19 June, 2015

Hit song ya Vanessa Mdee “Nobody But Me” yachkua namba 1 huko bonden kw mzee madiba.

Vee Money
Good news  Mtu wetu Vanessa Mdee anazidi kufanya vizuri katika chati za radio countdown kwenye baadhi ya nchi za Africa, na leo hit song ya Vanessa Mdee Nobody but me aliomshirikisha msanii kutoka South Africa K.O imeshika namba moja katika countdown ya Africa Boom Box ya Y.Fm radio iliyoko South Africa. 

Download New Music: Ice Boy Ft. Barnaba - 'I Believe'

Pakua wimbo mpya wa msanii chipukizi Ice Boy akimshirikisha Barnaba.

HAPA MADONA PALE NICK NIMANIJ KWENYE HIII VIDEO

Nicki Minaj MadonnaNicki Minaj kapewa mwaliko kwenye hii kolabo mpya ya Madonna ambayo imegonga kwenye Internet June 18 2015 ambapo ndani yake pia wanaonekana wengine maarufu Beyonce akiwa mmoja wao.

Ambwene Yesayah 'AY' awashauri Diamond na Alikiba wafanya kazi pamoja

Rapper Ambwene Yesayah maarufu kama AY ametoa ushauri kwa Diamond na Alikiba kuweka tofauti zao pembeni na kufanya muziki pamoja.AY ametoa ushauri huo baada ya kuulizwa na shabiki kupitia Kikaangoni cha EATV aliyetaka kujua ni msanii yupi kati ya wawili hao anayemkubali zaidi.

stori zote za magazeti zilizosikika leo Ijumaa June 19 2015 hapa. (Audio)

19Jaji mkuu wa zamani Augustine Ramadhani azua mjadala kwa wagombea urais CCM baada ya kuchukua formu ya ugombea urais kupitia chama hicho na mwandishi wa TBC Florence Diyauli afariki dunia jana June 18 akiwa amelazwa hospitali kwa ajili ya matibabu.

Serikali ya Tanzania inatarajia kukopa kiasi cha dola milioni mia nane za Kimarekani ili kuimarisha shilingi ya Tanzania

Serikali ya Tanzania inatarajia kukopa kiasi cha dola milioni mia nane za Kimarekani kutoka taasisi mbili za kifedha za kigeni ili kuimarisha shilingi ya Tanzania ambayo inaendelea kudorora.
Tayari Tanzania imefanya mazungumzo na

18 June, 2015

Winger wa Man Untd ajisogeza karibu na aliyekuwa mpenzi wa Chris Brown’Karrueche Tran’.

ktran 3
Winger mpya wa klabu ya Man Untd ‘Memphis Depay’ ameonekana akiwa karibu na aliyekuwa mpenzi wa Chris Brown ‘Karrueche Tran’ kwenye picha waliyopiga pamoja.
Picha hii imezua mapya kuwa kuna uwezekano K Tran akahusishwa kimapenzi na

17 June, 2015

Video ya rapa Anatii Ft A.K.A ‘The Saga’

nomaaaMsanii kutoka Afrika Kusini Anatii ametoa video yake ya wimbo “The Saga” aliofanya na AKA, video imetayarishwa na Studio Space Pictures (SSP). BONYEZA PLAY KUITAZAMA VIDEO HIII>>>>

16 June, 2015

Isikilize hapa kazi ya Kcee ft Diamond Platnumz ‘Love Boat’.

love-boat

Ratiba ya ligi kuu England msimu wa 2015/2016 itatangazwa kesho asubuhi

290A8A7200000578-0-image-a-15_1434458235264
Timu kubwa za EPL, Chelsea, Manchester City, Arsenal, Manchester United, Liverpool zinasubiri kwa hamu kuona kama zitaanza na mechi ngumu au rahisi.
Timu mpya zilizopanda ligi kuu, Bournemouth, Watford na  Norwich pia zina presha kubwa ya kuanza na miamba ya EPL.

Download New Music: Runtown feat. Wizkid – 'Bend Down Pause'

Fresh from releasing the visuals to “The Banger” featuring Uhuru, Runtown drops a brand new single titled “Bend Down Pause” featuring Wizkid. The track was produced by Del B.
Video mpya ya msanii Chris Roby wimbo unaitwa “Tuyamalize” video imeongozwa na Creator Pros

Wakati tunaisubiri Video Yamoto Band kutoka South Africa, unaweza kuicheki hii video yao nyingine.. ‘Nisambazie Raha’

Yamoto Band New
Jana nilikusogezea story kwamba Yamoto Band wamepanda ndege Dar kuelekea South Africa ambako watafanya video yao ya wimbo wa ‘Cheza Kwa Madoido‘ na Director mkubwa Africa, Godfather.
Nimekutana na hii video yao waliyoiachia siku chache zilizopita, wimbo unaitwa

14 June, 2015

KAMA ULIKOSA KUTAZAMA SHOW YA KTMA 2015 HII HAPA

Hatimae tuzo za KTMA 2015 zilimalizika na waShindi wa tuzo hizo kupatikana kutokana na kura zilizopigwa na wapenzi wa muziki Tanzania. Hongera ziende kwake ALIKIBA kwa kuchukua tuzo TANO, JOH MAKIN na waShindi wengine wote na hivi ndivo mambo yalivyokua>>>>>>>

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...