11 May, 2015

WACHEZAJI HAWA WA WEKUNDU WA MSIMBAZI HAWATAKUWEPO MSIMU UJAO

sdf
Msimu umeisha wachezaji mbalimbali kutoka kwenye timu tofauti duniani wanahama kutoka kwenye timu moja hadi nyingine. Huko Ulaya mambo ni yamoto kwa upande wa kijana Pogba na hapa bongo hii ndio habari mpya.

Hawa ni wachezaji wawili wa Simba ambao wametoa taarifa kwenye page zao za social media kwamba hawatakuwa tena na Simba msimu ujao.IMG-20150511-WA0027IMG-20150511-WA0031

Mawerenewz.blogspot.com ndio mtandao wako wakipekee unaokupa habari za BURUDANI,MICHEZO, SIASA, na HABARI MBALIMBALI ZA KIMATAIFA pamoja na KITAIFA Endelea kutembelea MTOKA MBALI pia nifuate twitter>>>@mawere3, facebook>>>Mawere Mtoka Mbali, Instagram>>>Zawadi_mawere. SuScribe Youtube>>>MAWERE TV.



No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...