Tujiandae kuwaona mastaa kwenye Red carpet South Africa ambako Tuzo za MTV zitakuwa zinatolewa pale Durban International Convention Centre July 2015.
23 May, 2015
Categories zote za MTV Africa Music Awards 2015
Tuzo baada ya Tuzo.. Hii sasa ni MTV Africa Music Awards 2015 zinarudi tena kwa msimu wa tano.
22 May, 2015
Video nyingine ‘Its In You’ kutoka kwa Yemi Alade
Yemi Alade, ni kati ya mastaa waliochaguliwa kuwania tuzo za BET mwaka huu zitakazofanyika Juni 30.
Kabla ya kushiriki tuzo hizo Yemi Alade ameamua kuachia video yake mpya inayoitwa ‘Its In You’ kwa ajili ya kusherehekea miaka 60 ya Peak Talent show.
TUMTARAJIE RAFA BENITEZ KUWA KOCHA WA R.MADRID
Manage wa klabu ya Napoli Rafael Benitez anategemewa kuwa bosi mpya wa klabu ya Real Madrid kwa mujibu wa bbc sports. Bosi wa Real Madrid wa sasa Carlo Ancelotti anategemewa kumaliza muda wake baada ya mechi yake dhidi ya Getafe. Mkataba wa
Ni video mpya ya Hussein Machozi ‘Ulikuwa Wapi’.
Hii video mpya ya Hussein Machozi ‘Ulikuwa Wapi’ imetayarishwa na Kwetu Studios. Bonyeza PLAY kuitazama
hapa hapa MTOKA MBALI>>>>
21 May, 2015
wakati Raia wakidundana Mitaani, RAISI NKURUNZINZA anakipiga uwanjani kwa raha zake.
Burundi kwa sasa iko kwenye vichwa cingi vya habari kutokana na hali ya machafuko ambayo ilijitokeza baada ya Rais Pierre Nkurunziza atangaze uamuzi wa kuwania Urais kwa awamu ya tatu mfululizo.
ABDU KIBA NAE KAONA SIO VYEMA KUMUACHA MTOTO RUBY HIVI HIVI WAMETULETEA WIMBO WAO TUUSIKILIZE
Abdu Kiba safari hii ameamua kumshirikisha kinda anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Ruby katika nyimbo yake mpya ya ‘Ayayaa’. Kutokana na sauti yake nzuri Ruby ameshiriki vyema kweye Single hii. Nakukaribisha kuisikiliza hapa.>>>
KAMA WEWE NI MPENZI WA HIP-HOP(RAP), NA MPENZI WA MEEK MILL, HII HAPA VIDEO YAKE MPYA ‘Monster’.
Rapa Meek Mil amedondosha mzigo mpya, video ya wimbo wake “Monster” ambayo ametengeneza kwa mtindo wa miaka ya 80. Nimekudondoshea kwa hapa bonyeza PLAY kuitazama>>>>
KUTANA NA HABARI MAGAZETINI LEO MAY 21,2015 KAMA HUKUPITIA HUKU SIKU YA LEO
MWANANCHI
Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nanja, Kata ya
Lepruko, wilayani Monduli, anadaiwa kumuuza mtoto wake wa kumzaa kwa
mtu mwingine kwa Sh70,000 kwa madai kuwa ana maisha magumu. Katika tukio hilo la kushangaza,
inadaiwa mwanamke huyo aliamua kumuuza mtoto huyo wa
20 May, 2015
HII NDIO LIST YA WANASOKA MAHANDSOME ULAYA,PATA KUWAFAHAMU
Mtandao mmoja huko Ulaya baada ya kuandika sana habari za soka na
wamekunja kona tofauti kidogo na kuandika kuhusu list ya wachezaji wa
soka wenye mvuto sana. Kwa lugha yao unaweza kusema kama The most
handsome soccer players. List yao ndio hii hapa kuanzia 10 hadi namba 1
HATIMAE KOCHA WA SIMBA AMEKUBALI KUPUNGUZA DAU LAKE NAKUSALIA MSIMBAZI.
TAARIFA mpya leo zinasema kocha
mkuu wa Simba aliyemaliza mkataba wake, Mserbia Goran Kopunovic
amekubali kurejea Dar es salaam kuendelea na kazi ya kuwanoa vijana wa
Msimbazi wenye uchu wa mafanikio kuelekea msimu mpya wa ligi kuu soka
Tanzania bara.
MAN U, NA LIVERPOOL WATOA TUZO KWA WACHEZAJI WAO WALIOFANYA VYEMA MSIMU HUU,PATA KUFAHAMU HILI
Usiku wa jana Uongozi wa klabu ya Liverpool ulitoa
zawadi kwa wachezaji wa timu hiyo ambao waliisaidia kwa kiasi kikubwa
katika msimu mzima wa ligi kuu, sherehe zilifanyika katika ukumbi wa Echo Arena . Nahodha anayeondoka Steven Gerrard ameshinda
tuzo ya
PENGINE LEO KWANZIA HASUBUHI ULIKUA NA SHUGHULI NYINGI NA HAUKUPATA NAFASI YAKUPITIA MAGAZETI YA LEO NIMEKUA HAPA YAPITIE
MWANANCHI
Ilikuwa ni kama kutekeleza maandiko ya Biblia yanayosema “jifungeni nguo za magunia, ombolezeni na kulia kwa uchungu”, wakati ndugu walipokwenda Hospitali ya Rufaa ya KCMC kuchukua mwili wa marehemu. Walikuwa wamevalia magunia, lakini sababu ya
19 May, 2015
YAPATE MAGAZETI YA LEO KAMA HUKUFANIKIWA KUYAONA LEO
MWANANCHI
Mkuu wa Wilaya ya Rombo Lembris Kipuyo amesema tatizo la ulevi kupindukia Wilayani humo limewaathiri wanaume kiafya na kuwataka watendaji kulivalia njuga. Kutokana na ulevi huo kuna madai kwamba
baadhi ya wanawake wanaoishi kwenye ndoa wamelazimika kutafuta wanaume
nchi jirani ya
NICK MINAJ PAMOJA NA BEYONCE WAMEANZA KUTENGENEZA VIDEO YA WIMBO WAO UITWAO ‘Feeling Myself’ ZITAZAME HAPA PICHA NA KIPANDE CHA VIDEO HIYO
Ni collabo chache sana utakuta zinawahusu mastaa wa kike peke yake kutoka pamoja, lakini safari hii wadada hawa Nick Minaj na mwenzake Beyonce wameamua kushirikiana pamoja.Kwa wakati mmoja wametoa behind the scenes na sehemu ya
HATIMAE RAISI WA MAREKANI BARACK OBAMA APEWA ACCOUNT YAKE BINAFSI TWITTER.
US President Barack Obama amepata account yake binafsi ya twitter na White House wamethibitisha hili. Jina la twitter la rais Obama ni @POTUS (President Of The United States) na ndani ya saa 24 account hii imepata watu 100,000.
MORINHO KASEMA KITU JUU YA MIAMBA YA SOKA SPAIN, BARCA NA R.MADRID.
Kocha aiseishuwa maneno akiwa kwenye interview na waandishi wa habari kwa mara nyingine tena ametoa mawazo yake kuhusu ligi mbili maarufu EPL na La Liga. Jose akiwa kwenye interview na talksport alisema kwamba kuna utofauti mkubwa kati ya La Liga na EPL kwasababu yeye ana uzoefu na
List ya Majina ya wanaogombea BET AWARDS hii hapa AKIWEPO MTANZANIA MWENZETU.
Mlango mwingine ni huu unafunguka kwenye
historia ya Entertainment Tanzania !! Tayari duniani wanatujua kwa Tuzo
nyingi ambazo zimebebwa na mastaa kama AY, Vanessa Mdee na Diamond Platnumz.. Kama bado hujajua ni kwamba mwaka huu pia kuna jina la Mbongo wetu mmoja kwenye walioteuliwa kwenye Tuzo za BET 2015. YES.. Jina jingine sio kwenye muziki tena, ni
18 May, 2015
KUTANA NA TETE SI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA MICHEZO BARANI ULAYA JUU YA USAJILI BARANI HUMO
THE SUN
Stoke City wamuandilia Begovic mkataba mpya ila kocha wa Stoke City Mark Hughes amesema kwamba maamuzi ya kubaki ndani yani ya timu yako chini ya goli kipa mwenyewe.
Huu ndio Muda wakuyapitia magazeti ya leo MAY19,2015 KAMA HAUKUPATA NUDA WAKUYAPITIA LEO
MWANANCHI
Mhasibu wa Hospitali ya Rufaa KCMC, Paul Mhumba amesimamishwa kazi kwa tuhuma za kutuma ujumbe wa simu ya mkononi (sms) kwa Rais Jakaya Kikwete.Kuvuja kwa ujumbe huo na nambari ya simu
iliyotuma, kumeibua hisia tofauti kuhusu usiri wa ofisi ya Rais katika
Billboard Awards 2015 zilifanyika jana na hivi ndivyo ilivyokua(VIDEOZ)
Billboard Awards 2015 zimefanyika
tayari.. list ya washindi wote tayari imefahamika, lakini kingine
ambacho ningependa kukusogezea ni hizi video za wakali waliofanya poa
kwenye stage ya MGM Grand Garden Arena Las Vegas, Marekani.
17 May, 2015
UONGOZI wa Simba umethibitisha rasmi kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wake,
UONGOZI wa Simba umethibitisha
rasmi kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wake, Mserbia Goran Kopunovic
baada ya kushindwa kufikia makubaliano juu ya mkataba mpya.
Mwenyekiti wa kamati ya usajili
ya Simba, Zacharia Hans Poppe amesema Kopunovic ameshuka kidogo mno
kwenye dau alilotaka na
EPL: Man u na Arsenal zatoka sare nA HUU ni msimamo wa ligi hiyo;
Herrera akifunga goli lake
MANCHESTER United ikiwa uwanja
wa nyumbani wa Old Trafford imetoka sare ya 1-1 dhidi ya Arsenal katika
mechi ya ligi kuu England iliyomalizika usiku huu.
Ander Herrera katika dakika ya 30′ alipata pasi nzuri kutoka kwa Ashley Young na kuifungia Manchester United bao la kuongoza.
ZIJUTE DONDOO ZA USAJILI KATIKA MAGAZETI YA ULAYA
THE SUN
Stoke City wamuandilia Begovic mkataba mpya ila kocha wa Stoke City Mark Hughes amesema kwamba maamuzi ya kubaki ndani yani ya timu yako chini ya goli kipa mwenyewe.
Ariana Grande kaulizwa kuhusu maisha bila Big Sean,Jibu hili.
Ariana Grande |
Big Sean alisema ‘Ariana na mambo ya kitoto na kwamba anatumia pesa vibaya , huku Ariana akijibu
BAD NEWZ: Nyota wa WWE Daniel Bryan Atangaza KUACHANA na WRESTLING.
Nyota Huyu wa MCHEZO wa MIELEKA(WRESTLING), Juma tatu tarehe 11,2015, alitangaza rasmi kuachana na MCHEZO HUO badaada ya DAKTARI wake kumuambia yakwamba Afya yake haitomruhusu kuendelea na mchezo huo.Zaidi ya Yote Nyota huyo ambae anashikilia taji la
HAYA SASA,BILLBORD NDIO HIYOO 2015,
Billboard Music Awards mwaka 2015 haiko mbali sana.
Muda umefika.. kwenye headlines kubwa za weekend hii ni hizi tuzo za hizo, shughuli yote itakuwa pale Grand Garden Arena, Marekani. Walioongoza kuingia kwenye category nyingi zaidi yuko
Iggy Azalea.. Britney Spears Wako pamoja hapa>> Pretty Girls (Video)
Kama wewe hupendi kupitwa na muziki wa nje.. au ni shabiki wa staa wa muziki Iggy Azalea hhapa nikukaribishe tu uione hii video mpya ambayo imetoka siku chache tu zilizopita.
Ni mara chache sana kukutana na collabo ya mastaa wa kike.. karibu iko hapa, play uicheki..
KUELEKEA GAME YA MAN U NA ARSENAL LEO OLDTRAFFORD HIZI NI TAKWIMU MUHIMU KUZIJUA
MANCHESTER United wanatarajia
kuipa Arsenal kipigo cha pili msimu huu wanapokutana leo katika mechi ya
ligi kuu England uwanja wa Old Trafford.
Louis van Gaal alishinda 2-1dhidi
ya Arsenal katika uwanja wa Emirates mwezi novemba mwaka jana na
Subscribe to:
Posts (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...