20 April, 2015

Ya kesho hamna anaeyajua, Mtanzania anaekwenda na Akon Marekani alipitia huku…

Mayunga 9Kama hukupita kwenye post yangu iliyopita Nalimi Mayunga ni Mtanzania aliyeonyesha kipaji chake kwa hali ya juu kwenye shindano la Airtel Trace Music Stars ambalo lilifanyika juzi Nairobi Kenya na kushindanisha nchi kumi na tatu kutoka Afrika.Anaondoka na Akon kuelekea Marekani kwa
ajili ya kurekodi single yake kama mkataba unavyosema baada ya

kutangazwa mshindi ambapo akiwa kwa Akon, pamoja na kurekodi pia atapata nafasi ya kupewa mafunzo awe mkali zaidi.Jina lake ndio limepata uzito kwenyeheadlines sasa hivi lakini sio kwamba ndio ameanza kuimba leo, kitambo kidogo amekuwepo bongoflevani na hizi ni baadhi ya nyimbo sauti yake imesikika.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...