Carter
ambaye ni mmoja wa waasisi wakubwa ambao waliisaidia timu hiyo hadi
kufikia ilipo, kingine kilichoripotiwa leo kinahusu msiba wa Rais huyo
ambaye
alifariki akiwa na umri wa miaka 87 ambapo amefariki akiwa
nyumbani kwake baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Rais huyo alikua mmoja ya mashabiki wa
timu hii tangu akiwa mtoto ambapo mwaka 1973 alijiunga na timu kama
mkurugenzi na mwaka 1978 akawa Mwenyekiti.
Wakati wa uongozi wake kama mwenyekiti akiwa na meneja wake Howard Kendall, Everton ilishinda mataji ya FA cup mwaka 1985 na 1987, 1984 na Kombe la Ulaya 1985.
Alichaguliwa kuwa Raisi wa heshima wa maisha wa timu ya Everton mwaka 2004.
No comments:
Post a Comment