Shirikisho la Soka barani Afrika
leo limechezesha droo ya robo fainali ya michuano ya klabu Bingwa katika
ofisi za makao makuu ya zilizopo Cairo, Misri ambapo timu nane
zimewekwa katika makundi mawili A na B ya ushindani.
Watanzania Mbwana Samatta na
Thomas Ulimwengu ambao wanakipiga katika klabu ya TP Mazembe, timu yao
imepangwa katika kundi ambalo linaundwa na timu nyingine tatu ambazo
ni Smouha, Moghreb Tetouan, El Hilal.
Makundi hayo ni kama yafuatavyo.
Group A
Smouha (Egypt)
Moghreb Tetouan (Morocco)
TP Mazembe (DR Congo)
El Hilal (Sudan)
Group BMoghreb Tetouan (Morocco)
TP Mazembe (DR Congo)
El Hilal (Sudan)
ES Setif (Algeria)
USM Alger (Algeria)
El Merreikh (Sudan)
MC Eulma (Algeria)
Mbali na michuano hiyo ya Klabu
Bingwa pia Mkutano huo ambao uliongozwa na Katibu mkuu wa CAF Hicham El
Amrani akisaidiana na makamu wa kwanza wa Rais wa shirikisho hilo Suketu
Patel wakiwemo viongozi wengine wa ngazi za juu, walichezesha pia droo
ya Kombe la shirikisho kwa robo fainali ambapo majibu yalikuwa kama
hivi.
Ahly (Egypt) vs Club Africain (Tunisia)
Esperance (Tunisia) vs Hearts of Oak (Ghana)
AC Leopards (Congo) vs Warri Wolves (Nigeria)
CS Sfaxien (Tunisia) vs ASEC Mimosas (Cote d’Ivoire)
AS Vita (DR Congo) vs Stade Malien (Mali)
Orlando Pirates (South Africa) vs AS Kaloum (Guinea)
Zamalek (Egypt) vs Sanga Balende (DR Congo)
Etoile du Sahel (Tunisia) vs Raja Athletic Club (Morocco)

No comments:
Post a Comment