22 July, 2016

Week-End Movie: Star Trek Beyond

click for larger (if applicable)
The U.S.S. Enterprise crew explores the furthest reaches of uncharted space, where they encounter a mysterious new enemy who puts them and everything the Federation stands for to the test. The the third installment in Paramount’s rebooted Star Trek franchise with Chris Pine and Zachary Quinto in the lead roles. 

Music: Gucci Mane - pussy print feat kanye west

gucci mane/kanye west artwork
Since his release back in May, Gucci Mane has been hard at work re-claiming his spot as “Trap Lord” once again.
The Atlanta native is set to release is new album “Everybody Looking” tomorrow, and right before it’s drop, gives fans a preview of the Kanye West-asissted cut “P*ssy Print.”
Production handled by Mike WiLL Made-It.
Check it out below, “Everybody Looking” available everywhere.

Taifa stars kuikabili Super Eagles.Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa Julai 26, 2016 anatarajia kutangaza kikosi kwa ajili ya kambi ya awali ya wiki moja ikiwa ni maandalizi ya kucheza na Nigeria katika mchezo wa kukamilisha ratiba ya kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).

Mkwasa amesema lengo la kambi hiyo itakayoanza Agosti mosi, 2016 ni kuwaweka sawa kisaikolojia wachezaji kabla ya kuita kambi nyingine rasmi wiki ya mwisho ya Agosti kujindaa na mchezo dhidi ya Super Eagles ya Nigeria unaotarajiwa kuchezwa Lagos Septemba 2, mwaka huu.
Taifa Stars ilipangwa kundi G kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ambazo zitafanyika Gabon, mwaka 2017. Timu nyingine katika kundi hilo ni Nigeria, Chad na Misri ambayo tayari imefuzu baada ya kukusanya pointi 10, Nigeria ina pointi mbili.

Taifa Stars mpaka sasa ina pointi moja wakati Chad ikijiitoa katikati ya mashindano na kukatisha ndoto za Tanzania kucheza fainali hizo.

Video: Edu Boy ft Barnaba – Nimejifunza

Rapper zao la serengeti Super Nyota 2013 Edu Boy ameachia video ya wimbo ‘Nimejifunza’ aliyomshirikisha Barnaba. Audio imeandaliwa na producer Silca na video imeongozwa na Msafiri wa Kwetu Studio.

21 July, 2016

Pics: Asa Performs With Legend, Angelique Kidjo At Montreux Jazz Festival 2016

Asa Performs With Legend, Angelique Kidjo At Montreux Jazz Festival 2016  
At this year’s Montreux Festival, Africa was projected to the world bngstress, Asa.  The international act along with multiple Grammy award winner, Angelique Kidjo gave an outstanding performance at the annual event held in Switzerland.

The sell-out concert also witnessed great performances from other Africa stars like Lura, Dobet Ghahore and the trio Teriba.
 

Man City wachapwa na Bayern Munich 1-0

United

Manchester City, wakicheza mechi yao ya kwanza ya kujiandaa kwa msimu mpya chini ya meneja mpya Pep Guardiola, wamechapwa bao moja kwa bila na klabu ya zamani ya meneja huyo Bayern Munich.
City walifungwa bao moja na Erdal Ozturk wa Bayern, ambao kwa sasa mkufunzi wao ni Carlo Ancelotti.
Wachezaji wengi nyota hawakucheza mechi hiyo kwani bado wanapumzika baada ya kushiriki Euro 2016 na Copa America.

Guardiola alichezesha wachezaji 12 wa timu ya vijana, mechi hiyo iliyochezewa Allianz Arena.
Mlinda lango wao alikuwa Angus Gunn, mwanawe mchezaji nyota wa zamani wa Norwich Bryan.
City sasa wataelekea Uchina ambapo watacheza dhidi ya Manchester United siku ya Jumatatu.
Watasafiri na Sergio Aguero, David Silva, Nolito, Raheem Sterling na Joe Hart.

Music: Dyna Nyange Ft Billnass- Komela

 
Ni yule yule aliye imba Nivute kwako na Hit nyingi kibao, Mwana dada Dyna nyange safari hii katuletea ngoma yake mpya iitwayo KOMELA akiwa amempa shavu rapper anaye fanya vizuri katika game kwa sasa Billnass. Ngoma imafanyika chini ya producer Mr T Touch.

Unaweza ukabonyeza hap chini kuupakua wimbo  huo mpya

Watanzania 7 waliotajwa kuwania tuzo za AFRIMMA 2016

 
AFRIMMA ni tuzo zitolewazo kwa wasanii walio fanya vizuri barani Africa na kwa mwaka huu tuzo hizi zimepangwa kutolewa Tarehe 15 October 2016 huko Dallas Texas Marekani. 

Wanaowania tuzo za 2016 tayari wametajwa ambapo miongoni mwao, Watanzania wanaowania ni Dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo, Diamond Platnumz mwenyewe, Alikiba, Yamoto Band, Vanessa Mdee, Linah na Producer Tudd Thomas kama inavyoonekana kwenye hii list hapa chini.
a1
5
3
8B
9
9B
10
4
Japokua hapa wameandika Sauti Sol wamemshirikisha Alikiba, kitu sahihi ni kwamba wimbo huu ni wao wote na sio Alikiba kushirikishwa, huo wimbo wa pili wa Akothee ndio Diamond kashirikishwa.
16
15
13
12
11
8
7
6
1
2 Rai yangu kwako wewe shabiki wa Bongo flava tafadhali tuwe kitu kimoja(Team Tanzania) ili kuwapa suport hawa wawakilishi wetu.

20 July, 2016

Collaboration ya Iggy Azalea na Drake iko njiani?

Iggy Azalea 
Taarifa(Udaku) zinasema kwamba kuna collabo inakuja kati ya Iggy Azalea na Drake. Kama hayo yatakua ni ya kweli, basi ngoma hiyo itakua ilifanyika kitambo wakati Iggy Azelea akiwa katika kiwango cha juu ila kwa sasa haitowezekana maana kiwango cha Drake kiko juu mno kiasi kwamba nafasi ya kufanya kazi na Iggy itakua ndogo mno.

Any way tuwaache ila nitafurahi kuwaona wakali hawa wakiwa katika joint moja...
One love.......

"Sijasaini pale ila ni sehemu ambayo huwa nafanya kazi"-Chid BenziKupitia kipindi cha Power 180 cha Sibuka Fm Chid ameweka wazi kuwa hajajiunga na lebo hiyo bali huwa anashinda kwenye ofisi za label hiyo kwa sababu za kiusalama asije akarudi kwenye matatizo yaliyompata (matumizi ya madawa ya kulevya) na huwa anafanya kazi ndani ya studio hizo inapobidi.
Sijasaini pale ila ni sehemu ambayo huwa nafanya kazi, na wale ni wadogo zangu kwa hiyo kushinda nao ni wao wanahitaji niwe pale kwa sababu za ki usalama zaidi,ili wajiridhishe kwamba sipo kwenye kona kona zingine,kwa sasa hivi niko hivyo lakini nikiamua hata kesho naweza kuwaambia naombeni karatasi na peni nikafanya hivyo
alisema Chid Benz ambaye hivi karibuni ameachia wimbo wake unaoitwa Chuma.

Music: Yamoto Band – Mijudo

kutoka Mkubwa na Wanawe, Yamoto Band baada ya kufanya vizuri na single waliyomshirikisha Ruby iitwayo ‘Suu’, wameachia hii single yao mpya inaitwa “Mijudo”. Chukua time yako kuisikiliza ngoma hii kisha kumbuka kuwashirikisha wana kitaa.

Kikosi cha Mashetani wekundu Manchester united kimeenda China katika kujiandaa na msimu mpya.


Wakiwa huko China, United watacheza mechi mbili ya kwanza watacheza na klabu ya Borussia Dortmund mjini Shanghai, siku ya ijumaa na kisha jumatatu watacheza na Manchester Man City,jijini Beijing.
Jumla ya wachezaji 25 ndio wako kwenye msafara wa timu hiyo wakiwamo nyota wapya Eric Bailly na Henrikh Mkhitaryan pamoja na Chipukizi tisa toka chuo cha soka cha Man United, huku wachezaji wengine walioshiriki michuano ya ulaya wakiachwa kuendelea kupumzika.
Man United wanakwenda katika ziara hiyo wakiwa chini ya mkufunzi Jose Mourhino mwenye kibarua cha kurudisha thamani ya timu hiyo .

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...