- David de gea amekua akihusiswa na kuhamia Real Madrid misimu huu utakavyokwisha.
- Manchester united wamempa ofay a paundi 200,000 ili abaki
- Kama atasaini atakua golikipa anaelipwa zaidi duniani
- Louis van Gaal alikubali ijumaa hii kwamba klabu imempa mshahara mkubwa sana.
25 April, 2015
DE GEA KUPEWA KITITA KINONO ABAKI OT
Kuhusu filamu mpya ya Rush Hour na waigizaji wake.
Picha ya billboard iliyopo mjini Hollywood toka tarehe 23 April ameshika vichwa vya habari baada ya kuonekana kuwa filamu ya Rush Hour toleo la nne inakuja.
Picha hii imeonekana kwenye instagram ya Diddy ambaye ni muigizaji na mwigizaji mwingine Byung-hun Lee, picha iliambatana na ujumbe “The Rush is back,”
ACT-Tanzania Yabadili Jina
Chama
kipya cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Mbunge wa zamani wa Jimbo la
Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (pichani juu), kimebadili jina lake la
awali la ACT-Tanzania.
Ofisi
ya Msajili wa Vyama vya
NAJUTA KUIKATAA MAN CITY.>>>>>
- Isco hana furaha na majukumu anayopewa pale real Madrid
- Kiungo huyo wa kispanyola alihamia Bernabeu mwaka 2013
- Isco alikuwa na chaguo kati ya real Madrid na manchester city
- Isco alifanya kazi na meneja wa city Manuel Pellegrin wakiwa Malaga.
Usiyoyajua kuhusu Mtanzania Mayunga anaekwenda na Akon Marekani.
Ni Mtanzania aliyeshinda kwenye fainali ya AirtelTraceMusicStar April 18 2015 shindano lililoandaliwa na TraceURBAN, TV station ya burudani kutokea Ufaransa huku Washiriki wakiwa kutoka nchi 13 za Afrika na Tanzania ikiwemo.
Mwimbaji staa Akon
alikua mmoja wa Majaji ambapo kwenye
Mwimbaji staa Akon
alikua mmoja wa Majaji ambapo kwenye
24 April, 2015
Afande Sele: Nikichaguliwa Kuwa Mbunge Nitakataa Posho na Mishahara Mikubwa
Mwana hip hop na Bongo Fleva nchini, Afande Sele, ameweka wazi kwamba
hata kama atakuwa mwakilishi wa wananchi katika bunge la mwakani,
hataweza kuacha kufanya muziki kwa kuwa ndiyo njia ya
ALICHOZUNGUMZA MORINHO BAADA YA ZIDANE KUMTAKA HAZARD.
Zinedine Zidane ambae ni kocha wa Real Madrid Castilla alikua quoted akisema kwamba kuna wachezaji wengi anawaangalia sana, kama Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ambao ni wachezaji wazuri. Lakini pia anampenda sana Eden Hazars sana, anapenda kila kitu anachofanya uwanjani”
Yanga imebakiza pointi tatu kutangaza ubingwa
Yanga imebakiza pointi
tatu kutangaza ubingwa rasmi baada ya kuendelea kujiweka kwenye nafasi
nzuri kufuatia ushindi mnono walioupata leo kwenye uwanja wa Taifa na
kufikisha pointi 52.
Yanga ambao mpaka sasa
wamebakiza mchezo mmoja kuhitimisha ratiba ya
Picha,Louis van Gaal apewa orodha ya wachezaji wa kusajili na kuuza na shabiki wa Man Untd.
Manager wa Manchester United Louis van
Gaal amepewa ruhusa ya kumsajili Gareth Bale baada ya shabiki kumpa
orodha ya wachezaji wa kusajiliwa na klabu hio ambao wata gharinu £300m .
Shabiki Tanveer pia ameomba Radamel Falcao asipewe dili la muda mrefu na kwamba mshambuliaji Robin van Persie auzwe.Majina aliyopendekeza shabiki huyu ni pamoja na
Staa mwingine atakaye kuwa kwenye kona ya Floyd Mayweather.
Pambano la Floyd Mayweather na Manny
Pacquiao linazidi kutawala vichwa vya habari, mastaa kama Rick Ross , 50
Cent wamesha tembelea gym anayofanyia mazoezi Flody na sasa Mariah
Carey pia alikuwa na Floyd kwenye gym.
23 April, 2015
Fabrigas kuzomewa jumapil Emirate?
Hii itakua mara ya kwanza kwa Cesc Fabregas kwenda kwenye uwanja wa Emirates na kucheza against timu yake ya zamani kwenye EPL ambayo ni Arsenal. Jumapili hii kwenye EPL kuna mechi kati ya Chelsea na Arsenal ambapo Cesc Fabregas anatengemewa
watakaoikosa mechi dhidi ya Yanga SC kesho hawa hapa>>>>
‘Mshambuliaji wa zamani wa
Simba SC, Betram Mwombeki, ni miongoni mwa wachezaji wa Ruvu Shooting
Stars watakaoikosa mechi dhidi ya Yanga SC kesho.’
WAKATI zimebaki saa chache kabla ya Ruvu Shooting Stars kuivaa Yanga SC, imebainika kuwa
WAKATI zimebaki saa chache kabla ya Ruvu Shooting Stars kuivaa Yanga SC, imebainika kuwa
story ya majonzi kwa wapenzi wa soka hasa Klabu ya Everton
Hii ni habari ni habari ya majonzi kwa mashabiki wa soka duniani hasa wa klabu ya Everton na uongozi mzima kuhusu aliyekuwa rais wa heshima wa klabu hiyo Sir Philip Carter.
Carter
ambaye ni mmoja wa waasisi wakubwa ambao waliisaidia timu hiyo hadi
kufikia ilipo, kingine kilichoripotiwa leo kinahusu msiba wa Rais huyo
ambaye
Madee atimiza ahadi aliyoweka ifikapo siku yake ya Kuzaliwa mwaka huu
Madee anasema amefanikiwa kutimiza ahadi yake ya kuhamia nyumbani kwake
Kimara na leo anamalizia kupanga vitu ndani ya nyumba. Kuhusu kazi mpya
ya Dogo Janja iliyotakiwa kutoka leo 23 April 2014 Madee amesema Msiba
wa Abdu Bonge ulibadilisha ratiba nyingi ndio maana hawajakamilisha kazi
za Dogo Janja.
Manchester United imeshaanza kujipanga kwa ajili ya msimu ujao
Manchester
United imeshaanza kujipanga kwa ajili ya msimu ujao baada ya msimu huu
kuelekea mwishoni. Kiasi cha €30 million zimetengwa kwa ajili ya kumnasa
mkali huyu.
FLOY MYWETHER HATA AKIPIGWA PAMBANO LIJALO ATALIPWA ZAIDI YA DOLA MILION 180.
Kama ulikua hujui ni kwamba advance atakayolipwa Manny Pacquiao ni pay ya Messi ya miaka karibu miaka 2 akiwa ndani ya mkataba wake wa sasa. Hizi ni fact nyingine kuhusu moja ya matukio makubwa ya kiuchumi kwenye michezo kwa karne hii.
Hernandez alifunga goli dakika za mwisho
Hernandez alifunga goli dakika za mwisho kabisa na kupoteza matumaini ya wachezaji pungufu wa Atletico Madrid na kuipeleka timu hiyo anayochezea kwa mkopo nusu fainali,
Mshambuliaji huyo alipata nafasi nzuri na ya wazi dakika ya 88 na kuitumia vizuri na
22 April, 2015
Time ya kuicheki video mpya ya Sauti Sol- NEREA Feat. Amos & Josh..
Hawa ni wakali wengine toka Kenya, ‘Sura Yako‘ ni hit kubwa Afrika ambayo wamefanya hawahawa wakali wa kundi la Sauti Sol.
Walimu waua mwanafunzi kwa viboko,KAFULILA kizimbani na Watanzania wasimulia machafuko Yemen…#MAGAZETINI APRIL
MTANZANIA
Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Sekondari ya Matui iliyopo Wilayani Kiteto, Mkoani Manyara Emmanuel Mbigima mwenye miaka 15 amefariki dunia baada ya kuchapwa viboko 12 na walimu wake.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Christopher Fulme alisema mwanafunzi huyo alifariki dunia baada ya kuchapwa viboko na walimu wake watatu kutokana na
Lil Wayne kadondosha mpya,video ya “HollyWeezy”.
Hii video mpya ya wimbo wa “HollyWeezy” kutoka kwenye mixtape ya Lil Wayne Sorry 4 the Wait 2. Kwenye video ameonekana manager wa Young Money Mack Maine na manager wa Lil Wayne Cortez
Justin Bieber hajasababisha Kuachana kwa Big Sean na Ariana Grande.
Baada ya kukaa kwenye mapenzi kwa zaidi ya miezi nane, rapa Big Sean na mpenzi wake Ariana Grande wameachana. Watu wa karibu na wasanii hawa wamesema Sean na Ariana wamebaki kuwa marafiki wa karibu na kwamba bado wanapendana.
21 April, 2015
WEKUNDU wa Msimbazi wamesahau kipigo cha 2-0 walichopata mwishoni mwa juma
WEKUNDU wa Msimbazi wamesahau
kipigo cha 2-0 walichopata mwishoni mwa juma katika mechi ya ligi kuu
Tanzania bara iliyopigwa uwanja wa Sokoine Mbeya dhidi ya wenyeji Mbeya
City fc.
Baada ya kucheza mechi 20 Simba
ilitangaza
Barcelona Vs PSG, Dan Alves anena>>>>
Leo usiku vijana wa Enrique watawakaribisha PSG katika mechi ya raundi ya pili ya robo fainali ya kombe la klabu bingwa barani ulaya.
Mechi ya kwanza iliyofanyika pale jijini Paris iliisha huku ikishuhudia wenyeji wakipoteza mchezo ule kwa magoli 3-1
Dan Alves mlinzi wa Barcelona
Masharti ya ZITTO aliyoyatoa kwa LOWASSA ili kujiunga ACT na Mtoto wa miaka 11 ajinyonga Dar…Ni miongoni mwa stori 9 #MAGAZETINI APRIL 21
MWANANCHI
Kiongozi wa Chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe amesema iwapo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa anataka kugombea urais kupitia chama hicho afuate taratibu za chama ikiwamo kutangaza mali zake.
Akiwahutubia mamia ya
20 April, 2015
Ben Pol - Sophia ( Official Video )
Ben Pol katutolea video ya Sophia! dakika zako 4 zitumie kuitazama hapaVideo ilitengenezwa nyumbani kwao Dodoma ikiwa ni hit single kwenye
Radio za Tanzania sasa hivi ambapo kwenye CloudsFM Top 20 imeshika
nafasi ya pili wiki iliyopita kutoka nafasi ya tano ikiwa ni wiki yake
ya saba tu toka iingie kwenye Countdown.
Ya kesho hamna anaeyajua, Mtanzania anaekwenda na Akon Marekani alipitia huku…
Kama hukupita kwenye post yangu iliyopita Nalimi Mayunga ni Mtanzania aliyeonyesha kipaji chake kwa hali ya juu kwenye shindano la Airtel Trace Music Stars ambalo lilifanyika juzi Nairobi Kenya na kushindanisha nchi kumi na tatu kutoka Afrika.Anaondoka na Akon kuelekea Marekani kwa
ajili ya kurekodi single yake kama mkataba unavyosema baada ya
Chris Brown Ft Rihanna - Put It Up
Chriss Brown na Rihana waliwahi kufanya collabo kadhaa kabla ya mahusiano yao kuvunjika itazame hapa video hiyo ya PUT IT UP kisha utatambua mengi ndani yake >>>>.
Balotelli kwenye rekodi ya Ubaguzi wa rangi mitandaoni England !!
Moja ya adhabu ambazo ziliwahi kumkuta mshambuliaji wa Liverpool, Mario Balotelli ni uongozi wa klabu yake kumpiga faini ya pound 25,000 pamoja na adhabu ya kukosa mchezo mmoja ambao walicheza na Arsenal kwa kuwatolea maneno makali mashabiki watatu ambao
KAMA ULIPITWA NA MAGAZETI YA LEO JUMA TATU APRIL 20 NI ZAMU YAKO KUYAPITIA...
MTANZANIA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa adui yake namba moja ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha Alliance for Change and Transparance (ACT-wazalendo), Zitto Kabwe.
Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, John Mnyika
akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Furahisha Mwanza
juzi, alisema Chadema haiko tayari kuikaribisha ACT-Wazalendo ndani ya
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutokana na kile alichosema ‘ni adui kwao’.
19 April, 2015
DIAMOND PLUTNUM AWALIPIA WAKAZI 200 WA TANDALE BIMA YA AFYA KWA MWAKA MZIMA
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye anaendelea kubaki kwenye kilele kila siku, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz amejitolea kuwalipia wakazi 200 wa Tandale Bima ya afya itakayo wafanya watibiwe bure kwenye hospitali.
Ubaguzi dhidi ya wageni nchini Afrika kusini
Maafisa zaidi wa polisi wametumwa katika maeneo yenye mashambulio dhidi ya raia wa kigeni nchini Afrika Kusini.
#MAGAZETINI LEO APRIL 19
HABARILEO
Wakati ajali za barabarani zikiendelea
kumaliza nguvu kazi ya Taifa na kuumiza vichwa vya Watanzania kuhusu
suluhisho la ajali hizo, imefahamika moja ya tatizo sugu ni kukosekana
kwa madereva wenye taaluma stahiki, ingawa wana leseni.
Young Thug - Constantly Hating featuring Birdman (Official Video)
Baada ya mixtape yake mpya ya Barter 6 kutoka, rapa Young Thug ametoa
video mpya ya wimbo aliofanya na boss wake Birdman “Constantly Hating”
na kutangaza album mpya itakayoitwa Hy!£UN35 na kwamba inatoka August28 icheki hapa>>>>>>>.
Gigy Money-Alela (Official Video)
Video Queen mwenye vipaji vingi Gigy Money alionekana fnl usiku wa 17 April 2015 na kuzungumzia video yake mpya “Alela” iliyotayarishwa na muongozaji mpya wa video Tanzania Joowzey. Audio ya wimbo huu imetayarishwa na C9 wa C9 Records
Subscribe to:
Posts (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...