16 June, 2016

TBT: Ngoma 5 kali za Bongo flava ya Kitambo.

Leo nmekuletea ngoma tano kali zilizo wahi kuziteka nyoyo za mashabiki, yaani za kale Dhahabu. Ngoma hizo ni Kutoka kiumeni, Kutoka kwa Prof.J, Mangwir, Mb Dogy.  Enjoy

Music: Belle 9, Izzo, Byser, GNako, Jux & MauaSama – Burger Movie Selfie RMX

 Burger Movie Selfie RMX ni moja kati ya Remix ambayo mwenyewe Belle9 alisema ni Rmx yake ya kuanza kufanya tangu aanze shughuli za Muziki hivyo ni historia katika safari ya Muziki. Nani ya  Burger Movie Selfie RMX kuna wakali kama vile  Izzo, Byser, GNako, Jux pamoja na mwanadada anayefanya poa katika Game- MauaSama.

Sikiliza ngoma hiyo.

Watu 6 unao takiwa kuwa nao kaitika mapenzi kabla Hujafa.

Maisha yanabadilika kila Kukicha, tamaduni nazo zinabadilika, muda unakwenda na Umri unazidi kusogea. Itafika pahala utapaswa kuwa na Mpenzi ama mtu ambaye ulitamani kuwa nae maishani (Man/woman of your Dream), hivyo basi huna budi kutambua/kufahamu watu unaotakiwa kuwa nao kabla kifo na Mauti kukupata.

1.Mtu kutoka nje ya Kabala/nchi au Bara lako.


 Susan Peters and Dutch husband Dr. Croon. Wazazi wako wanaweza kukukataza kuoa ama kuolewa na mtu ambaye ni kutoka nje ya kabila lako, lakini wakati mwingine hupaswi kuwasikiliza. Kutoka kimapenzi(Kuoa/Kuolewa) na mtu ambaye ni wa kutoka nje ya kabila/nchi ama bara lako, ni njia moja wapo ya kujifunza maisha na tamaduni tofauti tofauti(Ni jambo jema). Utawafundisha watu Lugha yako na utamaduni wa kwenu na wao pia watakufundisha Tamaduni zao. Wakati mwingine wote wawili mtajikuta macho kwa macho mkitazama/kujifunza jambo fulani. Mtapata watoto na watakua na Tamaduni mbili tofauti(Inapendeza si ndiyo?). Jambo hili linategemea Drama kutoka ktika familia za wazazi wenu lakini mkisimama kidete mtapata kile mlicho kidhamiria. 

2. Mtu ambaye siyo mzuri machoni pa wengine lakini Mzuri kwako peke yako.

Engagment photos of Ghanaian couple that went viral Hii inahusisha namba kubwa ya watu. Mfano mtu ambaye ana-share hobby na wewe, mtu ambaye ni mzuri, mtu ambaye kuna muda unafika mnagombana pasipo na sababu maalumu n.k. Mtakuwa mnapenda kuonyesha ulimwengu Furaha yenu yakini Miguno na minong'ono kutoka kwa rafiki zenu vitawaonyesha kwamba HAWAPENDEZWI NA NYIE ila mnapendezana wenyewe. Ni sawa tuu haina shida na hii isikunyime chance ya kuwa na Mwanaume/mwanamke unayemtaka.

3.Mtu ambaye atakufanya uishi kama Mfalme au malkia.prince-william-kate-middleton-prince-george 

Pia mtajulikana kama Mr/Mrs Nice Guy. Inawezekana kumuweka mtu huyu katika ukanda wa marafiki zako lakini unapaswa kuwa na imani katika hili. Sure, they may not be what you’re looking for physically or something but look beyond their looks. They will always try and please you and meet you half way and pamper you all through. All they ask for is your love and affection in return. Plus, you can always grow to love them so don’t close your mind to it. Anyone who treats you like you’re the best person on earth is what you deserve so enjoy them! Don’t take them for granted however, if you find you can never love them, let them go. Don’t be selfish.

4.Mtu ambaye Husamehe Mapema.

 Cake-Tufacend-Annie1 Hakuna Kitu kinacho haaribu Mahusiano kama Migogoro isiyopata Ufumbuzi. Endapo utafanikiwa kukutana na mtu ambaye husamehe kwa wepesi na kuacha mambo yapite, wewe mchukue mtu huyu maana atakufaa. Ni vigumu kwa mtu kusamehe na kusahau matatizo moja kwa moja lakini ukikutana na mtu ambaye huachaga mambo yapite na kutizame mbele, hakika utafika nae mbali. Hakuna haja ya kuvunga wewe sema nae akikubali chukua kiroho safi( ha ha haaa).

5.Mtu ambaye haamini katika kudanganya ndani ya Mapenzi(Mulika mwizi).

Tunde and Wunmi Obe. Credit: Tundeandwunmiobe.com Nafahamu ya kwamba wengi tunaamini mapenzi bila uongo hayaendi, ni kweli ila kuna ule wizi uliozidi ambao hata wewe mwenyewe ukiona uanatamani hata kujipiga hapo chini ufe tuu maana moyo wako utajawa na ghadhabu mithili ya simba aliye jeruhiwa porini kwa mshale wa mwindaji haramu, hivyo basi utatamani kumpata mchumba ambaye hana tabia za kitoto( mwongo mwongo). Endapo utampata mtu huyu, wewe chukua maana mtadumu kama ulimwengu(Dunia).

6.Mtu ambaye ana amini katika mabadiliko siku zote.

Aisha Buhari has warned those accusing her of trading in forex Mmoja kati ya wauaji wa Mapenzi ni jambo "I can Never Change". Watu wanaopenda kusema  hivyo siku zote hatokaa ambadilike. Likini ukikutana na mtu ambaye hupenda kubadilika na kushikamana na wewe kama utakavyo, Tafadhali shikamana na Mtu huyu kwa mikono yako miwili wa usimwache akapita maana ukimwachilia utakua umepoteza LULU.

You may be excited and in love and want to show them off but people’s reactions will let you know it’s only you who sees beauty in them.
Read more: https://www.naij.com/858798-six-people-date-die-photos.html

Picha za 2Pac,J. Cole na Missy Elliott Kuonekana katika Chupa za Sprite

Sprite Cans Katika Muendelezo wa Kampeni yao iliyopewa jina la “Obey Your Verse” , kampuni ya Utengengenezaji wa vinywaji baridi aina ya Sprite itatumia picha pamoja na Mistari kadhaa kutoka katika ngoma za wakali hao, hapa namaanisha Legend 2pac na Missy  pamoja na J. Cole.
“From the moment Sprite tapped into hip-hop culture 30 years ago with our ad featuring Kurtis Blow, the brand has strived to celebrate self-expression and provide artists with platforms to tell their most moving stories,” mmoja wa madirector kutoka Sprite alisema.
 2Pac_Bus_Stop_Out_of_HomeJCole_Bus_Stop_Out_of_HomeSprite_OYV_Lyrical_Collection_12oz_can2Sprite_OYV_Lyrical_Collection_12oz_can3Sprite_OYV_Lyrical_Collection_12oz_can5

13 June, 2016

Music:Yamoto Band Ft. Ruby – Suu

 
Yamoto Band wakishikirikiana na Mwanadada mwenye sauti nyororo Hit maker wa "Na Yule" wanatuletea ngoma mpya kabisa inayokwenda kwa Jina la Suu. Ngoma imefanyia production na Producer anye julikana kwa jina ka Producer Shirko.

Mambo 6 yatakayo ifanya Tecno C9 kuwa yakipekee kuliko smartphone nyingine

Kampuni ya Utengenezaji wa simu aina ya Tecno wamepanga kutoa toleo lingine la smartphone iliyo pewa jina la Tecno C9. Kampuni hii imetengeneza simu hiyo yenye uwezo mkubwa ambao utafanya mapinduzi katika soko la smartphones barani Africa.

 Yafuatayo ni mambo 6 yatakayo ifanya Tecno C9 kuwa yakipekee kuliko smartphone nyingine na kuleta mapinduzi....

1. Security(ulinzi).
 6 things that make Tecno C9 beat all other high-end phones  Kama tunavyo fahamu kwamba kuna njia nyingi za ku-lock simu zetu mfano, kuweka Pattern, PIN, voice locks, signature lock, finger print njia ambazo  zimeonekana za kawaida sana. Ila safari hii Tecno C9 itakuja na teknologia tofauti kabisa, njia ambayo itazidi kuifanya simu yako kuwa safe muda wote, Teknolojia hii inajulikana kama Eyeball unlock... yaani utatumia mboni zako kama security ya simu yako. 
“C9 is equipped with the latest eyeball recognition technology. It has been tested thousands of times without a recognition error,” Mtu mmoja kutoka Tecno alisema.
 Utatumia Mboni zako ku-unlock  simu yako wakati ukiwa macho na hakuna mtu yeyote atakaye weza kuingia katika simu yako pindi ukiwa umelala ama ukiwa mbali na simu yako.

2. T-Band bracelet6 things that make Tecno C9 beat all other high-end phones 
 Tecno C9 itakuja na bangili (T-Band bracelet) ambayo itakayo weza ku-control canera ya simu yako ukiwa katika umbali wa mita 10. Ukiwa na hii huna haja ya kukosa kutwanga Photo....The T-Band also has a pedometer that counts each step you make. It has a sleep monitor, sedentary and call reminder as well (Maajabu haya).

6 things that make Tecno C9 beat all other high-end phones  
T-Bracelet itakusaidia kutafuta simu yako pale ambapo utakuwa umesahau ulipo iweka simu yako. Yaan utabonyeza Main Botton iliyoko kwenye Bracelet kwa muda wa sekunde tatu na simu yako ita-Vibrate na kuita kokote kule iliko.

3. Selfie width6 things that make Tecno C9 beat all other high-end phones Hakuna tena haja ya kujikusanya kwa karibu ili muweze kuenea katika selfie. Tecno C9 inakunja na 83° wide angle front camera lens ambayo itakupa nafasi ya Kupiga zile seflie zenye Ukubwa. With Tecno C9, you can as well switch to the 120° Panorama Selfie mode to enhance the angle even wider.

4. The straight selfies
 6 things that make Tecno C9 beat all other high-end phones Tofauti na smartphone nyingine maarufu ulimwenguni kama Vile iPhone 6, , Samsung S6 Edge na simu nyingine zenye front Camera inayo kaa kwa pembeni(Mbele), Tecno C9 inakuja na front Camera iliyowekwa kati kati.(Tizama picha hiyo hapo juu). Hivyo kwa tafsiri hiyo ni kwamba utaweza kupiga selfie ya sraight. With the front camera located on the right or left of the screen, it is usually next to impossible to take a selfie looking straight. The subjects always appear as if they are looking away.

5. Night mode.
Tecno C9’s rear camera has a higher light intake ratio in low light conditions compared to iPhone 6 Plus. This makes Tecno C9’s images are 15% brighter.
In addition to the F/2.0 super diaphragm, Tecno Camon C9 also has Visidon Algorithm Brightness that produces 50% brighter images than average. Its Visidon Algorithm Noise Deduction clears up to 75% of the ‘noise’ in the dark leaving you with a very clear photo.
 6 things that make Tecno C9 beat all other high-end phones

6.Bei nafuu.
iPhone 6  itakugharimu zaidi ya Tsh 1,400,000, Samsung S6 Edge nayo utaipata kwa bei hiyo hiyo, lakini Tecno C9 itakugharimu Tsh 440340(Dollar 200). Hivyo utaona ni kwa jinsi gani Tecno wamedhamiria kuboresha na kurahisisha  maisha ya wengu barani Africa.

12 June, 2016

Music: Peter Msechu ft Banana Zoro ‘Mama’

 
Ni ngoma Nyingine kutoka kwa msanii Peter Msechu ambae anazsidi kufanya poa katika game la Bongo Flava tangu akiwa BSS mpaka leo hii. Katika ngoma Hii yupo Mkongwe Banana Zoro na kwa pamoja wanatuletea ngoma inayokwenda kwa jina la Mama.

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...