Hujulikana sana kwa maringo yake,lakini kwa kweli Kanye West asingekufuru na kujitambulisha kama mungu katika biblia hiyo.
Kitabu
hicho kitukufu kimebadilishwa na kuwa Biblia ya sasa kwa jina
''Yeezus'' na amini usiamini kila neno la Mungu katika kitabu hicho
limeondolewa na17 April, 2015
hizi Story 8 kutoka kwenye Magazeti ya leo Tanzania April 17.
HABARILEO
Serikali imewasimamisha kazi katibu viongozi wote wakuu wa Kampuni ya Reli nchini(TRL), kwa kile kilichoelezwa kuwa hujuma ya mabilioni ya shilingi yaliyotumika kununua mabehewa chakavu.
Waliosimamishwa ni pamoja na Mkurugenzi Mtendaji, Kipallo Kisamfu, Mhandisi Mkuu wa Mitambo, Ngosomwile Ngosomiles, Mhasibu Mkuu, Mbaraka Mchopa, Mkaguzi Mkuu wa Ndani, Jasper Kisiraga na Meneja Mkuu wa Manunuzi wa kampuni hiyo,Ferdinand Soka.
Imeripotiwa ajali nyingine ya Hiace Mbeya, Kamanda wa Polisi kathibitisha vifo vya watu–
16 April, 2015
NI Lord Eyez na Ray C Tena.......
Rapa wa Kundi la Weusi amefanyiwa mahojiano na Clouds Fm nakusema amefanya kazi na mpenzi wake wa kitambo ambaye ni msanii wa bongo fleva Ray C.
Lord Eyez amethibitisha kuwa wimbo umepewa jina ‘Matatizo’ na umefanyika studio za Mangugu Digital na Producer Shaqee. Wimbo una stori kuhusu mambo tofauti tunayopitia kwenye maisha.
Noorah amemtambulisha huyu kama msanii mpya wa Chemba Squad.
Msanii wa Chemba Squad Noorah ambaye kwa sasa anamatatizo ya kifya
ndio maana hajafanya kazi za muziki wa muda mrefu amemtambulisha Rasmi
msanii One Six kuwa ndio Msanii mpya wa kundi lao la Chemba Squad.
Chemba Squad linaundwa na Noorah Na Dark Master baada ya kuondokewa na wasanii wao Mez B Na Albert Mangwea.
Chemba Squad linaundwa na Noorah Na Dark Master baada ya kuondokewa na wasanii wao Mez B Na Albert Mangwea.
BACK IN THE TIME JOSLIN
Mapacha watano wa kike wamezaliwa Marekani
KAMA ULIKOSA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI 16 CHUKUA TIME YAKO KUJUA NN KIMETOKEA MAGAZETINI LEO.
Majibu ya DNA Test Aliyoifanya NAY WA MITEGO Kubaini Kama Mtoto Aliyezaa na SIWEMA ni Wake Ama Laa Yametoka..Majibu Haya Hapa
LIGI KUU BARA KUENDELEA TENA HAPO KESHO
Ligi hiyo ya Vodacom itaendelea
kutimua vumbi siku ya jumamosi kwa michezo mitatu, mjini Morogoro
wenyeji Polisi Morogoro watawakaribisha Ndanda FC kwenye uwanja
Lil Wayne ameshtakiwa na dereva wake, sababu kubwa ipo kwenye hii stori
BALOTELI MCHEZAJI BORA WA MWAKA...
Mashabiki wa Man united Na Arsenal wamkejeli Baloteli kwa kumpigia kura ya mchezaji bora wa mwaka wa Liverpool.Mashabiki wa Liverpool watampigia kwa kutumia mtandao wa klabu yao.
Balotelli alisajiliwa kwa paundi million 16 akitokea Ac Milan majira ya kiangazi.
Amefunga magoli manne katika mechi 25 zote alizocheza Liverpool.
mapenzi moto moto,Meek Mil na Nicki Minaj wapiga hatua nyingine.
Rapa Nicki Minaj amewapa mashabiki wake kitu cha
kuongelea weekend hii baada ya kuweka picha akiwa na mpenzi wake Rapa
Meek Mil huku
15 April, 2015
Staa wa filamu Bongo Wema Sepetu na Mtangazaji Penniel Mwingila ‘Penny’ wajiunga kufanya filamu ya pamoja

MTIBWA WAIFUNGA PRIZON YA MBEYA....
BAADA
ya kufungwa mechi mbili kanda ya ziwa, mabao 2-1 na Kagera Sugar, 1-0
dhidi ya Stand United na sare ya 1-1 ya mwishoni mwa wiki iliyopita
dhidi ya
KAMA UNATAKA MAISHA YAKO YAWE MAZURI ACHA UOGA WA KUTHUBUTU.
“Kuzaliwa Masikini Sio Kosa Lako, ila Kufa Masikini ni Kosa Lako Kubwa Sana”Msingi wa kufanikiwa ni kuthubutu kufanya jambo fulani kwa mfano kufungua miradi, kufanya biashara, kusoma kwa bidii na mambo mengine kibao.
Ngoja nikuulize tena, maana najua utakua ushaulizwa hili swali mara nying, Hivii unatamani kuishi au uwe kama nani ? wengi wetu mtasema natamani kuishi maisha mazuri na bora.
JEANS MRARUKO KWA WAKAKA
Mawerenewz.blogpot.com ndio mtandao wako wakipekee
unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO,SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA
pamoja na KITAIFA
Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3,
facebook>>>Francis mawere the jr, Instagram>>>Zawadi_mawere.
AKSANTEZICHEK HAPA MWANANGU...
Shamim 8020fashion's new look

Using great choices from the Glamorous Fashion store and Viatuzi,Shamim who is a fashion blogger for 8020fashions looks amazing in this new look

MAYWETHER KUACHANA NA NGUMI.
Siku zinazidi kukatika kuelekea
pambano lenye thamani kubwa zaidi kuwahi kutokea duniani, wengine
wanaliita pambano la karne baina ya bondia asiyepigika Flody Mayweather
na Manny Pacquiao litakalopigwa mei pili mwaka huu Las Vegas Marekani.
KAMA ULIKOZIKOSA STORY ZA MAGAZETINI HIZI HAPA MWANANGU....
JAMBOLEO
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Matata Sheba mkazi wa Tungi Manispaa ya Morogoro amenyofolewa sehemu za siri na kuliwa na mambo wakati akioga mtoni.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Diwani wa kata ya Tungi, Deogratius Mzeru alisema Sheba alikwenda mtoni kuoga gafla alitokea mamba na kumg’ata.
Alisema
14 April, 2015
Flaviana Matata kaibuka tena kwenye MAGAZINE ya Kimataifa, kingine kuhusu yeye ni hiki..
Mwanamitindo wa TZ ambaye yuko kwenye
HEADLINES za Kimataifa.. Nimekutana na kitu kinachohusu yeye mtandaoni,
nikaona kwa sababu ni mtu wetu basi niisogeze hii ili watu wake pia
waone.
Kaingia kwenye HEADLINES za Magazine kubwa duniani, BLACK ENTERPRISE ambao
wamefanya nae exclusive interview, mengi kayasema hapa
Alichosema Drake kuhusu busu zito la Madonna,
Drake ametumia instagram yake kusema kuwa “Watu wasitafsiri kitendo chake vibaya ila hakutegemea kumbusu madonna ” .
Kwenye tamasha la Coachella mwanii mkongwe wa pop Madonna alikutanisha midomo yake na rapa mkubwa Drake wakiwa pamoja kwenye jukwa na kukamata attention ya watu wengi. Baada ya busu lao Drake alionekana kushtushwa na jambo hilo na
Mamake Beyoncé Knowles,Tina 61, aolewa
Mamake Beyonce Knowles,Tina 61,ameolewa kwa mara ya pili .
Tina aliolewa na mchumbake wa siku nyingi msanii Richard Lawson, mwenye umri wa miaka 67.Wawili hao walifunga pingu za maisha katika
Zitto Kabwe Hakamatiki Afunika Morogoro...
Mamia ya Wananchi Wahudhuria Mkutano wa Chama Chake Cha ACT-Wazalendo
Viongozi
wa Chama cha ACT-Wazalendo wakicheza wimbo wa chama hicho, kwenye eneo
la Uwanja wa Ndege mjini Morogoro kabla kiongozi wa chama hicho, Zitto
Kabwe hajaanza....

Wanawake wanaovalia nguo nyekundu huvutia sana wanaume tofauti na wale wanaovaa mavazi ya rangi nyengine

Steven G Young wa chuo kikuu cha mji wa New York aliandika katika jarida la maadili ya kisosholojia: Ushahidi wa hivi karibuni unadai kwamba rangi husaidia katika kuwakutanisha watu wawili wanaopendana kwa kuwa raha inayopatikana miongoni mwa wanawake wakati wa tendo la ngono hushirikishwa na wekundu wa mashavu,shingo na kifua.
Wanawake wengi hupendelea kuvaa mavazi ya rangi nyekundu wakati wanapojiandaa kukutana na wanaume wanaowavutia.
Ukilinganisha na rangi nyengine wanawake wanaovalia mavazi ya rangi nyekundu huvutia sana.
Baada ya Diamond kumkataza kwenda A Kusini kujifungulia, Hii ndiyo hospitali Zari anayo endea kliniki hapa Bongo

Habari zilizonyakwa na Ijumaa Wikienda kutoka kwenye chanzo cha ndani ya familia ya Diamond zilieleza kwamba, tayari jamaa huyo amemuanzishia
kutoka MAGAZETINI leo APRIL 14
NIPASHE
Utafiti uliofanywa na Benki Kuu ya Dunia
kwa robo ya kwanza ya mwaka kuhusu hali ya kiuchumi barani Afrika,
umeonyesha kuwa Tanzania ni kati ya nchi barani humo ambazo bado zipo
imara kiuchumi ndani ya kipindi hicho.
Hata hivyo,
WAJUE WACHEZAJI HAWA WANAOTESA ULAYA ILA ASILI YAO NI AFRICA
Mario Balotelli anacheza mechi za kimataifa na the Azzurri na amefanikia akufunga mara 13 kwenye mechi 33 alizocheza. Mambo haya angeweza kuyafanya akiwa na timu ya taifa ya Ghana kwa sababu wazazi wake ni wazawa wa nchi hiyo.
12 April, 2015
Dawa za kulevya:Nelly mashakani
Mshindi wa tuzo ya Grammy
mwanamuziki Cornell Haynes ama kwa jina maarufu Nelly amekamatwa na
shtaka la mihadarati baada ya polisi kusimamisha basi alilokuwa
akisafiria mjini Tennessee nchini Marekani.
Alikamatwa kwa kuwa basi hilo halikuwa na vibandiko halali kabla ya kuchunguzwa kutokana na harufu ya bangi iliokuwa ikinuka.Justin Bieber akamatwe
Jaji mmoja nchini Argentina ametoa
agizo la kukamatwa kwa mwanamuziki Justin Bieber siku ya ijumaa akisema
kuwa mwimbaji huyo alikataa kufika mbele yake kuhusiana na madai kwamba
aliwaagiza walinzi wake kumshambulia mpiga picha mmoja mwaka 2013.
BAADA YA CHELSEA KUSHINDA MSIMAMO UKO HIVI
Bao la dakika za usiku la Cesc
Fabregas limeiwezesha Chelsea kuvuna pointi tatu katika mechi ya ligi
kuu soka nchini England ugenini dhidi ya Queens Park Rangers (QPR).
Fabregas alifunga goli hilo pekee dakika ya 88′ katika mechi iliyopigwa jioni ya leo uwanja wa Loftus Road.
Ushindi huo umewafanya.....
Man United yaifunga Mancity 4-1
Manchester United ilipanda tena
katika nafasi ya tatu katika jedwali la ligi ya Uingereza ikiwa pointi
moja nyuma ya Arsenal baada ya kuwacharaza mahasimu wao wa jadi
Manchester City mabao 4-2.
Sergio Aguerro alikuwa wa kwanza kuiweka City kifua mbele lakini vijana wa Old Trafford walisawazisha kupitia Ashley Young .Vikosi vinavyotarajiwa kuanza leo kwenye ‘Dabi’ ya Manchester
MECHI TATU ZA MANUEL PELLEGRINI 3 v MANCHESTER UNITED 0
Kocha
wa Manchester City, Manuel Pellegrini ana rekodi ya ushindi ya
asilimia 100 katika mechi zote 3 alizokutana na Manchester United tangu
arithi mikoba Roberto Mancini.
Manchester City 4-1 Manchester United, Septemba 2013
Sergio
Aguero alifunga magoli mawili katika ushindi wa kwanza wa Pellegrini
katika mechi ya watani hao wa jadi, wakati kocha mwingine aliyekuwa
anaiongoza kwa mara ya kwanza United kwenye mechi ya mahasimu, David
Moyes alishuhudia Man United ikisambaratishwa.
Manchester United 0-3 Manchester City, Machi 2014
Edin
Dzeko alifunga baada ya sekundu 45 tu Old Trafford na baadaye aliongeza
la pili na kuifanya City imalize msimu kwa kuichapa Man United mara
mbili.
Pellegrini labda anaweza kufikiria kumuanzisha leo Mbosnia huyo.
Manchester City 1-0 Manchester Utd 0, Novemba 2014
Kocha mpya Manchester United matokeo yale yale. Aguero alifunga goli pekee la ushindi
MAGAZETINI APRIL 12 JUMA PILI
Kuanzia Julai mwaka huu Watanzania
wataanza kupata umeme wa uhakika na usiyo kuwa na gharama baada ya
kuanza kazi kwa mtambo wa kuzalisha umeme wa gesi, utakaoingiza kwenye
gridi ya Taifa megawati 150.
Justin Timberlake na Jessica Biel
Subscribe to:
Posts (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...

-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Brit Awads 2016 zimefanyika huko London ambapo mwanamuziki Adele ameondoka na tuzo nyingi zaidi katika nomination alizo kuwepo. Hizi hapa...