16 May, 2015

G Nako katoa hii video yake mpya ‘Sichezi Mbali’.

Image result for Mweusi G Nako Sichezi Mbali’.Msanii wa kampuni ya Weusi G Nako ametoa video yake mpya ‘Sichezi Mbali’ iliyofanywa na Cyne Studios. Audio ni kazi ya kweli ya Noizmaker kutoka Arusha. Nimekuwekea hapa mtu wangu.. BONYEZA PLAY UBURUDIKE Msanii wa kampuni ya Weusi G Nako ametoa video yake
mpya ‘Sichezi Mbali’ iliyofanywa na Cyne Studios. Audio ni kazi ya kweli ya Noizmaker kutoka Arusha

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...