10 May, 2015

Msanii wa Timbaland Tink arudia Huu wimbo wa Aaliyah.

tink-ws-1440
Akiwa kwenye harakati za kumtangaza msanii wake mpya ‘Tink’ Producer  Timbaland, amempa ruhusa ya kufanya remix ya wimbo wa marehemu Aaliyah “One In A Million.”

Wimbo wa “One In A Million” ulikuwa kwenye album ya pili ya Aaliyah ‘One In A Million’.
Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>Zawadi_mawere. Youtube>>>MAWERE TV.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...