19 April, 2015

Gigy Money-Alela (Official Video)

  gigyVideo Queen mwenye vipaji vingi Gigy Money alionekana fnl usiku wa 17 April 2015 na kuzungumzia video yake mpya “Alela” iliyotayarishwa na muongozaji mpya wa video Tanzania Joowzey. Audio ya wimbo huu imetayarishwa na C9 wa C9 Records
joowzeytz itazame hapa.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...