Manchester
United imeshaanza kujipanga kwa ajili ya msimu ujao baada ya msimu huu
kuelekea mwishoni. Kiasi cha €30 million zimetengwa kwa ajili ya kumnasa
mkali huyu.
Kwa
muda sasa hivi Man United wamekua imehusishwa na uhamisho wa Hummels.
Hummels ambae alionekana kuwa ni defender bora kwenye kombe la dunia
anaonekana ni mmoja kati ya mastaa wanatarajiwa kusepa Borussia
Dortmund.
Kutokana
na kocha Jurgen Klopp kutangaza kusepa mwishoni mwa msimu huu basi kuna
mwanya mkubwa wa mastaa wa timu hiyo kusepa pia.
Kiasi
cha €30 million kimetolewa kama offer ya kwanza kumnasa Mats Hummeles
ana miaka 26, amecheza mechi 181 tangu asajiliwe rasmi na Borussia na
amefunga magoli 16 akicheza nafasi ya Center defender.
No comments:
Post a Comment