Meneja Bab Tale ameonyesha kipande cha video kinacho onyesha Muonekano mpya wa studio hizo huku kivutio kikubwa ni Picha ya Alikiba ikionekana kati ya picha za Mastaa wa Muziki hapa Bongo akiwepo Marehemu Bibi Kidude na wengine wengi.Tizama Kipande hicho hapo chini.
Wataalamu wa mambo wanadai kwamba hiyo ni kick ili kuboost ngoma mpya itakayo kuja ilofanywa Na Mond akiwashirikisha P Square. Mhhhhh yetu Macho......
