25 April, 2015

Usiyoyajua kuhusu Mtanzania Mayunga anaekwenda na Akon Marekani.

MAYUNGA COVERNi Mtanzania aliyeshinda kwenye fainali ya AirtelTraceMusicStar April 18 2015 shindano lililoandaliwa na TraceURBAN, TV station ya burudani kutokea Ufaransa huku Washiriki wakiwa kutoka nchi 13 za Afrika na Tanzania ikiwemo.
Mwimbaji staa Akon
alikua mmoja wa Majaji ambapo kwenye

hii interview hapa chini Mayunga
ambaye alizaliwa Tabora anatueleza maisha yake ya nyuma yalivyokua na
pia kuna kipisi cha video yeye akiongea na Akon hapaa>>>>>>>>

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...