22 April, 2015

Justin Bieber hajasababisha Kuachana kwa Big Sean na Ariana Grande.

ariana
Baada ya kukaa kwenye mapenzi kwa zaidi ya miezi nane, rapa Big Sean na mpenzi wake Ariana Grande wameachana. Watu wa karibu na wasanii hawa wamesema Sean na Ariana wamebaki kuwa marafiki wa karibu na kwamba bado wanapendana.

Pia imeripotiwa kuwa chanzo cha kuachana kwa ARiana na Sean sio ukaribu wa Justin Bieber na Ariana kwenye jukwaa waliofanyia show wawili hawa.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...