Manchester United wana jezi mpya iliyotengenezwa na Adidas kwa ajili ya msimu ujao.
Kampuni hiyo ya vifaa vya
michezo imefikia dili kubwa la jezi na Manchester United ambalo
halijawahi kutokea katika historia ya mpira na sasa katika
mitandao ya kijamii na Internet kuna tetesi mbalimbali kuhusu jezi mpya za Manchester United zitakazotumiwa msimu wa 2015/2016.
mitandao ya kijamii na Internet kuna tetesi mbalimbali kuhusu jezi mpya za Manchester United zitakazotumiwa msimu wa 2015/2016.
Kwa mujibu wa FootyHeadlines.com
wamepambana kuingia uvunguni na kupata picha ya jezi mpya ya
Manchester United iliyotengenezwa na wadhamini wake Adidas kwa ajili ya
msimu ujao.
Manchester United kwasasa ipo
nafasi ya nne katika msimamo wa ligi kuu, vinginevyo yatokeo maajabu,
wanarudi kwenye michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao.
Mechi mbili za mwisho za Manchester United ni dhidi ya Arsenal na Hull City.
Jezi yenyewe ni ya njano.
No comments:
Post a Comment