25 April, 2015

NAJUTA KUIKATAA MAN CITY.>>>>>

isco
  • Isco hana furaha na majukumu anayopewa pale real Madrid
  • Kiungo huyo wa kispanyola alihamia Bernabeu mwaka 2013
  • Isco alikuwa na chaguo kati ya real Madrid na manchester city
  • Isco alifanya kazi na meneja wa city Manuel Pellegrin wakiwa Malaga.
Manchester city walimtaka Isco miaka miwili ilyopita alipokua anaondoka Malaga lakini alichagua kwenda Real Madrid na kukataa kwenda kwa Manuel Pellegrin,yalikua ni maamuzi magumu baada ya kocha aliemfundisha na kumfikisha hapo alipo na kumwona kama baba yake mzazi
Ukiangalia katika maoni aliyoyatoa katikati ya wiki baada ya mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya atletico Madrid ni kwama anajutia kukataa ofay a kwenda kucheza ligi kuu ya uingereza na kuwa chini ya kocha aliempa nafasi kubwa ya kucheza .
“Sina uhakika sana ,nilidhani nacheza vizuri” huu ndio ulikua ujumbe wake katika televisheni ya Hispania jumatano ya wiki hii usiku walioshinda na kuendelea nusu fainali ya ligi ya mabingwa.
Baadae alitweet” kama tutakua kitu kimoja basi tutafika mbali sana.”aliongea hayo baada ya kuona kama kaonewa pale anapokaa benchi wakati wachezaji wote wa kikosi chakwanza wanapokua fit nay eye kusahaulika.
Machaguo matatu ya watu wa mbele ya meneja Carlo Ancelotti ni Crisriano Ronaldo,Gareth Bale na Karim Benzemana watu anaowapendelea katika nafasi ya kiungo ni Ton Kroos,Luka Mordric na James Rodrigez ,Isco ni mtu was aba ambae anatakiwa kukaa benchi pale Bale anaporudi.isco 2
Kama Pellegrin atabaki pale Etihad na Isco ataendelea kutokua na furaha kwa kuchezeshwa pale wengine wanapokua majeruhi,basi tunaweza kumshuhudia akitua ligi kuu ya uingereza msimu ujao.
Itakua ni kazi kubwa sana kumrithisha mikoba ya Yaya Toure ya kushambulia na kushuka chini na kuchukua mipira na kuanzisha mashambulizi upya haraka sana.
Lakini kijana huyo mwenye miaka 23 ni mmoja ya wachezaji ambao kocha wa timu ya taifa ya spain Vicente del Bosque anawajenga katika kikosi chake kipya na pia ni mchezaji anaependwa zaidi na mashabiki wa Real Madrid na atakua katika levo moja na mchezaji mwenye kutumia akili nyingi wa city David silva.
Isco anaweza kuendelea kuichezea Real Madrid sehemu ya msimu iliyobakia na pia msimu ujao lakini sidhani kama atakubali kuendelea kuangalia wenzake Bale,Benzema na Ronaldo waking’aa uwanjani pamoja na wengine ambao hawajulikani lakin watakua wamesajiliwa na Raisi Florentino Perez majira ya kiangazi.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...