wanaoweza kutatua matatizo yao.
Tatizo la wema sio la kumtia wasiwasi,linaweza kutibika''walisema.
Mpatie nambari yangu ya simu na umwambie anipigiemmoja wa waganga hao alisema.
Na ili kutaka kujua vile Wema alijibu ombi hilo ,inadaiwa kuwa alikubali kusaidiwa na watabibu hao lakini kwa masharti.
''Kuna wengi zaidi mbali na waganga ambao wamejitolea kunisaidia.nina zaidi ya ujumbe 400 niliyotumiwa katika mtandao wangu wa WhatsApp huku simu nyingi zikipigwa.Ukweli ni kwamba niko tayari kupokea usaidizi huo.'',alijibu.

BBC

Babaake Kim Kardashian sasa ni mwanamke


Bruce Jenner aliyekuwa mwariadha bora duaniani kabla ya kuwa nyota wa kipindi cha televisheni na familia moja maarufu duniani ''The Kardashians''. sasa amefichua siri ambayo amekuwa akiificha kwa miaka mingi.
''Kwa nia na madhumuni yote, mimi ni mwanamke.'' Jenner aliambia Sawyer kutoka ABC katika mahojiano maalum yaliopeperushwa hewani siku ya Ijumaa.

ALIKIBA NI MOJA YA MWANAMUZIKI MZURI AMBAE ANA MANAGEMENT ILIYISHINDWA KUKABILI SOKO LA MUZIKI TZ?

http://1.bp.blogspot.com/-PzF7gJ6IIho/VT5aGvIarlI/AAAAAAAAsxw/6JIOVSNjEBk/s1600/ALI%2BKIBA%2BGETS%2BSHAVED.jpgNi ukweli ulio wazi kabisa Alikiba ni mmoja wa waimbaji/wanamuziki bora kabisa na mwenye kipaji cha aina yake hasa kuimba!
Ni wazi soko la muziki limebadilika sana na limekuwa na ushindani wa hali ya juu na pengine uwezo wa msanii unaweza usipimwe kwa kipaji chake bali uwezo wake wa

FASHIONABLE COUPLE :CHRISSY TEIGEN & JOHN LEGEND

JLEGEND2

Hazard Mchezaji bora England..

7__eden_hazard___wallpaper_by_aa_designs-d6qocih
Ligi kuu ya England inakaribia ukingoni, na tayari timu mbalimbali zimeshapata taswira kamili ya nini zimepanda kwa msimu mzima wa ligi hiyo ambayo ilikuwa na ushindani mkubwa.
Chelsea bado ina matumaini makubwa ya kutwaa ubingwa wa ligi hiyo na

JE, PEP Guardiola ndiye kocha bora zaidi duniani?

CDii_NbWMAAqlp7
JE, PEP Guardiola ndiye kocha bora zaidi duniani?
Ilikuwa wikiendi nzuri kwa Bayern Munich jana jumapili baada ya Borussia Monchengladbach kushinda 1-0 dhidi ya Wolfsburg na kuwapa ubingwa rasmi The Bavarians.
Kama ilivyoripotiwa na

Baada ya TIDAL ya Jay Z kupondwa, Amesema haya kuhusu maendeleo yake.

New-Jay-Z
Jay Z  amejibu tuhuma za kuwa mtandao wake wa muziki TIDAL umeanza kufa. Kupitia twitter yake Jay Z amesema mpaka sasa Tidal ina watu waliojiandikisha 770,000 ndani ya mwezi mmoja tu.
Jay Z pia ameomba watu wampe ushirikiano na muda wao kwani kampuni kubwa kama Itunes haikujengwa siku mmoja

Thierry Henry ameikosoa sera ya usajili ya Arsenal ya hivi karibuni

28080E2600000578-0-image-m-17_1430085416130
Thierry Henry ameikosoa sera ya usajili ya Arsenal ya hivi karibuni na ameitaka klabu yake hiyo ya zamani kununua wachezaji wa wanne wa kiwango cha juu majira ya kiangazi mwaka huu.
Mfaransa huyo anaamini kuwa Arsenal inahitaji golikipa, beki wa

Beckham kaamua kurudi tena Africa kufanya birthday yake?? Jibu ni YES, itafanyika huku..

12-11-13-2
Miaka saba iliyopita mwanasoka mkongwe na staa wa mitindo duniani David Beckham na mkewe Victoria walirudia viapo vya ndoa yao, walisafiri na kuamua kufanya sherehe yao jiji la Marrakech, Morocco.

26 April, 2015

TUNAJIFUNZA NINI KWA MBEYA CITY?

DSC_01971
  Timu hiyo inayomilikiwa na Manispaa ya jiji la Mbeya, ilianzishwa rasmi mwaka 2011 na miaka miwili baadaye ilifanikiwa kupanda ligi kuu. Ilikanyaga busati la ligi kuu msimu wa 2013/14 .
Ingawa ilikuwa ni timu ngeni lakini ilimaliza ikiwa nafasi ya tatu ikiwaacha wakongwe wa ligi hiyo Simba SC nafasi ya nne. Azam waliibuka mabingwa na

ARSENAL NA CHELSEA WATOKA SULUHU, NA HUU NI MSIMAMO WA EPL BAADA YA MECHI ZA LEO

                 2806F8F700000578-3056215-image-m-48_1430061690336
MPAKA dakika 90′ zinamalizika, Arsenal wakiwa nyumbani wamemiliki mpira kwa asilimia 57 kwa 43 za Chelsea, timu hizo zikitoka suluhu (0-0) katika mechi ya ligi kuu iliyomalizika usiku huu uwanja wa Emirates mjini London.

MTIBWA YACHAPWA KWAO

mtibwa-sugar
‘Mtibwa na JKT Ruvu zilitoka sare ya 1-1 katika mechi ya kwanza ya VPL msimu huu iliyochezwa Uwanja wa Azam jijini Dar es Salaam.’
MABINGWA wa Tanzania Bara 1999 na 2000, Mtibwa Sugar FC, wamepoteza mechi yao ya kwanza nyumbani msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kwenye

Joh Makini ametuletea hii video yake mpya aliyoifanya South Africa.

Joh M  Ni staa wa hiphop kutoka Tanzania ambae mwaka 2015 umepewa baraka nyingi
kwake ikiwemo video yake ya XO kuanza kuchezwa kwenye TV kubwa ya
Nigeria (Sound City) lakini pia time hii karudi kwenye

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...