
Showing posts with label VIDEOS. Show all posts
Showing posts with label VIDEOS. Show all posts
03 January, 2016
Video: Sauti Sol - 'Relax'

Rucky Baby kaja na video ya wimbo ‘Give me some’, kama ilikupita unaweza kuicheki hapa…
31 December, 2015
Video: Mkasi TV na Diva Loveness akizungumzia bifu lake na msanii Diamond kisa Alikiba!

Mtangazaji wa Clouds Radio, Diva Loveness Malinzi alikuwa na Salama kwenye show ya Mkasi TV ambapo alizungumza mengi sana kuhusiana na msiha yake ikiwa nipamoja na maisha yake ya kimapenzi, Bifu lake na mwanamuziki Nasib Abdul aka Diamond Platnumz kisa akihisi kikisababishwa na mwanamuziki Alikiba.
Tizama video hii!
Kazi mpya ya Kid Ink Ft Fetty Wap ‘Promise’ iko hapa.
ideo mpya ya Billnass Ft TID ‘Ligi Ndogo’ itazame hapa.
19 December, 2015
Hii Video mpya ya French Montana Ft Puff Daddy ‘First Time’, itazame hapa.
Video: Ben Pol Ft. Avril & Rossie M - 'Ningefanyaje'.

Video: Chege Ft. Runtown & Uhuru - 'Sweety sweety'

Watch and share , brand new music video "Sweety sweety" by Tanzania bongo flava artist Chege Featuring artist from Nigeria Runtown and Uhuru from South Africa xelimpilo.
Directed by Justin Campos | Produced by Dj Maphorisa.
13 December, 2015
Hii video mpya ya WizKid ‘Final [Baba NLA]’ itazame hapa.
11 December, 2015
eyooo VIDEO MPYA YA DIAMOND "Utanipenda"
Itazame hapaaa
10 December, 2015
video mpya ya Jux ‘One More Night’ itazame hapa.
08 December, 2015
Video nyingine kali kutoka kwa Rick Ross ‘Crocodile Python’.
Video mpya ya Jadakiss Ft Neyo Na Nipsey Hussle ‘Aint Nothin New’.
video mpya ya rapa Da L.E.S Aka North God Ft Riky Rick ‘Summer Time’.
Itazame hapa video ya rapa wa South African Da L.E.S Aka North God Ft Riky Rick ‘Summer Time’
Bonyeza Play Kuitazama.
28 August, 2015
video mpya ya Young Dee Ft Ben Pol ‘Do It’ itazame hapa.
20 August, 2015
Video ya Mayunga ‘Nice Couple’, itazame hapa.
video mpya ya Sauti Sol ‘Shake Yo Bam Bam’ itazame hapa
Baada ya video yao ya ‘Nerea’ kufanya vizuri nje na ndani ya Afrika Mashariki, Sauti Sol wametoa video mpya ya wimbo wao mpya ‘Shake Yo Bam Bam’.
Video imefanyika jijini Nairobi na Director kutoka Nigeria Clerence Peters
19 August, 2015
Tyga ameongoza video yake mwenyewe,itazame hapa ‘Bu$$in Out Da Bag’.
video mpya ya Young Thug “Again” Ft Gucci Mane
Video mpya ya Mike WiLL Made It Ft Swae Lee Na Future ‘Drinks On Us’
Subscribe to:
Posts (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...

-
Mshambuliaji huyo wa umri wa miaka 26 ambaye amekuwa akichezea klabu ya Corinthians ya Ugiriki amechezea taifa lake mechi 27 na kuwafungi...
-
Brit Awads 2016 zimefanyika huko London ambapo mwanamuziki Adele ameondoka na tuzo nyingi zaidi katika nomination alizo kuwepo. Hizi hapa...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...