Rnb staa Christina Milian ameonyesha mapenzi ya dhati kwa rapa Lil Wayne kwa kuchora tattoo ya majina yao pamoja kwenye mkono wake.Tattoo imeandikwa “love hard…TnT,” ikimaanisha Tina and Tunechi. Wiki iliyopita Milian alitoa video ya wimbo “Rebel,” ambao ni wimbo uliohamasishwa na mapenzi yake kwa
Wizzy.
No comments:
Post a Comment