24 April, 2015
ALICHOZUNGUMZA MORINHO BAADA YA ZIDANE KUMTAKA HAZARD.
Zinedine Zidane ambae ni kocha wa Real Madrid Castilla alikua quoted akisema kwamba kuna wachezaji wengi anawaangalia sana, kama Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ambao ni wachezaji wazuri. Lakini pia anampenda sana Eden Hazars sana, anapenda kila kitu anachofanya uwanjani”
Baada ya kusema hayo ikatilia mkazo wa story za Eden Hazard kutaka kuhamia Real Madrid. Jose Mourinho akiwa kwenye press conference alizungumzia hii ishu.
“Tumetoka ku-saini mkataba na yeye(Eden Hazard) hadi mwaka 2021. Hatukumuwekea silaha kichwani ili asaini huo mkataba. Sidhani anahitaji kwenda huko (Real Madrid)”.
Eden Michael Hazard ana umri wa miaka 24 kabla ya kuwa Chelsea alicheza club ya LIle akitokea kwenye mechi 147 na kufunga goals 36. Baada ya Chelsea alitokea kwenye mechi mara 101 na kufunga magori 36.
Real Madrid Castilla ni timu ya Real Madrid inayoshiriki Division B, Zinedine Zidane ndie e manager wa timu hii na pia anahusika kwa kiasi kikubwa kwenye timu nzima ya Real Madrid.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7
KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...
-
C9 Records presents STAR by Foby!. Click DOWNLOAD button bellow to download this song.
-
John ana mke ambaye haoni uzuri wa kitu chochote anachofanya, akifika tu nyumbani mke wake huanza kumlalamika kuwa hela anayoacha nyumba...
-
Mboga za majani na matunda zimekuwa zikisisitizwa kwa sana na wataalamu wa afya hasa kwa wanawake wajawaziti kwani zimekuwa zikiongeza Damu...
No comments:
Post a Comment