03 May, 2015

Orezi ft Davido - Shuperu Remix (Official Video)

remixDavido amefanya vizuri
sana kupitia industry ya muziki Afrika hasa nchini kwake Nigeria na ni
mmoja wa wasanii wadogo ambaye amejipatia umaarufu mkubwa kupitia zake
zake.
Orezi ambaye moja ya nyimbo iliyomtambulisha ni ‘Shoki’ kaamua kurudi tena na
kutoa remix ya wimbo wake ‘Shuperu’ na kuamua kumshirikisha mkali wa Nigeria Davido, ambapo Video imefanyika Nigeria chini ya Paul Gambit.
Nakukaribisha hapa kuitazama.

No comments:

Post a Comment

Samsung kurejesha fedha kwa wanunuzi wa Note 7

KAMPUNI ya Vifaa vya Elektoriniki ya Samsung ya Afrika Mashariki (SEEA) itarejesha fedha kwa wateja wa simu za Note 7, ambao wataweza kuthib...