Msanii wa kundi la WANAUME FAMILLY TMK, Chegge Chigunda kaachia Video yake mpya ya wimbo wa MWANANYAMALA aliouachilia siku chache zilizopita. Video hiyo imefanyika kwa Director/producer mkongwe TZ ADAM JUMA, Itizame hapa mtu wangu.16 May, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
No comments:
Post a Comment