20 April, 2015

Ben Pol - Sophia ( Official Video )

        

Ben Pol katutolea video ya Sophia! dakika zako 4 zitumie kuitazama hapaBen PolVideo ilitengenezwa nyumbani kwao Dodoma ikiwa ni hit single kwenye
Radio za Tanzania sasa hivi ambapo kwenye CloudsFM Top 20 imeshika
nafasi ya pili wiki iliyopita kutoka nafasi ya tano ikiwa ni wiki yake
ya saba tu toka iingie kwenye Countdown.

  

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...