Hawa ni wakali wengine toka Kenya, ‘Sura Yako‘ ni hit kubwa Afrika ambayo wamefanya hawahawa wakali wa kundi la Sauti Sol.
Kingine nilicho nacho kuhusu wao leo ni hii video ya wimbo wa ‘Nerea’.. humo ndani wamewapa collabo Amos pamoja na Josh.
Hii ina fleva tofauti kidogo mtu wangu, play usikie ujio wao huu mpya una nini ndani yake..
No comments:
Post a Comment