KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthibitisha manunuzi yake.
Taarifa iliyotolewa jana na SEEA ilisema urejeshaji wa fedha baada ya kuthibitika kwa manunuzi ni moja ya njia mbili za nafuu kwa wateja wa Samsung Note 7.
Mbali na urejeshaji fedha, SEEA imesema katika taarifa yake, wateja wenye simu za Samsung Note 7 wanaweza pia kuamua kuzibadilisha na kupatiwa simu mpya za Galaxy S7 au Galaxy S7 Edge, au Galaxy Note 5, pamoja na chenji itokanayo na tofauti ya bei.
SEEA imesema katika taarifa yake kuwa inafahamu kwamba simu za Note 7 zilikuwa hazijaanza kuuzwa katika soko la nyumbani, lakini kwa kuwa imeweka mbele usalama wa wateja wake ipo tayari kuchukua jukumu hilo.
Note 7 zimegundulika kuwa na tatizo katika betri ya simu hiyo ambayo husababisha kulipuka, lakini hata baada ya kubadilishwa baadhi ya wateja waliopata simu za toleo la pili pia wameelezea kuwapo kwa tatizo hilo pia.
SEEA imesema ofa yake ni kwa wateja wa aina zote mbili, walionunua mara ya kwanza katika msoko nje ya Afrika Mashariki na wanaomiliki Note 7 baada ya kubadilishiwa walizonunua mara ya kwanza.
Showing posts with label Technolojia. Show all posts
Showing posts with label Technolojia. Show all posts
26 October, 2016
25 October, 2016
Utafiti: Betri zinazotumiwa katika simu zina sumu
Zaidi ya gesi 100 zinazoweza
kusababisha kifo hutolewa na betri zinazopatikana miongoni mwa mabilioni
ya vifaa vinavyotumiwa na raia wengi duniani kama vile simu aina ya
smartphone na vipatakilishi kulingana na utafiti mpya.
Watafiti kutoka taasisi ya ulinzi ya NBC nchini Marekani pamoja na chuo kikuu cha Tsinghua nchini China wamesema kuwa watu wengi huenda hawajui hatari ya betri kupata moto, kuharibika ama kutumia chaji isiofaa katika vifaa hivyo, jarida la Science Explorer limeripoti.
Katika utafiti huo mpya,walichunguza betri moja ya kuchaji inayojulikana kama Lithium-ion,ambayo huwekwa katika vifaa vinavyotumika kila mwaka.
''Siku hizi,Betri za Lithium-ion hukuzwa na serikali nyingi duniani kama kawi inayopatikana kwa haraka ili kuviwasha vifaa vyote ikiwemo magari ya kielektroniki hadi simu," alisema Jie Sun, profesa mkuu katika taasisi ya ulinzi ya NBC.
Sun na wenzake waligundua sababu kadhaa ambazo zinaweza kuongeza gesi zenye sumu zinazotolewa.
Betri zilizopata chaji zaidi hutoa gesi zaidi za sumu ikilinganishwa na betri ilio na asilimia 50 ya chaji.
CHANZO: BBC.
22 October, 2016
Twitter na makampuni mengine Marekani yavamiwa na Wadukuzi(Hackers)
Uchunguzi umeanzishwa baada ya
uvamizi wa mitandao kadhaa dhidi ya kampuni ya Marekani ulioathiri
huduma za baadhi ya mitandao hiyo.
Twitter, Spotify, Reddit, Soundcloud na mitandao mingine yameathirika katika uvamizi wa mitandao.Kumekuwa na hofu kuhusu tishio dhidi ya usalama wa mitandao ya Marekani wakati uchaguzi mkuu ukikaribia baada ya wavamizi kufanikiwa kufikia barua pepe za chama cha Democratic na baadhi ya mashirika ya uchaguzi nchini.
Mitandao hiyo ni wateja wa kampuni iitwayo Dyn ambayo inaitumia kuwasaidia wateja kupata mitandao hiyo wakiyatafuta.
DynDNS imeathirika na uvamizi wa data katika kinachojulikana kama shambulio la (DDos) jambo linalofanya kuwa vigumu kwa wateja kuyapata mitandao hiyo wanapoyatafuta.
Haijulikani wazi ni nani anayehusika na uvamizi huo au ni kwanini Dyn imelengwa.
Katika taarifa kwenye mtandao wake, Dyn imesema uvamizi huo wa DDoS ulianza mapema Ijumaa Marekani na kuathiri kampuni zaidi mashariki mwa taifa hilo.
Athari ya awali ya uvamizi huo ulisababisha baadhi ya mitandao kutopatikana wakati watu wakiyatafuta au wakati mwingine agizo linalotumwa katika mtandao kuchukua muda mrefu kabla ya kupokewa.
Watu wengi waliokuwa wanatumia mitandao ya kijamii walieleza kuwa, Reddit, Twitter, Etsy, Github, Soundcloud, Spotify na mitandao mingine ilikuwa vigumu kuyafungua.
Mitandao pia kama Paypal, Pinterest na Tumblr pia yanaarifiwa kuathirika.
Katika ujumbe kwenye Twitter, na uliosambazwa pakubwa, Github ilisema "tukio la kimataifa" linaathiri Dyn na kufanya kuwa vigumu kuyapata mitandao yake.
Athari ya uvamizi huo ulidhihirika kwa saa kadhaa na kufikia mchana Ijumaa, Dyn ilisema huduma zake zimerudi kama kawaida.
21 October, 2016
Kamera Ya Mbele (Selfie) Mbioni Kutumika Kama 'Password' Ili Kuweka Ulinzi Zaidi
Kamera ya mbele maaru kama ‘Selfie Camera’ itakua haina kazi chache tuu kama tulivyoziea kuzifanya katika kamera hiyo.Kumbuka wengi wetu huwa tunaitumia katika kupiga picha tuu na wengine pengine hawaitumii kabisa kulingana na uwezo wa kamera hiyo.
Lakini kumbuka pia kamera ya mbele (selfie) imejipatia umaarufu mkubwa kutokana na zile picha ambazo watu huwa wanajipiga wenyewe. Kutokana na hili makampuni yamekaa na kutafuta namna au njia nyingine ambayo kamera hii inaweza ikatumika.
Matumizi ya kamera hii ya mbele hata kwa sasa yanatumika katika App za Uber, HSBC na Mastercard kama njia moja wapo ya usalama baina ya App na mtumiaji wa App hiyo.Yaani ni hivi makampuni mengi kwa sasa wana mpango wa kufanya kamera ya mbele ya simu yako iwe ni kama Password yako.
Hapo utaachana na kuingiza manamba au maneno au hata ‘patterns’.Kwa mfano App ya Mastercard imeapa kuwa itabadilisha kabisa password za kawaida kwenda katika mfumo wa ‘selfie’ yaani hii inamaanisha kuwa mtumiaji au mteja wa Mastercard atakuwa na uwezo wa kuiangalia kamera yake ya selfie ili kuweza kupata huduma Fulani katika akaunti yake.
Mpaka sasa makampuni mengi bado yapo katika majaribio na maboresho ya teknolojia hii lakini hii pia haimanishi kuwa ‘password’ za kawaida na ‘finger print’ zinapotea. Kingine kizuri ni kwamba watu hawatakuwa na kazi kubwa ya kutengeneza nenosiri gumu ambalo mtu mwingine hatoweza kulikisia.
CHANZO: http://teknokona.com/

13 October, 2016
Rwanda yapiga marufuku simu za Galaxy Note 7
Serikali ya Rwanda imepiga marufuku uagizaji na usambazaji wa simu za kampuni ya Samsung aina ya Galaxy Note 7.
>>>>> Samsung yasitisha utengezaji wa simu za Galaxy Note 7
Mamlaka inayosimamia bidhaa na matumizi nchini Rwanda imesema hatua ya kupiga marufuku simu hizo imechukuliwa kwa sababu za kiusalama.
"Kwa sababu za kiusalama, wateja ambao huenda walinunua simu hizi binafsi nje ya nchi wanatakiwa kuzizima na kuzirejesha eneo walizozinunua," imesema taarifa ya kaimu mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo Meja Jenerali Patrick Nyirishema.
Samsung pia imewashauri walio na simu hizo kuzizima na kutozitumia tena.
10 October, 2016
Samsung yasitisha utengezaji wa simu za Galaxy Note 7
Kampuni ya Samsung imesitisha utengenezaji wa simu za Galaxy Note 7
baada ya hofu kuendelea kuwepo kuwa hata zile simu za mara ya pili
zilizodaiwa kurekebishwa zinaweza kulipuka.
Mtu anayefahamu uamuzi huo kwa ukaribu, amethibitisha kupitia CNN usitishwaji wa muda wa simu hizo baada ya shirika la habari la Korea Kusini, Yonhap kuripoti kwanza kuhusiana na taarifa hizo.
Tangazo hilo limekuja baada ya makampuni ya Marekani na Australia kusema yataacha kufidia simu hizo kwa walionunua mwanzo kutokana na wasiwasi kuwa simu hizo nazo ni vimeo kama za awali.
Mapema baada ya Galaxy Note 7 kuingia sokoni mwezi August, baadhi ya watumiaji walidai kuwa simu zao zilikuwa zikishika moto. Kampuni hiyo ililazimika kuziondoa sokoni simu zote kwa kudai zina tatizo la betri linalopeleka zichemke na hivyo kuwaka moto.
Simu mbadala zilikuwa zimalize tatizo hilo na tayari baadhi ya watumiaji walipewa zingine. Lakini baadhi ya wateja bado wamekuwa wakiripoti kuwepo kwa tatizo hilo hatari kwenye simu zao mpya.
CHANZO:BONGO5

06 October, 2016
Samsung Galaxy Note 7 yalipuka kwenye Ndege.
Simu ya kampuni ya Samsung aina ya
Galaxy Note 7, ambayo ilikuwa imethibitishwa na kampuni hiyo kuwa
ilikuwa salama, imelipuka kwenye ndege nchini Marekani.
Shirika hilo limesema abiria waliokuwa kwenye ndege moja yake, iliyokuwa imepangiwa kusafiri kutoka Louisville, Kentucky, hadi Baltimore, Maryland, waliondolewa kwenye ndege kwa dharura kabla ya ndege hiyo kupaa Jumatano.
Kampuni ya Samsung iliwashauri watu waliokuwa wamenunua simu za Note 7 kuzirejesha kwa kampuni hiyo baada ya kugunduliwa zilikuwa na tatizo kwenye betri zake.
Samsung imesema bado inachunguza kisa hicho cha Jumatano.
"Tunashirikiana na maafisa wa serikali na maafisa wa shirika la Southwest kupata simu hiyo na kuthibitisha chanzo (cha moto huo)," kampuni hiyo imesema kupitia taarifa.
Msemaji mmoja wa shirika la Southwest Airlines amemabia BBC: "Abiria mmoja alitufahamisha kuhusu moto uliokuwa unafuka kutoka kwa simu. Abiria wote na wahudumu wa ndege waliondolewa salama kutoka kwenye ndege."Mmiliki wa simu hiyo Brian Green, akizungumza na Jordan Golson wa shirika la The Verge, amesema alinunua simu hiyo tarehe 21 Septemba.Amesema simu hiyo ilikuwa na alama ya mraba ya rangi nyeusi kwenye pakiti yake, alama ambayo iliongezwa na Samsung kutofautisha kati ya simu zilizokuwa zimeuzwa awali ambazo zilidaiwa kutokuwa salama na simu mpya zilizokuwa zimechunguzwa.
04 October, 2016
Facebook kuzindua Messenger Lite Kenya.
Facebook imezindua aina mpya ya programu tumishi yake ya kutuma ujumbe ambayo inawalenga watu wa mataifa yanayoendelea.
Itazinduliwa katika nchi nyingine baadaye.
Messenger Lite imeundwa kutotumia sana data, jambo ambalo huwa tatizo kubwa mataifa yanayoendelea kutokana na gharama pamoja na kasi ya mtandao.
Programu hiyo ya simu za Android pia inaweza kufanya kazi kwa urahisi maeneo ambayo huduma ya mtandao si ya kutegemewa.
"Messenger Lite ukubwa wake ni chini ya 10MB, hivyo ni rahisi sana kuiweka kwenye simu na kuifungulia," taarifa ya Facebook imesema.
"Inatumia nembo inayokaribiana na ya Messenger, lakini rangi zake ni kinyume."
Wanaotumia programu hiyo ya Messenger Lite kwenye simu zao bado wataweza kutumia huduma muhimu zikiwemo uwezo wa kutuma ujumbe, picha na vihusishi vya kurasa za mtandao.
Hata hivyo, hawataweza kupiga simu za kawaida au za video kwa kutumia programu hiyo kama ilivyo kwa programu za kawaida za Messenger.
Facebook pia huwa na aina 'nyepesi' ya programu tumishi ya Facebook ambayo huitwa Free Basics na ambayo hufaa sana watu wasio na huduma ya kutegemewa ya mtandao.
Programu hiyo hupatikana katika mataifa kadha.
Afisa mkuu mtendaji wa Facebook Mark Zuckerberg mara kwa mara amekuwa akisema lengo ya kampuni yake ni kuhakikisha kila mtu duniani anaweza kutumia huduma ya mtandao.
Inakadiriwa kwamba watu bilioni moja duniani hutumia programu ya Messenger kutuma au kupokea ujumbe kila mwezi.
30 September, 2016
Samsung Galaxy A8 yazinduliwa Rasmi,
Hatimae zile tetesi ya kwamba Samsung wataachia Samsung Galaxy A8 mwezi huu zimekuwa za kweli.
Ifahamike kwamba Samsung kwa kipindi hichi cha karibuni walipata msala kupitia Note7 mara baada ya Kugundulika kwamba simu hizo zinalipuka hovyo hata kuzuiliwa Katika viwanja tofauti tofauti vya ndege ulimwenguni. Safari hii wameachia mzigo mpya huu hapa ulikanao kwa Jina la Samsung Galaxy A8. Mzigo utaanza kuingia Sokoni ifiikapo tarehe 1 mwezi ujao.
Na zifuatazo ni SPECIFICATIONS zake.
SAR value
:
NA
Touchscreen :Yes
Resolution : 1080x1920 pixels
Processor make Exynos : 7420
RAM :3GB
Internal storage :32GB
Expandable storage : Yes
Expandable storage type : microSD
Expandable storage up to (GB) : 256
Flash :Yes
Front camera : 8-megapixel
Wi-Fi standards supported : 802.11 a/ b/ g/ n/ ac
GPS :Yes
Bluetooth :Yes, v 4.20
NFC :Yes
Infrared :No
USB OTG :Yes
Headphones :3.5mm
FM :Yes
Number of SIMs :2
SIM 1
SIM Type :Nano-SIM
GSM/ CDMA :GSM
3G :Yes
4G/ LTE :Yes
SIM 2
SIM Type :Nano-SIM
GSM/ CDMA :GSM
3G :No
4G/ LTE :Yes
Proximity sensor :Yes
Accelerometer :Yes
Ambient light sensor :No
Gyroscope :No
Barometer :No
Temperature sensor :No
Ifahamike kwamba Samsung kwa kipindi hichi cha karibuni walipata msala kupitia Note7 mara baada ya Kugundulika kwamba simu hizo zinalipuka hovyo hata kuzuiliwa Katika viwanja tofauti tofauti vya ndege ulimwenguni. Safari hii wameachia mzigo mpya huu hapa ulikanao kwa Jina la Samsung Galaxy A8. Mzigo utaanza kuingia Sokoni ifiikapo tarehe 1 mwezi ujao.
Na zifuatazo ni SPECIFICATIONS zake.
| Release date: September 2016 | ||||||||||||||||||
| Form factor: Touchscreen | ||||||||||||||||||
| Dimensions (mm): 156.60 x 76.80 x 7.20 | ||||||||||||||||||
Weight (g) : 182.00 | ||||||||||||||||||
Battery capacity (mAh): 3300 | ||||||||||||||||||
Removable battery: No | ||||||||||||||||||
DISPLAY
Screen size (inches): 5.70Touchscreen :Yes
Resolution : 1080x1920 pixels
HARDWARE
Processor : 1.5GHz octa-coreProcessor make Exynos : 7420
RAM :3GB
Internal storage :32GB
Expandable storage : Yes
Expandable storage type : microSD
Expandable storage up to (GB) : 256
CAMERA
Rear camera : 16-megapixelFlash :Yes
Front camera : 8-megapixel
SOFTIWARE
Operating System Android 6.0.1CONNECTIVITY
Wi-Fi :YesWi-Fi standards supported : 802.11 a/ b/ g/ n/ ac
GPS :Yes
Bluetooth :Yes, v 4.20
NFC :Yes
Infrared :No
USB OTG :Yes
Headphones :3.5mm
FM :Yes
Number of SIMs :2
SIM 1
SIM Type :Nano-SIM
GSM/ CDMA :GSM
3G :Yes
4G/ LTE :Yes
SIM 2
SIM Type :Nano-SIM
GSM/ CDMA :GSM
3G :No
4G/ LTE :Yes
Sensors
Compass/ Magnetometer :YesProximity sensor :Yes
Accelerometer :Yes
Ambient light sensor :No
Gyroscope :No
Barometer :No
Temperature sensor :No
Lenovo Unveils New 'Hello Moto' Boot Animation; Will Come on New Moto Phones
Lenovo acquired Motorola Mobility from Google in 2014 for $2.9 billion. Since then, Lenovo has almost killed the brand's identity, retaining just the 'Moto' bit. However, the Chinese smartphone and PC manufacturer wants to run its loyal users through a nostalgia of 'Hello Moto' boot animation.
If you remember, Motorola under Google used to ship firmware that had 'Hello Moto' boot animation for Moto X smartphones. These animations were frequently updated as well. After Lenovo took possession of Motorola Mobility, however, things were expected to change. However, it's now evident that Lenovo is aware of Motorola's popularity as a brand that used to make some durable and wonderful smartphones back in time.
Therefore, Lenovo on Thursday posted a video of the 'Hello Moto' boot animation, and said it will be "the power-up on new Moto phones." The YouTube video shows the famous 'Hello Moto' signature line followed by a series of colourful patterns and images, and finally ending with a Lenovo logo.
Lenovo has not given any official word as to which Moto phones will get the boot animation, but if following tradition, it should become available on the Moto X family. The update may soon be rolled out via OTA to the users. We are also not sure if the update will reach the 2015 range of Moto phones such as Moto X Gen 2.
Do you like Lenovo's efforts to revive Motorola's resonance as a brand in the market? Let us know in the comments below.
28 September, 2016
Snapchat imezindua miwani yenye kamera
Kampuni ya Snapchat imezindua miwani ya aina yake yanayomuezesha mtu kupiga video na kuisambaza katika mtandao huo wa kijamii.
Snapchat imejiongezea sifa kwenye mitandao ya kijamii inayotumiwa kutuma ujumbe, zikiwemo picha na video ambazo hufutwa baada ya kuonekana mara moja.
Lakini kifaa hicho kipya na kampuni hiyo kubadilisha jina kutoka Snapchat na kujiita Snap, zinadhihirisha azma ya kampuni hiyo kupita kiwango cha kuwa mtanadao wa ku chati.
Katika tangazo lake la biashara, Snap inasema miwano hiyo ya kutuma video ina lensi ya ukubwa wa digri 115, iliyo na upana zaidi kuliko kamera za kwenye simu za kisasa.
Na ina uwezo wa kurekodi video kwa hadi sekundi kumi kwa mara moja.
Picha hizo zinaweza kutumwa moja kwa moja kwenye mtandao huo wa kijamii ili mtu aweze kuzisambaza kwa wafuasi wengine wa mtandao huo.
Mkurugenzi mkuu wa Snap mwenye umri wa miaka 26, Evan Spiegel, ametaja miwani hiyo kama chombo kinachomuezesha mtu kuona kumbukumbuku nzuri kama walivyoiptia kwa mara ya kwanza.
06 September, 2016
Tecno kutoa Phantom 6 Septemba hii, itathibitisha ubora wake?
Nimefuatilia kwa makini matoleo ya PHANTOM na kugundua kwamba bidhaa zao zimekuwa zikiwalenga watumiaji wa maisha ya kati. Sasa wanagusia kwamba toleo lao jipya litawalenga watumiaji wa maisha ya juu.
Swali linakuja... Je! Wataweza kuliteka soko Septemba hii? Kwa jinsi mambo yanavyoonekana, lengo hili linaweza kufikiwa au kuvukwa.
TECNO PHANTOM 6 itakuwa nit oleo jipya la TECNO lenye vitu vingi vya kuangaliwa katika teknolojia nzima ya utengenezaji wa Samrtphone
Betri inayochaji kwa haraka
Huu umekuwa ni wimbo wa taifa kwa watumiaji wa Smartphone. Sawa, kuna vitu vingi vya kufurahia lakini tatizo linakuja kwamba simu haikai na chaji sana. Inapokuja kwenye PHANTOM 6, port yake ya Type-C 2.0 USB ina uwezo wa kuchaji simu yako kutoka 0% mpaka 35% ndani ya dakika 10 tu.
Kamera ya mbele (13MP) + Kamera ya nyuma (5MP)
Sasa hapo ni mwendo wa kutwanga selfies na picha kali ukiwa na kamera
zenye uwezo wa hali ya juu mbele na nyuma. Picha hizi zenye ubora wa
kipekee zinazoongeza rangi na uhai kwenye matukio yako ya kukumbukwa
huku zikikutoa mwakemwake kama vile haujapatwa na jua.
Muundo wa chuma
Habari nilizozipata kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika ni kwamba, TECNO Phantom 6 itakuwa na ‘kava’ la chuma lilitengenezwa kwa umahiri wa hali ya juu na watu wanaoipenda kazi yao.
Umbo Jembamba
Inasemekana kuwa TECNO Phantom 6 itakuwa miongoni mwa simu nyembamba zaidi kutengenezwa duniani. Yaani utafikiri aliyekuwa anabuni muundo alikuwa kwenye ‘diet’
Bei
Ingawa TECNO Phantom 6 inategemewa kuwa ni miongoni mwa Smartphone zenye ubora wa hali ya juu, wataalamu wa mambo wanasema kwamba bei yake haitapishana na mfuko wa mwananchi.

cc TECNO TZ
01 September, 2016
Acer yazindua laptop yenye kioo kilichojipinda
Kampuni ya Acer imezindua laptopu ya
kwanza ilio na kioo kilichojipinda.Acer inasema kuwa uvumbuzi huo
utaiwezesha kucheza michezo ya video.
Televisheni kadhaa pia zimetumia uvumbuzi huo,lakini umezua mgawanyiko kwa kuwa una umuhimu na ubaya wake.Kampuni hiyo ya Taiwan pia ilitangaza kwamba imefanikiwa kupata tekenolojia ya pet katika mkutano na wanahabari mjini Berlin.
Kampuni kadhaa za kielektroniki ikiwemo Samsung,Lenovo,DJI,Sony na Huawei zinatarajiwa kuzindua sura mpya ya laptopu zake katika maonyesho ya kiteknolojia ya Ifa katika mji mkuu wa Ujerumani wiki hii.
Laptopu hiyo ina kioo kikubwa ikilinganishwa na laptopu ya kawaida ya Acer,lakini ni umbo lake ambalo liliifanya kampuni hiyo kudai kuwa ya kwanza kuzinduliwa duniani.
Facebook yawapatia wateja fursa ya kutoa tahadhari
Mtandao wa facebook umewapatia fursa wateja wake kutoa ishara ya tahadhari ya kiusalama iwapo watajipata katika hali hatari.
Kufikia sasa huduma hiyo ilikuwa inaweza kutolewa na wafanyikazi wa kampuni hiyo pekee.Huduma hiyo ya usalama inawapatia watumiaji wa mtandao huo fursa ya kutoa ujumbe kwa marafiki ama familia zao kwamba wako salama kunapotokea janga la kibinaadamu mahala walipo.
Tetemeko la ardhi la hivi majuzi nchini Itali liliadhimisha mara 25 mwaka huu kwamba lilisababishwa.
Ujumbe huo wa usalama umewafikia watu bilioni moja mwaka 2016 pekee,kampuni hiyo imesema.
Katika kipindi cha miaka 2 iliopita kwa pamoja huduma hiyo ikutumika mara 11 pekee.
Timu ya facebook inayotoa huduma hiyo hutumia vigezo vitatu kubaini kuamua iwapo huduma hiyo inapaswa kutolewa:
- Idadi ya watu walioathirika
- Athari ya janga hilo
- Na wakati wa tukio
30 August, 2016
Kampuni ya Apple kulipa kodi iliokwepa Ireland
Tume ya Ulaya inatarajiwa kuamrisha kampuni kubwa ya teknolojia ya Apple kulipa mabilioni ya dola kama kodi iliyokwepa kulipa.
Hii inafuatia uchunguzi uliofanywa kubainisha makubaliano kuhusu kodi kati ya kampuni hiyo na serikali ya Ireland. Tume ya Ulaya imewalalamikia mawaziri wa Ireland kwa kuipa Apple kandarasi inayoondoa kodi kwa makubaliano ya kutoa ajira kwa raia wa nchi hiyo.
Apple imesisitiza kwamba hakukua na muafaka maalum, na kwamba inalipa kodi kubwa nchini Marekani ambapo makao yake makuu yapo.
Kampuni ya Apple ni moja ya mashirika ya Marekani yanayolengwa na Tume ya Ulaya kutokana na mikataba yake ya kodi.
13 July, 2016
Chombo cha anga NASA Juno kimetuma picha za kwanza za sayari ya Jupiter
Moja ya hizo, iliyotolewa na NASA Jumanne inaonesha sayari hiyo ikiwa imezungukwa na miezi mitatu kati ya miezi yake minne mikubwa. Miezi inayoonekana ni Lo, Europa na Ganymede. Mwezi huo mwingine uitwao Callisto hauonekani.
Picha ya kwanza ya sayari ya Jupiter |
Picha hiyo ilipigwa Jumamosi sayari Juno ilipokuwa inazunguka sayari hiyo ikiwa umbali wa maili milioni tatu.Hata katika umbali huo, Shimo Jekundu, lililosababishwa na dhoruba kali kwenye sayari hiyo karne nyingi zilizopita, linaonekana.
Juno iliingia katika mzingo wa Jupiter wiki iliyopita na kuanza kuizunguka sayari hiyo ambalo pia hufahamika kama Zohali au Zozali.
Safari yake kutoka duniani hadi ilichukua miaka mitano.
Juno itachunguza na kupeleleza sayari hiyo kwa miezi 20, lengo kuu likiwa kusaidia wanasayansi kubaini asili ya sayari hiyo ambayo wanaamini inaweza kuwasaidia kuelewa zaidi asili ya mfumo wa jua.
Chombo hicho cha juu kilipokuwa kinaikaribia Jupiter, kamera zake na mitambo mingine muhimu vilizimwa kuzuia visiharibiwe na miali nururishi. Baadaye, vilifunguliwa.
Wanasayansi wanatarajia picha za karibu zaidi za Jupiter zitapokelewa mwezi ujao.
- Jupiter ina ukubwa mara 11 kuzidi Dunia na uzito wake ni mara 300 zaidi
- Sayari hiyo hutumia miaka 12 ya dunia kulizunguka jua; siku moja huko hudumu saa 10.
- Muundo wake ni kama wa nyota , sana haidrojeni na helium.
- Nasa inapanga kuitumia Juno hadi Februari 2018.
11 July, 2016
Hizi ndizo kazi ambazo muda sii mrefu zitachukuliwa na Teknolojia.
Katika ulimwengu wa leo swala la teknolojia limekuwa likonekana kukua kwa kasi kubwa mno kiasi kwamba kila unapojigusa ama unachogusa ndani yake kuna zao la teknology. Tumeona mengi yatokanayo na teknology mfano mzuri ni kurahisishwa kwa njia za mawasiliano, usafiri nk
Kutokana na hilo, kazi nyingi zimezidi kuchukuliwa na teknolojia, kazi ambayo ilikua ikifanywa na watu watano basi kazi hiyo itafanywa na mtu mmoja tu!. na hizi ndizo kazi ambazo ziko hatarini kumezwa na technology.
1.Personal Assistants and Secretaries Hivi kuna haja ya kuliongelea hili?
laaa hasha! we kama huku tafadhali jiongeze maana muda sii mrefu utakosa kibarua aisee.
2.Cashiers
Kama ulikua umezoea kwenda super-market ama mgahawani na kumtafuta mhudumua kwa ajili ya kulipia manunuzi yako, iko siku hutoweza kuwaona watu hao na badala yake utakutana na mitambo maalumu kwa ajili ya kazi hiyo ambapo utalazimika kuweka bidhaa hizo katika mitambo hiyo kisha ukalipia na kupewa risi na kuondoka nyumbani.
3.Computer Operators.
IT imekuwa kubwa mno na nyanja hii tunaitazamia kuleta mapinduzi makubwa mno katika duru mbali mbali mfano Biashara, Afya nk, lakini kwa upande wa pili inaweza ikapia kazi za watu wengine ambao wako katika nyanja hiyo hiyo ya IT hapa namaanisha Computer operators. Itafika pahala kama wewe ni Computer operator hutopigiwa simu kwamba uje urekebishe computer zetu ama uje utusaidie tatizo la computer zetu ama kazi katika computer yetu, Mwenye tatizo ataingia GOOGLE na YOUTUBE kisha ataangalia tutorials kazi imekwisha.
4.Data Entry Clerks
Katika biashara, shughuli kampuni mbali mbali na katika uandishi(hasa magazetini na medias kwa jumla), Kutunza kumbukumbu na takwimu ni jambo la Muhimu na lakwaida mno. Wapo watu maalumu kwa ajili ya kazi hiyo ila kutokana na kurahisishwa kwa Technology, watu hao wataanza kukosa kazi hizo maana iko mifumo ambayo imetengenezwa teyari kwa ajili ya kazi hiyo ambayo inafanya kazi hiyo kwa haraka na kwa ufanisi zaidi(automated data entry systems). Kama wewe ni miongoni mwa watu walioko katika kazi hizi tafadhali jiongengeze.
5.Call Receptionists
Automated services are fast replacing humans at companies both large and
small – so much so that getting a real live person on the line when you
place a call to a company can come as something of a shock. This trend
shows no sign of slowing down, so if you’re one of these, get on a job
search.
HIZO NI BAADHI TUU YA KAZI AMBAZO MUDA MFUPI UJAO ZITAMEZWA NA TECHNOLOGY, HIVYO BASI HUNA BUDI KUKUBALINA NA HALI HII NA KUANZA KUKIMBIZANA NA TECHNOLOGY.
Kutokana na hilo, kazi nyingi zimezidi kuchukuliwa na teknolojia, kazi ambayo ilikua ikifanywa na watu watano basi kazi hiyo itafanywa na mtu mmoja tu!. na hizi ndizo kazi ambazo ziko hatarini kumezwa na technology.
1.Personal Assistants and Secretaries Hivi kuna haja ya kuliongelea hili?
laaa hasha! we kama huku tafadhali jiongeze maana muda sii mrefu utakosa kibarua aisee.
2.Cashiers
Kama ulikua umezoea kwenda super-market ama mgahawani na kumtafuta mhudumua kwa ajili ya kulipia manunuzi yako, iko siku hutoweza kuwaona watu hao na badala yake utakutana na mitambo maalumu kwa ajili ya kazi hiyo ambapo utalazimika kuweka bidhaa hizo katika mitambo hiyo kisha ukalipia na kupewa risi na kuondoka nyumbani.3.Computer Operators.
IT imekuwa kubwa mno na nyanja hii tunaitazamia kuleta mapinduzi makubwa mno katika duru mbali mbali mfano Biashara, Afya nk, lakini kwa upande wa pili inaweza ikapia kazi za watu wengine ambao wako katika nyanja hiyo hiyo ya IT hapa namaanisha Computer operators. Itafika pahala kama wewe ni Computer operator hutopigiwa simu kwamba uje urekebishe computer zetu ama uje utusaidie tatizo la computer zetu ama kazi katika computer yetu, Mwenye tatizo ataingia GOOGLE na YOUTUBE kisha ataangalia tutorials kazi imekwisha.4.Data Entry Clerks
Katika biashara, shughuli kampuni mbali mbali na katika uandishi(hasa magazetini na medias kwa jumla), Kutunza kumbukumbu na takwimu ni jambo la Muhimu na lakwaida mno. Wapo watu maalumu kwa ajili ya kazi hiyo ila kutokana na kurahisishwa kwa Technology, watu hao wataanza kukosa kazi hizo maana iko mifumo ambayo imetengenezwa teyari kwa ajili ya kazi hiyo ambayo inafanya kazi hiyo kwa haraka na kwa ufanisi zaidi(automated data entry systems). Kama wewe ni miongoni mwa watu walioko katika kazi hizi tafadhali jiongengeze.5.Call Receptionists
Automated services are fast replacing humans at companies both large and
small – so much so that getting a real live person on the line when you
place a call to a company can come as something of a shock. This trend
shows no sign of slowing down, so if you’re one of these, get on a job
search.HIZO NI BAADHI TUU YA KAZI AMBAZO MUDA MFUPI UJAO ZITAMEZWA NA TECHNOLOGY, HIVYO BASI HUNA BUDI KUKUBALINA NA HALI HII NA KUANZA KUKIMBIZANA NA TECHNOLOGY.
13 June, 2016
Mambo 6 yatakayo ifanya Tecno C9 kuwa yakipekee kuliko smartphone nyingine
Kampuni ya Utengenezaji wa simu aina ya Tecno wamepanga kutoa toleo lingine la smartphone iliyo pewa jina la Tecno C9. Kampuni hii imetengeneza simu hiyo yenye uwezo mkubwa ambao utafanya mapinduzi katika soko la smartphones barani Africa.
Yafuatayo ni mambo 6 yatakayo ifanya Tecno C9 kuwa yakipekee kuliko smartphone nyingine na kuleta mapinduzi....
1. Security(ulinzi).
Kama tunavyo fahamu kwamba kuna njia nyingi za ku-lock simu zetu mfano, kuweka Pattern, PIN, voice locks, signature lock, finger print njia ambazo zimeonekana za kawaida sana. Ila safari hii Tecno C9 itakuja na teknologia tofauti kabisa, njia ambayo itazidi kuifanya simu yako kuwa safe muda wote, Teknolojia hii inajulikana kama Eyeball unlock... yaani utatumia mboni zako kama security ya simu yako.
2. T-Band bracelet
Tecno C9 itakuja na bangili (T-Band bracelet) ambayo itakayo weza ku-control canera ya simu yako ukiwa katika umbali wa mita 10. Ukiwa na hii huna haja ya kukosa kutwanga Photo....The T-Band also has a pedometer that counts each step you make. It has a sleep monitor, sedentary and call reminder as well (Maajabu haya).
T-Bracelet itakusaidia kutafuta simu yako pale ambapo utakuwa umesahau ulipo iweka simu yako. Yaan utabonyeza Main Botton iliyoko kwenye Bracelet kwa muda wa sekunde tatu na simu yako ita-Vibrate na kuita kokote kule iliko.
3. Selfie width
Hakuna tena haja ya kujikusanya kwa karibu ili muweze kuenea katika selfie. Tecno C9 inakunja na 83° wide angle front camera lens ambayo itakupa nafasi ya Kupiga zile seflie zenye Ukubwa. With Tecno C9, you can as well switch to the 120° Panorama Selfie mode to enhance the angle even wider.
4. The straight selfies
Tofauti na smartphone nyingine maarufu ulimwenguni kama Vile iPhone 6, , Samsung S6 Edge na simu nyingine zenye front Camera inayo kaa kwa pembeni(Mbele), Tecno C9 inakuja na front Camera iliyowekwa kati kati.(Tizama picha hiyo hapo juu). Hivyo kwa tafsiri hiyo ni kwamba utaweza kupiga selfie ya sraight. With the front camera located on the right or left of the screen, it is
usually next to impossible to take a selfie looking straight. The
subjects always appear as if they are looking away.
5. Night mode.
Tecno C9’s rear camera has a higher light intake ratio in low light conditions compared to iPhone 6 Plus. This makes Tecno C9’s images are 15% brighter.
In addition to the F/2.0 super diaphragm, Tecno Camon C9 also has Visidon Algorithm Brightness that produces 50% brighter images than average. Its Visidon Algorithm Noise Deduction clears up to 75% of the ‘noise’ in the dark leaving you with a very clear photo.

6.Bei nafuu.
iPhone 6 itakugharimu zaidi ya Tsh 1,400,000, Samsung S6 Edge nayo utaipata kwa bei hiyo hiyo, lakini Tecno C9 itakugharimu Tsh 440340(Dollar 200). Hivyo utaona ni kwa jinsi gani Tecno wamedhamiria kuboresha na kurahisisha maisha ya wengu barani Africa.
Yafuatayo ni mambo 6 yatakayo ifanya Tecno C9 kuwa yakipekee kuliko smartphone nyingine na kuleta mapinduzi....
1. Security(ulinzi).
Kama tunavyo fahamu kwamba kuna njia nyingi za ku-lock simu zetu mfano, kuweka Pattern, PIN, voice locks, signature lock, finger print njia ambazo zimeonekana za kawaida sana. Ila safari hii Tecno C9 itakuja na teknologia tofauti kabisa, njia ambayo itazidi kuifanya simu yako kuwa safe muda wote, Teknolojia hii inajulikana kama Eyeball unlock... yaani utatumia mboni zako kama security ya simu yako. “C9 is equipped with the latest eyeball recognition technology. It has been tested thousands of times without a recognition error,” Mtu mmoja kutoka Tecno alisema.Utatumia Mboni zako ku-unlock simu yako wakati ukiwa macho na hakuna mtu yeyote atakaye weza kuingia katika simu yako pindi ukiwa umelala ama ukiwa mbali na simu yako.
2. T-Band bracelet
Tecno C9 itakuja na bangili (T-Band bracelet) ambayo itakayo weza ku-control canera ya simu yako ukiwa katika umbali wa mita 10. Ukiwa na hii huna haja ya kukosa kutwanga Photo....The T-Band also has a pedometer that counts each step you make. It has a sleep monitor, sedentary and call reminder as well (Maajabu haya).
T-Bracelet itakusaidia kutafuta simu yako pale ambapo utakuwa umesahau ulipo iweka simu yako. Yaan utabonyeza Main Botton iliyoko kwenye Bracelet kwa muda wa sekunde tatu na simu yako ita-Vibrate na kuita kokote kule iliko.
3. Selfie width
Hakuna tena haja ya kujikusanya kwa karibu ili muweze kuenea katika selfie. Tecno C9 inakunja na 83° wide angle front camera lens ambayo itakupa nafasi ya Kupiga zile seflie zenye Ukubwa. With Tecno C9, you can as well switch to the 120° Panorama Selfie mode to enhance the angle even wider.4. The straight selfies
Tofauti na smartphone nyingine maarufu ulimwenguni kama Vile iPhone 6, , Samsung S6 Edge na simu nyingine zenye front Camera inayo kaa kwa pembeni(Mbele), Tecno C9 inakuja na front Camera iliyowekwa kati kati.(Tizama picha hiyo hapo juu). Hivyo kwa tafsiri hiyo ni kwamba utaweza kupiga selfie ya sraight. With the front camera located on the right or left of the screen, it is
usually next to impossible to take a selfie looking straight. The
subjects always appear as if they are looking away.5. Night mode.
Tecno C9’s rear camera has a higher light intake ratio in low light conditions compared to iPhone 6 Plus. This makes Tecno C9’s images are 15% brighter.
In addition to the F/2.0 super diaphragm, Tecno Camon C9 also has Visidon Algorithm Brightness that produces 50% brighter images than average. Its Visidon Algorithm Noise Deduction clears up to 75% of the ‘noise’ in the dark leaving you with a very clear photo.

6.Bei nafuu.
iPhone 6 itakugharimu zaidi ya Tsh 1,400,000, Samsung S6 Edge nayo utaipata kwa bei hiyo hiyo, lakini Tecno C9 itakugharimu Tsh 440340(Dollar 200). Hivyo utaona ni kwa jinsi gani Tecno wamedhamiria kuboresha na kurahisisha maisha ya wengu barani Africa.
06 June, 2016
Page za Mark Zuckerberg zimedukuliwa(Hacked)
Hapa ndipo pale ninapo amini kweli mganga hajigangi. Mark Zuckerberg mwanzilishi wa Facebook hapo jana aliiionja joto ya jiwe baada ya Kurasa zake za Mtandao wa LinkedIn, Twitter pamoja na Pinterest kudukuliwa(Hacked) kwa muda wa siku ya juma pili.
Kundi moja la Hackers linalo julikana kwa jina la Ourmine limedai kuzidakua akaunt hizo za Mark. Kundi hilo liliandika ujumbe katika ukurasa wao wa twitter likimtaka Mark awafuate(awasiliane nao).
Hey @finkd we got access to your Twitter & Instagram& Pinterest, we are just testing your security, please dm us"![]()
Akount hizo zilirudishwa tena mikononi mwa Mark baada ya kazi nzito ilofanywa na wataalamu wa usalama wa mitandao kumudu kuzidhibiti saa chache baadaye. Ifahamike kwamba tangu mwaka 2012 Mark haja posti kitu chochote katika kurasa hizo.
Kutokana na mfumo imara wa mtandao wa Instagram, uliwafanya Hackers hao kushindwa kudakua ukurasa wa Mark.Wandani wa maswala ya usalama wa mitandao ya Intaneti wanadai kuwa huenda udukuzi wa mwaka wa 2012 wa ukurasa wake wa LinkedIn ndio uliochangia tukio hilo la jana.
MY TAKE! Kuweni makini na mitandao hii ya kijamii maana usalama wa mitandao hii siyo wa kuamini moja kwa moja.
03 May, 2016
Laptop 5 Ghali kuliko lap-top zote ulimwenguni.
Tumekuwa tukiona vitu vya thamani kuliko vyote ulimwenguni mfano Magari, Nyumba na hata Ndege lakini ni vigumu kwa wewe kuamini kua unaweza kununua Kitu kidogo kama Laptop ama hata simu ya mkononi kwa bei ambayo ni sawa na Bajeti ya nchi fulani (ha ha haa mambo mengine bhana!). Kama tunavyo jua katika Ulimwengu wa leo Technology imekua ndio kila kitu katika masha yetu...
Kinapo tajwa kifaa "COMPUTER" basi unakua unazungumzia uhalisia wa neno Technology, haijalishi ni Desk-top ama Laptop lakini picha kamili ya neno techology ina patikana hapo.
Tumezoe kuona laptop kutoka katika kampuni ya Apple zikiwa zinauzwa kwa bei ghali sehemu yeyote ulimwenguni lakini kumbe kuna laptop ghali zaidi kuliko Apple na laptop hizo ni kama ifuatavyo:-
1. Luvaglio One Million Dollar Laptop: $1,000,000

Well, here it is,, Bila shaka wala pingamizi lolote hii ndio laptop ghali kuliko zote ulimwenguni.. Kampuni ya Luvaglio imekua ikifanya kazi na wataalamu wenye haiba ya hali ya juu mno katika teknolojia ili kutengeneza vitu adimu kama hivi. Bei ya hii laptop ndio Top ulimwenguni.. ukitaka kuinunua hii kitu lazima uwe una mzigo wa maana Bank. Kampuni hii huwa inakupa muda waku-oder online. . unapewa chance yakuchagua Materials utakazo zitumike kuitengeneza laptop hizo ikiwa material hizo ni kama vile Dhahabu, Almasi na madini mengine utakayo taka Oder yako iwe nazo. Lap-top hii haiuzwi kirahisi kama unavyo dhani maana kabla yaku-inunua ni lazima kampuni hiyo ikuchunguze utajiri ulio nao kwanza ndio ikubali ombi lako.
Beauty is, this laptop neither has the uniqueness in technology nor in its spec. I can hear your question now. What the hell make it so expensive? The thing is that “You won’t have any buttons here”. You will only see genuine diamond pieces in place of every key. So this diamond encrust and bare hand manufacturing are certain things that make it to stand out from the rest
2. Tulip E-Go Diamond: $350,000
Tulip E-Go Diamond Notebook ni laptop nyingine inayo fuatia kwa kuuzwa ghali ulimwenguni na kwa kua ni ghali basi matajiri tuu ndio watakua na uwezo wa kuimiliki. Labda ni kwa nn laptop hii inauzwa ghali kuliko? well ni kwamba laptop hii imetengenezwa kwa madini ya Almasi , Dhahabu na madini ya chuma, Hivyo Utaona laptop hii ni ya Ufahari kiasi gani.his laptop is equipped with a 12-antiglare display screen, 160 GB of Hard disk, 2 GB of RAM, DVD burner, Integrated Webcam and Bluetooth 2.0. This notebook is famous for its design instead of its configuration. White gold & diamonds are used to design this notebook.
Unaona mwenyewe ni namna ghani hii kitu ni kwa ajili ya matajiri tuu( ha ha haa hivi kwa nini masikini tuna nyanyasika hivi lakini?)
3. MacBook Pro 24Karat Gold: $30,000

Ni wazi kwamba bidhaa za kampuni ya Apple ni ghali mno kiasi kwamba bidhaa zao huonekana ni bidhaa za anasa. Hii ndio bidhaa ghali kuwahi kutolewa na Apple kwa muda wote. Ni mwendo wa dhahabu tuu hapa. Ukubwa wake ni 256GB SSD, Custom matte screen and 8 GB RAM. Haya wale wa anasa za ulimwengu hii inakuhusu pia ila kumbuka bro wako hapa nalala na njaa!
No 3 : Ego for Bentley $20,000

This laptop is produced by the super luxury car brand Bentley. Ego for Bentley is integrated with twelve fanatical direct access keys to support Webcam, Wi-Fi, Bluetooth, Media Centre and other applications. This luxurious product is well known for its amazing display, storage capacity and high performance.
5. VoodooEnvy 171: $6,500

VoodooEnvy H171 nayo hajakosekana kwenye list yangu... laptop hii ina ukubwa wa 17 inch screen na Camera ya 1.3 mpx 4 GB RAM na hard-disk yake ni dual.this laptop has a pretty look and it comes in more than 24 different designs.
Haya umejionea wewe mwenyewe ni kwa namna gani Mambo yalivyo.. Vipi kuna hata moja una weza kutungua? mmmh utaua Uchumi wa nchi.
PITIA NA HIZI PIA!
>> Mambo 8 unayopaswa kufahamu juu ya Ujio mpya wa iPhone 7
>> Viashiria 6 ni kwa nini unatakiwa kubadili Maisha yako Leo
>> Huyu ndiye Gerald Levert
>> Mfahamu Steve Jobs mwanzilishi wa kampuni ya Apple

Subscribe to:
Posts (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
Mpenzi msomaji wa safu hii ni siku nyingine tunakutana katika kujuzana,kukumbushana, na kuelimishana mila na desturi za makabila mbalimbal...
-
This is a song sang by a very gifted woman Adele, I sang it to show world that everyone appreciate and love to enjoy good music! Asa...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...