25 March, 2016

Huyu ndiye Samuel Eto’o Fils

 


Jina Samuel Eto'o, sio jina ngeni masikioni mwa Tulio wengi. Ni mzaliwa wa Africa Magharibi katika nchi ya Cameroon na alizaliwa mnamo March 10, 1981. Ni mmoja kati ya wachezaji maarufu na wenye mafanikio makubwa mno barani Africa na Ulimwengini kote.
Eto'o Alijiunga na Sports Academy moja Huko nchini iliyojulikana kwa jina la Kadji na alianza kuonekana ama kufahamika kitaifa( cameroon) akiwa anachezea timu ya UCB Douala ililiyokua ikishiriki ligi daraja la pili mnamo mwaka 1996.

Akiwa na Umri wa miaka 16 pekee, aliweza kuwavutia klabu ya Real-Madrid ambao walimpatia mkataba wa kuichezea timu hiyo mnamo mwaka 1997. Eto'o Alichaguliwa kujiunga na timu yake ya taifa katika kikosi kilicho shiriki kombe la dunia mwaka 1998 ambapo  kikosi hicho kilitolewa mapema katika michuano hiyo.
Jina Eto'o lilizidi kukua zaidi na hasa pale alipokua katika michuano ya Mataifa ya Africa alipofumania nyavu mara nne katika mchezo dhidi ya Nigeria mwaka 2000.

Umahiri wake ulizidi kuonekana katika michezo ya Olimpiki mwaka huo huo wa 2000 pale ambapo kwa mara ya kwanza Cameroon waliweza kuwafunga Spain nakuweka historia katika soka nchini humoa, katika mchezo wa Finali michuano ya Olimpiki Cameroon (Indomitable Lions) wakiwa nyuma kwa jumla ya bao 2-0, Eto'o na mchezaji mwenza Patrick Mboma waliweza kusawazisha mabao hayo na kuenda moja kwa moja katika dakika 30 za nyongeza za mchezo huo na hata hivyo timu hizo hazikufungana na hatua ya matuta ikafuatia na hatimae Cameroon wakaibuka washindi.

Alichezea klabu ya Real Madrid hadi mwaka 2000 na ndipo klabu ya  Real Mallorca iliweza kumnunua mchezaji huyo kwa dau la $6.3 millioni ambalo lilikua ni dau kubwa kwa kipindi kile. Akiwa klabuni hapo Real Mallorca, Eto'o alikua mfungaji bora wa timu hiyo kwa kipindi chote na kuweka historia katika klabu hiyo ingawaje timu hiyo haikuwa na mafanikio makubwa katika ligi ya Spanish. Etoo aliiongoza tena Cameroon katika michuano ya Mataifa ya Africa na Kombe la Dunia mnamo mwaka 2002.

Eto'o alisaini mkataba na club ya FC Barcelona mnamo mwaka 2004 na hulo alizidi kung'ara. Alishinda rekodi yake ya tatu mfululizo akiwa mchezaji bora wa Africa mwaka 2005. Akiwa na Barcelona alichukua ubingwa ligi kuu na ligi ya mabingwa mnamo mwaka 2005 na mwaka 2006. Mnamo mwaka 2008 Eto'o alitajwa kama mfungaji bora wa muda wote katika michuano ya Mataifa ya Africa pale alipoisaidia timu ya ya taifa katika mchezo wa Fiinali dhidi ya Egypt( a loss to Egypt)

Akiwa na Barcelena aliiwezesha timu hiyo kuchukua makombe makubwa kwa wakati mmoja yaani Kombe la ligi, kombe la Ngao ya Mflame(Copa del Rey), kombe la ligi ya mabingwa Ulaya(Champions League) na lile la mabara(continental championship) hiyo ilikua ni mwaka 2009.  Eto'o alipelekwa kwa mkopo  Inter Milan mwisho wa msimu na kuiwezesha timu hiyo kuchukua kombe la ligi ya Mabingwa mnamo mwaka 2010 na akiwa klabuni hapo alikuwa mfungaji bora kwa jumla ya magoli 37 katika msimu wa 2010-2011.

Mnamo mwaka ulio fuatia Eto'o alisaini mkataba na timu ya Urusi inayoitwa Anzhi Makhachkala, mkataba unaotatwa kuwa ni mkataba mnono katika historia ya soka ulimwenguni na mkataba huo ulikua ni wa mwaka mmoja tuu pekee. Mnamo mwaka 2013 aliingia mkataba wa mwaka mmoja na timu ya Chelsea ligi kuu uingereza na baadae kujiunga na Everton kabla ya kujiunga na Sampdoria ligi kuu Italia(Serie A) mnamo mwaka 2015.
 Etoo anasema :- The first thing for victory is believing, believing that you can achieve. When you believe that you can achieve something, I'm sure that you're 60 percent on the path to victory. 

Huyo ndio Samuel Eto'o  Fils Mwafrika aliewahi kuvitesa vichwa vya wazungu katika mchezo wa soka.
Kwa maoni na Ushauri kuhusiana na blog hii tafadhali tutumia ujumbe katika anwani zifuatazo:
0767322193
mtokambali2015@gmail.com
Pia tunakukaribisha kuwa mmoja ya waandishi wetu tafadhali tembelea hapa http://mawerenews.blogspot.com/p/blog-page_20.html kujua jinsi ya kujiunga nasi 

Download Music: Yemi Alade - Ferrari

post-feature-image Mwanadada Yemi Katuletea ngoma mpya inayokwenda kwa jina la FERRRI.
Bofya >>>>>> HAPA <<<<< kuudawnlod

Barack Obama Quotes: The Most Inspirational Sayings Of His Presidency

1) On Change:
“Change will not come if we wait for some other person, or if we wait for some other time. We are the ones we’ve been waiting for. We are the change that we seek.” – Barack Obama
change-will-not-come-if-barack-obama
2) On The Importance of Hard Work:
“We need to steer clear of this poverty of ambition, where people want to drive fancy cars and wear nice clothes and live in nice apartments but don’t want to work hard to accomplish these things. Everyone should try to realize their full potential.” – Barack Obama


3) On The Potential Of Americans:
barack-obama-quote-2
 
4) On values:
“If we aren’t willing to pay a price for our values then we should ask ourselves whether we truly believe in them at all” – Barack Obama
file_001

5) On Love:
barack-obama-quote-8

 6) On dizzying celebrity:
I’m so overexposed, I’m starting to make Paris Hilton look like a recluse. – Barack Obama
im-so-overexposed-im-making-paris-barack-obama

7) On Americans Being Able To Make It: barack-obama-quote-3

24 March, 2016

UNALIFAHAMU KUNDI LA UB40?


Ninapoongelea UB40 hapana shaka kwa wewe mpenzi wa burudani ya Muziki utakua unajua anwaongelea wakina nani.  Kwa namna moja ama nyingine utakua umekwisha kusikia kibao kama vile “Red Red Wine, I got the Cup” na ule wa Falling in Love with You. Sasa pata kujua nyimbo zote hizo ni kazi za kundi hili la muziki kutoka huko Kusini mwa Birmingham, England. Kundi hili lilikua na vichwa kama vile Brown, Bria Travers, Trecence Oswald na Norman Hassan

Mwanzo wa kundi hili.
Wana kikundi hicho walikua marafiki tangu wakiwa shuleni na Ugumu wa maisha walio kua nao ndio uliosababisha kuunanisha vipaji vyao na kutengeneza kikundi hicho ili kufanya muziki na kujikwamua kiuchumi na kuondokana na umasikini waliokua nao.
Jina la Ub40 lilikuja kutokana  na wananchi wa Uingereza kutoa waraka wenye kurasa 40 uliohusu mafao yao ya afya na ajira . hivyo basi kundi hili likaamua lijiite Ub40. 
Brian Travers alijiunga na kundi hilo akiwa na zana yake ya Saxophone huku wengine wakija na magitaa. Na mara walianza kubandika mabango katika mitaa ya Uingereza wakitangaza bendi yao.
 Wimbo wao wa kwanza  ulisikika  katika Ukumbi wa The Hare na Hounds Pub Februari 1979 katika shereh za kuzaliwa rafiki yao. 
Chrissie Hynde ndiye aliye waona vijana hao wakiimba katika ukumbi mmoja ndipo alipoamua kuwafadhili na kuwapa nafasi ya kurekodi wimbo wao wa kwanza “King/Food for Thought” wimbo  ambao ulishika  nafasi ya 4 katika chati za muziki nchini humo.
Albamu yao ya kwanza iliitwa “Signing Off” wakimaanisha wanayamaliza malalamiko yao ya ukosefu wa ajira  na mafao ya afya. Albamu hii ilizinduliwa rasmi Agosti 1980.
Ikumbukwe kua mnamo mwaka 2010 mahakama ya Uingereza ilitangaza kuwa UB40 imefilisika. Kufilisika kwao kumekuja baada ya wanamuziki wane kina Jimmy Brown, Bria Travers, Trecence Oswald na Norman Hassan kushindwa kulipa madeni yao ya kodi.
Kundi hili ndilo kundi linalotajwa kuwahi kuuza nakala nyingi duniani katika nyanja ya Muziki. 

Japo kwa ufupi nmeweza kukupatia historia ya Kundi  hili amabalo liliwika mno miaka ya nyuma.

Kwa maoni na ushauri tafadhali tutumie ujumbe kupitia anwani zifutazo:-
0767322193
mtokambali2015@gmail.com  

New Music: Vanessa Mdee - Niroge (Audio+Video)

post-feature-image Ile ngoma tuliyo kuwa tukiiingoja Kutoka kwa Vee Money "Niroge" hii leo tunayo. Imetengenezwa na NAHREEL
Bofya >>>>>HAPA<<<< kuidownload Pia tizama video yake Hapo chini

Download Music: Jose Chameleone Ft Bob Juniour - Baki Nae

post-feature-image
Muunganiko wa Dr Jose Chamileone mwanamuziki kutokea nchini Uganda ambao wameufanya kwenye Baki Nae na muimbaji wa Bongo Fleva, Bob Junior wa nchini Tanzania.
Bofya >>>>>>>HAPA <<<<<< Kuupata wimbo huo

Download Music: Rudy Ft Wakazi - Sijutii

post-feature-imageMuunganiko wa sauti ya rn'b kutoka kwa Ruby imependezesha pale rapper Wakazi akipitisha mashairi yake kwenye remix ya Sijutii.
Bofya HAPA kuudownload

23 March, 2016

Fanya vitu vifuatavyo ili siku yako kuenda vizuri.

Image result for things to do so as to make my day better
Ni kweli kuna wakati mwingine unaamka kitandani na unajikuta katika hali tofauti, mara unajikuta katika hali ya Kutotaka kumuona mtu yeyote machoni pako, hujisikii kufanya kitu chochote ama mara nyingine unaamka ukiwa na hofu ambayo hujui inatokana na nini yaani basi tuu na hii labda inatokana na Mambo uliyoyafanya Jana ama imetokea tuu bila kujua chanzo ni nini.
Ili kuondokana na hali hizo, nmekuandikia vitu vichache vya kufanya ili kuwezesha wewe kuondokana na hali hizo na kuifanya siku yako kwenda Murua bila matatizo yeyote.

1.Fikiri mambo chanya kabla yakulala(Think Positive Thoughts Before You Sleep ).
Ubora wa usingizi wako unaweza kuaffect mood yako kwa siku ifuatayo. Hivyo wakati wa kulala jaribu kufikiri mambo mazuri na sio yale mabaya uliokutana nayo mchana kutwa wakati wa mihangaiko yako. Jaribu kujitengenezea mazingira ambayo Ubongo wako na mwili wako kwa ujumla kupumzika kwa ajili ya
siku inayofuata.
2. Ibariki siku yako (Tell yourself That Today is a Better Day)
3. Wahi kuamka.
4.Fanya mazoezi na kisha usafi wa mwili
5.Breakfast ni Muhimu
6.Pangilia  shughuli zako
7.Kumbuka marafiki au mtu umempendae kwa kumpigia simu
8.Tabasamu. 

Mtokambali

22 March, 2016

Video: Akothee Ft Flavour ‘Give It To Me’

Akothee

Msanii Akothee kutoka Kenya ametoa video ya wimbo wake wa ‘Give It To Me’ aliofanya na Mnigeria Mr Flavour.
Wimbo umetayarishwa na  Masterkraft

Young Dee azua Gumzo mitandaoni

post-feature-image
Rapper Yong Dar es Salaam ameuza gumzo kwenye mtandao wa Instagram baada ya kutupia picha mbili akiwa kamshika mwanadada tako huku amemkumbatia. Siom mara ya kwanza kwa Yound Dee kuonekana kwenye picha akiwa kamshika mwanamke tako.


Hizi ni baadhi ya comment alizopewa.
@perky_yeyooToa madole tako wee kam unatak kumtia madole nenda chumbn xio mtandaoni hexhima kwanza ata kam xuper*

@ngimbanellyBwege lakimala vidole ivyo mpige dadaako afu pichaiyo ipost mtandaoni uone wenye dadao wanajiskiaje

@festiveessienIn not the right place to grab a woman ass @youngdaresalama

@luizy_lizzy @official_tunda ww ndo kiboko kabisa sio uyu choko we @youngdaresalama unafeli nataman nkutukane yan pimbi zunguka mabucha yote nyama ni nyama tu

@victoriae851 nyoko wewe umemuacha tunda mlikuwa mnaendana sana.ilo gumegume bayaaaaaa

@ms_sashalyne @_yorlanda kuuumbee ndowalewale wanaotuibiaa asante kwa kunishtua maana ht lulu (elizabeth_michael) kwny picha bonge la mdada utaogop mwnyw utasema hili lidada lizur htr njoo live ss kadogooo kafupi yan km mtt tulikuw tunamshangaa magogon htr tunacheka vby kumbe ht mm ni mdada kwake anaempiga picha anamjaza anaonekana mkubwa nt

@_yorlanda @ms_sashalyne hahaha...mi sku namuona @pvcambo mliman i was like waaaat so ndio huyu mdoli wa insta..iphone camera achana nazo kabisa...u even cuter hundred times than her...ig inadanganya....mm bai😀

@ms_sashalyne @_yorlanda mm tn insta ht nimuone mtu mzur kias gn simfagilii hata chemb weng wao ni wabayaaa sn live kila napomuona lulu nazimiaga mwnzen nmemwambia akaniblock ila ujumb aliupata anamtoa anaonekn na shep live hy shep mbn hamna na nimjanja akipg pic anabananisha miguu kumbe anamatege yaliokwenda shule..... Jmn Mungu anawaona ifike pahala muache kutudanganya alaf sijui awafikirii km nawao ni binadam wanatembea tutakutana tu chember yyt vuuppp

Download Music: Rama Dee - Kipenda Roho

post-feature-image Yule mkali wa Rnb Rama Dee katuletea ngoma mpya "Kipenda Roho"
 Bofya ku Download Music: Rama Dee - Kipenda Roho.

Mfahamu Steve Jobs mwanzilishi wa kampuni ya Apple


Steven Paul Jobs ni mfanya biashara, mwekezaji, na mgunduzi wa kampuni kubwa dunia ya APPLE na alizaliwa mnamo February 24, 1955 huko San Francisco, California nchini Marekani ambapo "aliasiliwa"( ADOPTED) na Clara and Paul Jobs kipindi ambacho anazaliwa na hii ilitokana na wazazi wake halisi ambao ni Joanne Schieble na Abdulfattah Jandali  kushindwa kuoana sababu ya mvutano uliokuepo wa kifamilia yaani kati ya familia ya baba yake na Mama yake. Hivyo Steven alilelewa na wazazi hao wakufikia ambao hawakuwa na kipato kikubwa( a lower-middle-class couple)

Baba yake yaani Paul Jobs alikua akifanya kazi katika karakana ya familia ambapo ilikua ikihusika na mambo ya kielekroniki na hapo Steven ndipo alipokua akifanya kazi na baba yake kwa kipindi chote akiwa mdogo.Huko ndipo Steven alipoanza kuvutiwa na maswala ya Kielectroniki.
Steven alipokua alipelekwa shule na alipofika grade ya nne Steven alipewa mtihani kwa ajili ya kujiunga na high-school na alifanikiwa kupasi na akachagua kusoma katika chuo cha Reed ambacho kilikua cha gharama mno kwa wazazi wake hao wakufikia kushindwa kumudu gharama za ada. Hivyo wazazi wake hao waliamua kua Steven asome kwa mhula mmoja tuu kisha aache masomo.

Baada ya kuacha masomo chuoni hapo ,Steven alibaki chuoni hapo ili ajifunze baadhi vitu ambavyo alikua akivutiwa navyo na alikua akilala sakafuni mwa vyumba vya rafiki zake chuoni hapo. Calligraphy ndilo darasa alilokua akivutiwa nalo.

Mnamo mwaka 1970 Steven alikutana na rafiki yake Steve Wozniak ambae alikua na mika mitano zaidi yake na pia kukutana na Bob Dylan ambapo wote hao walikua wakivutiwa na electronics na ndipo walipoamua kufanya kazi katika karakana ya electronics nyumbani kwa kina Steven na hapo ndipo walipoamua kutengeneza kompyuta ya Apple I na Apple II. Wozniak alikua akijihusisha na maswala ya kielectroniki ilhali Steven yeye alikua akijihusisha na mambo ya design tofauti tofauti.

LOGO/NEMBO ya kwanza iliyptumika ilikua ni  Picha ya mwanasayansi maarufu duniani aliefahamika kwa jina la Sir Isaac Newton akiwa amekaa chini ya mti wa Apple. Baadae ikafuata nembo ya Upinde wa mvua ( rainbow) kisha Apple  ambalo lilikua limeng'atwa kwa pembeni na hadi hapo Nembo hiyo ikawa ikitumika na kubadilishwa rangi tuu.

Mnamo mwanzoni mwa mika ya 1980, Steven alitembelea kituo cha utafiti cha computer kilichokua kikiitwa Xerox PARC na ikumbukwe kabla ya hapo aligundua computer aina ya Lisa ambapo ilikua ni toleo lingine la computer ya Apple. Na jina Lisa lilitokana na jina la mtoto wa kike wa Ex-girlfriend wake ambae walikua wapenzi kipindi wakiwa High school na mtoto huyo watu wengi walikua wakiamini ni mtoto wa Steven na hata hivyo Steven alikataa kulipa fedha kwa ajiili ya kumtunza mtoto huyo licha ya kuwa na mamilioni ya fedha alizotengeneza kupitia mauzo ya Apple, hivyo Steven aliamua kuiita computer hiyo jina la Lisa. Alipokua Xerox PARC, alijenga hisia kubwa mno kwani wanasayansi waliokua katika kituo hicho,walikua wamewekeza katika namba kubwa ya Teknolojia ambazo zinekuja kuwa na faida kipindi cha miongo iliyokua mbele yao(jambo ambalo tunaona matunda yake kwa sasa.) ikiwa ni pamoja na graphical user interface (GUI) and the mouse, Ethernet, laser printing and object oriented programming.

  Jobs became obsessed with the GUI which was a lot easier to use than the command-line interfaces of the day, which required any PC user to learn a computer language. He insisted the Lisa had a GUI and a mouse, too.
Steve said, “In 1984, Apple introduced the first Macintosh. It didn’t just change Apple. It changed the whole computer industry. In 2001, we introduced the first iPod. It didn’t just change the way we all listen to music. It changed the entire music industry.”

In 1986, he bought the computer graphics division of Lucasfilm and started Pixar Animation Studios. Jobs let the animators continue to create the stories, but insisted on attention to detail and design.
Steve has been described as brilliant, abrasive, self-centered, a perfectionist and temperamental. He was a technologist and a businessman, but he was also an artist and designer. He was difficult to work for, but most employees were extremely loyal because he knew how to motivate them. Larry Ellison said that Steve combined “obsessiveness … with Picasso’s aesthetic and Edison’s inventiveness.”
Steve said, “Innovation distinguishes between a leader and a follower.”

Mpaka hapo nmefikia mwisho wa historia ya Steve Job na kuanzishwa kwa kampuni kubwa duniani ambayo ni APPLE. Yapo mengi mno ambayo sijayazungumzia ambayo Steve Job aliyoyafanya na muendelezo wa kampuni hiyo hata baada yakufariki kwa matatizo ya Kongosho mnamo Oct. 5, 2011.

Kwa maoni na ushauri tafadhali nitumie ujumbe kupitia barua pepe yangu mtokambali2015@gmali.com 
Pia Tunatoa nafasi yakua mwandishi katika blog zetu tafadhali tembelea http://mawerenews.blogspot.com/p/blog-page_20.html ili kujua ni namna ani unaweza kuwa mwenzetu.

20 March, 2016

Download Music: Lady Jaydee - Ndi Ndi Ndi

post-feature-image Baada ya Kukaa kimya kwa muda mrefu, malkia wa Bongo Flava Lady Jaydee hatimae karudi tena na ngoma ya 'Ndi Ndi Ndi"
Bofya >>> HAPA <<<<Kuudownload

Mfahamu Msanii Eddy Kenzo

12592457_563038880520506_7295650620544001446_n
Edrisah Musuuza kwa jina Maarufu anajulikana kama Eddy Kenzo amezaliwa huko Masaka nchini Uganda.  Mama yake alifariki kipindi ambacho Eddy alikua na miaka minne(4) tuu jambo ambalo lilimfanya msanii huyo kuanza kuishi mtaani na kuwa mtoto wa mtaana na hii ilitokana na Eddy kutokua anamfahamu baba yake wala ndugu yeyote kwa wakati huo na huko mtaani alikaa mpaka alipokuwa ana umri wa miaka 13.

Baada yakumaliza high school Eddy alijitwalia jina la kiusanii ambalo ni Eddy Kenzo na ndipo hapo akaanza kuandika muziki. Mnamo Mwaka 2008 alishirikishwa kwenye nyimbo ilijitwalia umaarufu nchin Uganda na Africa kwa ujumla wimbo uliokwenda kwa jina la "Yanimba" uliomilikiwa na msanii Mikie Wine.

Eddy Kenzo alizidi kujipatia umaarufu baada ya mwaka 2010 kuachia ngoma yake iliyokwenda kwa jina la "Stamina" ambapo wimbo huu aliutumia Rais wa Uganda Yoweri Museveni kipindi cha kampeni. Aliachilia Album yake ya kwanza mnamo mwaka 2012 iliyokwenda kwa jina la Ogenda Kunzisa na mwaka 2013 aliachilia album nyingine ilokwenda kwa jina la Kamunguluze na alifanikiwa kufanya toure nchini Marekani.

Wimbo wake wa "Sitya Loss" ndio wimbo uliozidi kumfanya Eddy awe maarufu Africa na Ulimwenguni kote na hasa pale alipowashirikisha gheto Kids wa Uganda kwenye video yake. Video hiyo ilipata kutazamwa kwa wingi na ilikua ikitazwa mara 10,000 kwa siku. Hivyo album yake ya tatu iliyokwenda kwa jina la "Sitya Loss" aliachilia mnamo mwaka 2014.

Eddy aliwahi kushirikishwa na kutambuliwa katika tuzo zifuatazo:
          RAWMA International Reggae and World Music Awards 2014 Nominee
         Channel O – Best East African Artist Nominee 2014
         AFRIMMA Awards –  Best Upcoming Artist Nominee 2014
         Kunde Awards –  Best East African Artist Winner 2014/2015
        Zina Awards –  Artist of the Year 2014/2015
        Rising Star Awards –  Song and Video of the Year 2014/2015
       BET Awards – Best New International Act Viewers Choice
Kwa  sasa anatamba na vibao vyake kama vile "SORAYE" na "ROYAL" ambapo katika wimbo huo wa "ROYAL" kamshirikisha msanii Patoranking.
Tazama nimbo yake ya "SORAYE" hapo chini Pia tizama video yake inayotamba kwa  sasa inayokwenda kwa jina la "ROYAL" ambapo kamshirikisha msanii Patoranking.

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...