Showing posts with label GOSSIP. Show all posts
Showing posts with label GOSSIP. Show all posts

31 December, 2015

Shilole afuta tattoo ya Nuhu Mziwanda iliyokuwepo kifuani kwake!

post-feature-imageKuna taarifa mtaani kuwa penzi la mastaa wa muziki, Shilole na Nuh Mziwanda limevunjika. Japokuwa sio mara ya kwanza kwa tetesi kama hizo kuhusu couple hiyo, lakini safari hii kuna dalili kuwa inaweza kuwa ‘serious’.

Picha ikionyesha tattoo mpya kifuani
Moja ya vitu vinavyoongeza nguvu ya tetesi hizo, Shishi amefuta ile tattoo aliyochora kifuani kwake miezi kadhaa iliyopita, yenye jina la ‘Nuh’ na kuchora UA juu yake.

Kipindi cha karibuni wawili hao hawaonekani pamoja kama ilivyozoeleka, na kila mmoja amefuta picha zao za pamoja kwenye akaunti zao za Instagram. Pia weekend iliyopita Shishi alifanya sherehe nyumbani kwake ambayo hakusema sababu ya sherehe hiyo, lakini hakuwa na Nuh na wala hakupenda kumzungumzia pale alipoulizwa na marafiki aliowaalika.

15 December, 2015

Huddah Monroe asema anapungua mwili labda sababu ya kufanya sana ngono!

post-feature-imageHuddah Monroe ni mwanamke anayetumia muda mwingi kusafiri katika nchi mbalimbali na kula bata. Lakini kingine ambacho anakifanya mara kwa mara ni kula uroda… mara tano, mara sita kwa siku?

Jibu analo mwenyewe lakini amekiri kuwa mwili wake umepungua sababu anavunja amri ya sita mara nyingi mno!

Mrembo huyo alipost picha ya kitambo na kuandika "#TBT! I miss my body like this ! Sema kukonda these past months? Been up and down like an Athlete, paper chasin �� and maybe too much SEX??��..........Anyways , see you guys in Mombasa , Reef hotel BEACH party on Saturday . I won't be posting all pics of events here apart from the OUTFITS . If you want to see how the party is going down LIVE! . FOLLOW on snap chat - #huddahmonroe . Thank you"

12 December, 2015

Victoria: Sina mpango na wanaume wa Kenya

post-feature-imageMSANII wa muziki nchini Kenya, Victoria Kimani, amesema hana mpango wa kuolewa na wanaume wa nchini Kenya kwa kuwa hawajui kukaa na wapenzi wao.

Mrembo huyo amesema wanaume wengi wa nchini humo wamekuwa tofauti na wale wa nchini Nigeria, hivyo ni bora aelekee huko kwa ajili ya kupata mwanaume bora ambaye atadumu naye.

Msanii huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri katika muziki mara baada ya kusaini mkataba mpya katika kampuni ya kusimamia kazi zake ijulikanayo kwa jina la Chocolate City Music Label, amesisitiza kwamba lengo lake kubwa ni kuolewa na mtu kutoka Nigeria.

“Wanaume wa Nigeria wanajua jinsi ya kuishi na mwanamke, wanaonyesha heshima ya hali ya juu na hivyo ndivyo ninavyotaka katika maisha yangu,” alisema Victoria.

09 December, 2015

Quick Rocka athibitisha kuwa na uhusiano na Kajala

post-feature-imageMsanii wa Bongo fleva, Quick Rocka na muigizaji wa Bongo movie, Kajala Masanja hawakuwahi kuthibitisha wenyewe hadharani kuwa wana uhusiano wa kimapenzi licha ya kuwepo na tetesi kuwa ni wapenzi.Quick amejikuta akilazimika kukiri hadharani juu ya uhusiano wao alipokuwa akikanusha taarifa kuwa wameachana. 
Akizungumzia sababu za kuamua kutoyaweka wazi maisha ya uhusiano wao, Quick amesema;
Sometimes some things have to stay private maana mahusiano yanapokuwa public sana ndio maneno yanakuwa mengi so sometimes vitu ni better kuwa private kidogo ili kuwe na usisi ndani yake yeah we doing good…Maneno ya mtaani ni mengi ukweli wa ndani tunaujua wenyewe.” Alisema Quick Rocka kupitia Amplifaya ya Clouds Fm.

30 August, 2015

Elizabeth Michael aonyesha Pete yake ya Uchumba

Elizabeth Michael aka Lulu amewaacha mashabiki wake njia panda baada ya kuweka picha inayoonesha amevaa pete ya uchumba.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, mrembo huyo aliweka picha ya mitego ikiwa na caption ‘N.U.D.I’ na hivyo kuwaweka njia panda mashabiki wake.


02 August, 2015

NI NUHU NA WEMA

Nuh-MziwandaKama unatumia mitandao mbalimbali ya kijamii utakua umekutana na sauti ambayo inasemekana ni sauti ya Nuh Mziwanda na Wema Sepetu wakizungumza kitu kinachoashiria upendo wa Nuh kwenda kwa Wema.Nuh Mziwanda ni mpenzi pia wa Shilole

27 July, 2015

MENINAH KASHINDWA GAME ???


Msanii wa  bongo fleva  Meninah La Diva, ambaye chimbuko lake lilianza kuonekana natika  shindando la kuinua vipaji Bongo Star Search 2013 .Stori zilizo zagaa kitaa kuwa diva huyo game limemshinda That why yupo kimya sana katika  game .Safu yetu ilipiga story na chanzo cha karibu na Meninah kutaka kujau sababu gani iliyompelekea kukaa kimya .
Meninah”Meninah game limemshinda kabisa baada ya kutoa ngoma yake ya Kaniganda , na kupata mapokezi  mabaya kutoka  kwa mashabiki na wadau pia.Mwanzao alivyokuwa anaanza kuingi katika game alikuwa nikati ya ma- diva welionyesha uhodari wa hali ya juu na kupeleka kupata mashabiki wengi ,but kadri siku zilivyokuwa zinaenda niaisi aliewa sifa na kumfanya awe anaharibu.Now game la bongo fleva hasa kwa upande wa watoto wa kike kunaupinzani mkubwa sana so naisi na hilo limechangia ”.Source
11083860_408370749287906_4379635410477267042_n
upande wa Meninah bado hajatoa tamko lolote kuhusiana na tuhuma hizi.

22 July, 2015

Shilole Atoboa Sababu ya Kuachana na Nuh Mziwanda

Shilole Atoboa Sababu ya Kuachana na Nuh Mziwanda
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuachana.
“Nuh haniamini kabisa na ana wivu kupitiliza ndo chanzo cha kuachana”  Shilole  amenukuliwa na Eatv.tv akieleza.
Wawili hao wamekuwa wakijibizana kwa maneno ya shombo kwenye midandao ya kijamii mara baada ya kuachana.

20 July, 2015

Video: Baada ya ushindi wa Tuzo za MTV, Davido athibitisha ujio wa collabo mpya na Diamond mwezi ujao

Baada ya wote wawili kuibuka washindi kwenye tuzo za MTV MAMA 2015 zilizotolewa Jumamosi iliyopita Durban, Afrika Kusini, Davido na Diamond wameweka wazi ujio wa collabo yao mpya.

Wakiwa na furaha huku wakiwa wamebeba tuzo zao mikononi mara baada ya tukio la utolewaji tuzo hizo kuisha, staa wa Nigeria Davido akiwa na Diamond ametoa ahadi ya collabo yao mpya.

Katika kipande cha video (hapo chini) Davido ametamka kwa kinywa chake:

“New F*ckin Diamond and Davido we gonna dropin next month, we do this f*ckn East Africa West Africa biggest artist we do this…we are uniting…” Wakati Davido akiyaongea hayo, Diamond alikua akiitikia “I’m telling you”.

Diamond aliibuka mshindi wa tuzo ya ‘Best Live Act’ na Davido naye aliibuka mshindi wa tuzo kubwa ya Best male ambayo pia alishinda mwaka jana.

29 June, 2015

Wema Sepetu Amtaja Mtu Anayemzuia Kupata Mimba


.Ishu ya  Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutopata ujauzito imeshazungumzwa mara kadhaa na hata yeye mwenyewe alishawahi kujitokeza na kuizungumzia lakini safari hii amelizungumzia kwa njia tofauti. Wema ambaye pia ni muigizaji wa filamu, awali alisema sababu kubwa ya kutopata ujauzito ni

18 June, 2015

Winger wa Man Untd ajisogeza karibu na aliyekuwa mpenzi wa Chris Brown’Karrueche Tran’.

ktran 3
Winger mpya wa klabu ya Man Untd ‘Memphis Depay’ ameonekana akiwa karibu na aliyekuwa mpenzi wa Chris Brown ‘Karrueche Tran’ kwenye picha waliyopiga pamoja.
Picha hii imezua mapya kuwa kuna uwezekano K Tran akahusishwa kimapenzi na

07 June, 2015

Video: 'Rose' aliye tangaza kuwa na ujauzito wa Nuh Mziwanda akabiliana naye pamoja na Shilole live kwenye FNL

Utata kuhusiana na sakata zima la taarifa za Nuh Mziwanda kumtia mimba mchepuko, na kusababisha vita kali kati yake na Shilole ambaye ni mpenzi wake, limepatiwa ufumbuzi usiku wa jana katika show kali ya burudani ya Friday Night Live.Kama ulipitwa, picha zima kuhusiana na sakata hili lilianza kwa

02 June, 2015

Video: Nicki Minaj na Meek Mill wameachana baada ya mahusiano yaliyo dumu miezi michache tu!

 
Tetesi zimezidi kusambaa weekend ya mwisho wa mwezi May kuwa Nicki Minaj na Meek Mill wameachana, Kumekuwa na post chache kwenye acount zao za Gram ambazo zimeleta mtazamo kwa kila mmoja aliye ziona kutokana na caption walizo andika nakusabaisha kukuza tetesi hizo.

30 May, 2015

Riyama: Maneno machafu yananipa chakula

MSANII mwenye heshima kubwa kwenye tasnia ya filamu za Bongo, Riyama Ally, ameibuka na kujivunia kwamba maneno machafu anayoyatumia katika filamu mbalimbali anazocheza ndiyo yanayompa chakula cha kila siku.

14 April, 2015

Baada ya Diamond kumkataza kwenda A Kusini kujifungulia, Hii ndiyo hospitali Zari anayo endea kliniki hapa Bongo


 Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemzuia mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwenda kujifungulia nje ya Bongo pindi mambo yatakapokuwa tayari.
Habari zilizonyakwa na Ijumaa Wikienda kutoka kwenye chanzo cha ndani ya familia ya Diamond zilieleza kwamba, tayari jamaa huyo amemuanzishia

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...