Baada ya kutajwa na jarida la Forbes kuwa miongoni mwa wasanii wa hiphop wenye mali na matajiri zaidi Jayz na mke wake Beyonce wamehamia kwenye jumba la kifahari lenye thamani ya pauni milioni 2.6. Jumba hilo lipo New Orleans Garden, Marekani. Nyumba inavyumba 22.
Jay Z yupo kwenye orodha hio ya Forbes akishikilia namba tatu chini ya Diddy na Dr Dre kwa kuwa na ujaririwa dola milioni 500.
Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>Zawadi_mawere. Youtube>>>MAWERE TV.
1.
No comments:
Post a Comment