16 January, 2016

SAN ANDREAS..HAVE YOU CHECKED OUT THIS MOVIE YET ??

HAVE YOU CHECKED OUT THIS MOVIE YET ?? Kama bado this is the it movie this weekend.. Thank God it is finally week end, what is a better way to start off your weekend kama sio na Movie matata kama hii..cheki trailer yake fupi kwanza uone if umekua convinced enough kuiangalia this weekend.. You will not regret it…
Bonge la earthquake linatokea huko Califonia na mamia ya watu wanakufa.. Utamuona THE ROCK ,ambae anastar kwenye hii movie akihangaika kuiokoa familia yake
san andreas 6
san andreas 4
san andreas 5
san andreas 3
san andreas 2 Itizame hapa trailor hiyo

Je nan mkali kati ya Drake na Kendrick? Haya hili ndilo jibu la Rais Obama

obama drake kendrickKulikua na chansi ya Wakali hawa wawili kukutana katika  battle lakini haikuwahi kufanyika. Kwenye  interview ambayo alifanyiwa Barack Obama aliulizwa kuwa nani ataibuka KIDEDEA kati ya wakali hao wawili na Jibu la Haraka alilotoa Barack Obama ni "Kendrick" angeibuka Kinara.
   Interview hiyo ilifanywa na  YouTube star Adande Thorne ambaye alionekana Kushangazwa na Jibu la Rais Obama.
  Itazame video hiyo hapo CHINI

video mpya ya Timaya ‘I Like The Way’ itazame

Timaya-video-768x768-696x696
Kutoka DM Records msanii wa Nigeria Timaya ameanza mwaka 2016 na wimbo huu uliotayarishwa na Jez Blenda “I Like The Way”.
Bonyeza Play kuitazama video.

video mpya ya DJ Jimmy Jatt Ft WizKid ‘Feeling The Beat’ itazame hapa.

wizkid
Hii video mpya ya DJ Jimmy Jatt Ft WizKid ‘Feeling The Beat’ imetayarishwa na producer maarufu wa video Nigeria  Director Q.
Bonyeza Play Kuitazama.

Ratiba ligi kuu Uingereza leo Jumamosi 16,Jan 2016


Saturday 16 January

Tottenham 12:45 Sunderland

Bournemouth 15:00 Norwich

Chelsea 15:00 Everton

Manchester City 15:00 Crystal Palace

Newcastle 15:00 West Ham

Southampton 15:00 West Bromwich

Aston Villa 17:30 Leicester

Habari zilizoko katika magazeti leo January 16,2016.. Jumamosi

Kutana na habari zilizopo katika magazeti pendwa hapa nchini leo January16, zikiwemo zile za michezo,udaku na burudani

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania mzunguko wa kumi na nne unatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo nane kuchezwa.


Katika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam, Maafande wa JKT Ruvu watawakaribisha Maafande wa Mgambo Shooting,
Toto Africans watakua wenyeji wa Tanzania Prisosns uwanja wa CCM Kirumba, huku Stand United wakicheza dhidi ya Kagera Sugar uwanja wa Kamabarage mjini Shinyanga.
Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Simba SC watawakaribisha wakata miwa wa Mtibwa Sugar ,Mbeya City watakipiga na Mwadui FC uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Huko Tanga Coastal Union watawalika Majimaji mchezo utaopigwa katika dimba la Mkwakwani, huku Azam FC wao watapima ubavu na African Sports mchezo ukianza saa 1 usiku.
ligi hiyo itaendelea tena siku ya Jumapili kwa mchezo mmoja uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, ambapo Young African watawakaribisha Ndanda FC kutoka Mtwara.

Mahakama moja nchini Burundi imewahukumu majenerali wa jeshi walioongoza mapinduzi dhidi ya rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kifungo cha maisha.


Mahakama hiyo pia imewahukumu watu wengine tisa miaka 30 jela kwa jukumu lao katika jaribio hilo la mapinduzi .
Wanne hao watakaohudumia kifungo cha maisha jela ni aliyekuwa waziri wa ulinzi Cyrille Ndayirukiye,Jenerali Zenon Ndabaneze, Juvenal Niyungeko na Hermenegilde Nimenya aliyekuwa kamishana wa polisi.
Upande wa mashtaka uliiagiza mahakama kuwafunga washtakiwa wote kifungo cha maisha baada ya kukiri kushiriki katika jaribio hilo la mapinduzi mnamo mwezi Mei. .

Mshambuliaji wa West Ham Andy Carroll huenda akakaa nje kwa muda wa wiki sita baada ya kuumia misuli ya paja.

Carroll
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 aliondolewa uwanjani baada ya kucheza dakika 15 pekee mechi dhidi ya Bournemouth, ambayo walishinda 3-1.
Carroll, 27, alikuwa amewafungia West Ham mabao mawili katika mechi zake nne za majuzi zaidi baada ya kurudi kucheza Septemba 2015.
Kabla ya hapo, alikuwa amekaa miezi saba nje baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye goti lake.
“Mambo yakienda tunavyotarajia, basi atatusaidia mechi 10-15 za mwisho msimu huu,” amesema meneja wa West Ham Slaven Bilic.
Carroll, ambaye aliwahi kuchezea Newcastle, Carroll alijiunga na West Ham kutoka Liverpool kwa £15m mwezi Juni 2013.
West Ham wamo nambari tano ligini, alama moja pekee nyuma ya Tottenham walio nambari nne, zikiwa zimesalia mechi 17 za kuchezwa msimu huu.

15 January, 2016

Hii hapa video ya Ghetto Kids wakicheza Sorry yake Justin Bieber

post-feature-imageGhetto Kids ni moja kati ya makundi ya dance hapa africa mashariki wakitokea nchini uganda, na hii ndio video yao ya kwanza kuachia tangu kufariki kwa mwenzao Alex kwa ajali ya baiskel. Embu chukua mda wako kutazama video hii 

picha za Christina Milian kwenye cover la jarida la RollingOut


Muigizaji na muimbaji, Christina Milian yupo kwenye cover ya toleo jipya la jarida la RollingOut, amezungumzia kuhusiana na Tv show, mitindo na brand yake ya nguo.
Christina Milian (2)
Kuhusiana na Tv show yake, Millan amesema – “Production companies have been approaching my family for over 10 years. I was pretty much down for it, but it took me a long time to convince my mom to do it. To me, I thought it would be great for branding, and it would be a great opportunity for fans to really, truly get to know me. I would also have my own voice. Sometimes, you do an interview and only a portion of the interview is included and people [form] assumptions. You read blogs all day and they think they know your life based off of what other people are stating about you. I felt like by doing “Turned Up,” it was something for my fans. It would be a great outlet for me to come out musically, and really step up my game. It’s been fantastic … I think it’s great to show vulnerability; it’s great to show your mistakes: how you get through them, and how you make them better. I’m a strong believer in evolving, [and] I think I’m just like any other woman when it comes to a lot of things. I wasn’t afraid to show it.”
Christina Milian (1)
Kuhusiana na Clothing line yake, Amesema – “We Are Pop Culture is my clothing line for women that started with just T-shirts. The clothing line is urban street wear. It’s for women that feel confident in their own skin, and want to express themselves. The whole idea is to play with modern pop culture and previous pop culture using art, and sayings. I also have a few unisex pieces for the guys, but I really want to focus on being great at clothing for women.”
Christina Milian (6)
Christina Milian (3)
Christina Milian (7)
Christina Milian (5)

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...