Pambano la Floyd Mayweather na Manny
Pacquiao linazidi kutawala vichwa vya habari, mastaa kama Rick Ross , 50
Cent wamesha tembelea gym anayofanyia mazoezi Flody na sasa Mariah
Carey pia alikuwa na Floyd kwenye gym.
Carey amekuwa shabiki mkubwa wa Mayweather na pambano la mwisho kuhudhuria lilikuwa pambano la Floyd na Shane Mosley mwaka 2010.
No comments:
Post a Comment